Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

Watu weusi wanateswa na Laana, Ni vinara wa Ubaguzi lakini siku zote wao ndio hujifanya victims,
 
Waafrica ndio watu wa kulalamika, watu wa jamii nyengine wapo bzy na ishu zao hawana muda huo wakulilia.
Sasa huyu chawa wao anateseka na nn hapa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wasiwabague waarabu, kwan lazima? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wawabague wasiwabague, wawachukie wasiwachukie hawapungukiwi na chochote,,,wanapiga kazi wanakula life vizuri maisha yanaenda,,huku wamatumbi wakilialia kubaguliwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aise.


Mwaniki cocastic, dugwisanga igolo.

Bhujiku ng'waka😴
 
Mkuu wamekuandama sana hawa MALAN MAALUN.

Acha waniandame tu sheikh, mimi walaa sijali, ukweli wameupata na waufanyie kazi,, na watoto, wajukuu, vitukuu na vilembwe vyao wawajenge katika maadili mazuri na sio kuwajenga chuki na kubagua jamii flani.
 
Acha uongo, unadhani wengine hatuishi na waarabu tukajionea!! Baadhi ya nchi za kiarabu nimevisit pia sijakutana na upumbafu wa hivi. So huwezi nidanganya, wadanganye wasiojielewa
Labda wewe ndo hujielewi. Waarabu tunaishi nao tunawajua kawadanganye unaofanana nao. Mwarabu hata akizaa naweusi huyo mtoto atabaki Mali ya mama au thamani yake itakuwa ya daraja la 2!
Kuna nchi gani ya Waafrika weusi inashiriki ligi nje ya Afrika kwa jina jingine kama Waarabu wanavyoshiriki Arab league na Waarabu wenzao kina Qatar na Oman?
 
Acha ubaguzi laa sivyo nitakufuturu.
tocry.png
 
Acha waniandame tu sheikh, mimi walaa sijali, ukweli wameupata na waufanyie kazi,, na watoto, wajukuu, vitukuu na vilembwe vyao wawajenge katika maadili mazuri na sio kuwajenga chuki na kubagua jamii flani.
Kawaambie hao wenzako waombe msamaha kutokana na jinai zilizoendeshwa na babu zao katika ya kufanya biashara ya utumwa.
 
Hii nakataa mkuu. Waafrica weusi wamezidi. Fuatilia vizuri kwenye mabanda umiza au hata hapo Taif utanambia.

Mara ngapi Mo anaitwa Gabacholi na tunafurahia? Mzungu ataitwa nguruwe beberu, albino na mengi tu ya kukejeli ila tunaona sawa tu.

Waafrika weusi walichokosa ni pesa tu ila vinginevyo tungeshuhudia ubaguzi ambao haujawahi kutokea tangu kuumbwa kwa dunia.
Ulishajua wao wanakuita nani?
 
Back
Top Bottom