Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

Akili za kushikiwa. Ina maana mtume angevaa vipedo na vitopu na sisi tungevaa Kama Suna? Angetembea bila nguo na sisi tungefanya hivyo maana ni Suna? Usikariri Kila simulizi utapotea jiongeze. Muhenga alisema,`akili za kuambiwa changanya na zako'.

Vipedo, vitopu, kutembea bila nguo angeazaje kwa mfano? Haya utayapata nchi nyingi za kikafiri mpaka waumini wao wanavaa vimini na mawigi, wengine wananyolewa mavuzi na watumishi wao, refer huko ghana.

Uislamu ni nadhifu.
 
المسلمأخو المسلم Muislamu ndugu yake muislamu, hivyo siwezi kuwa na undugu na asiekua muislamu. Niache kuwa na undugu na mwarabu/muislamu mwenzangu niwe na undugu na kafiri kisa nini!!

Uislamu unatufundisha tuwapende hata wasio waisilamu, sasa ninyi wagalatia mnaleta chuki zenu hapa, mnawachukia waarabu na kuwazushia mabaya halafu mnataka nasi tuwafuate ninyi!! Waarabu ni ndugu zetu katika imani.

Je, ulikuwepo na ukashuhudia??
Tatizo dini yako imekufanya kuwa kipofu kabisaaaa na kiziwi, huoni Wala husikii Atakachokuambia mwarabu wewe hewala tu. Fumbua macho Dada yangu utazame. Penye weusi sema nyeusi na weupe sema nyeupe,bila kujali ni mzungu au mwarabu anayekutaka kutamka. Quran yenyewe imewaita waarabu wanafiki wewe na Quran anayewajua vizuri waarabu Nani?
 
Acha kupotosha ewe mfuasi wa paulo, Lete hiyo aya!!

Hawatakuwa radhi mayahudi na wakristo mpaka mfuate mila zao

Halafu mimi sio Ke tafadhali mkuu!
 
Si lazima niwepo au nishuhudie....hata simulizi za waliokuwepo zinatosha kabisa.

Acha nicheke tu🤣🤣🤣,,ni dhahiri shahiri mnawachukia waarabu bila sababu, maana huna facts with evidence. Wivu unawasumbua sana 😁😁 Badilikeni
 
Acha kupotosha ewe mfuasi wa paulo, Lete hiyo aya!!

Hawatakuwa radhi mayahudi na wakristo mpaka mfuate mila zao

Halafu mimi sio Ke tafadhali mkuu!
Mwanasaikolojia anaweza kutambua jinsia ya mtu kwa kutazama Aina ya uandishi tu. Kwa asilimia 80 Niko sahihi kwa asilimia 20 Kama nimekosea nisamehe Sana. Uwe na siku njema, kuhusu Aya nitakuwekea punde tu.
 
Acha nicheke tu🤣🤣🤣,,ni dhahiri shahiri mnawachukia waarabu bila sababu, maana huna facts with evidence. Wivu unawasumbua sana 😁😁 Badilikeni
Wanaonewa wivu kwa lipi ?
 
Al
Mwanasaikolojia anaweza kutambua jinsia ya mtu kwa kutazama Aina ya uandishi tu. Kwa asilimia 80 Niko sahihi kwa asilimia 20 Kama nimekosea nisamehe Sana. Uwe na siku njema, kuhusu Aya nitakuwekea punde tu.
Al ahzab 33:22_25
 
Nawewe tunakufahamu ni nimwarabu ndiyo maana unawatetea warabu wenzako in shot warabu hamfai hata kidogo ni wabaguzi hamna mfano, sitaki hata kuwasikia juzi kati mmeuza figo ya dadayetu mganda tena goja niache nisije nikakufuru.
 
Acha nicheke tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787],,ni dhahiri shahiri mnawachukia waarabu bila sababu, maana huna facts with evidence. Wivu unawasumbua sana [emoji16][emoji16] Badilikeni
Nenda ukaishi nao uarabuni usikubali kubaguliwa na utuachie Africa yetu tambulu wewe. Africa is for Africans and not otherwise.
 
Taja baadhi

Acha kujitoa ufahamu
Nenda ukaishi nao uarabuni usikubali kubaguliwa na utuachie Africa yetu tambulu wewe. Africa is for Africans and not otherwise.
Mbaguzi utamjua tu,, hapo nakuona ukiteseka na kuumia ndani kwa ndani mzehe 😁 pole sana mgalatia,,,

Dugwisanga igolo mami, bhujiku ng'waka
 
Nawewe tunakufahamu ni nimwarabu ndiyo maana unawatetea warabu wenzako in shot warabu hamfai hata kidogo ni wabaguzi hamna mfano, sitaki hata kuwasikia juzi kati mmeuza figo ya dadayetu mganda tena goja niache nisije nikakufuru.

Eti tunakufahamu ni mwalabu 🤣 wagalatia bwana,, kwahiyo waafrika wote hawawapendi waarabu? Mpaka hapo ulipo umeshaonyesha wewe ni mbaguzi, na upo kichuki. Pole sana kwa maumivu kijana

Bhujiku ng'waka,
 
Ubaguzi ni asili ya binaadam
Ni bas tu mitandao ilishaamua kuwafanya wazungu ndo wabaguzi ila ukwel ni binadamu wote ni wabaguzi
 
Back
Top Bottom