Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

Mtoto wa mwarabu naona umepanic,acha unga mdogo wangu

Libya,oman,pakstani hawa jamaa ni wasenge hatari

Chuki bado zinakusumbua, hapo hakuna hata moja umeongea ukweli. Pole sana
 
Ndugu zangu watanzania msema 'kweri' ni mpenzi wa Mungu, hawa waarabu binafsi SIWAPENDI kweri kweri na ikiwezekana siku moja tuwafukuze kwenye bara letu.

Kweri kweri ndio mdudu gani tena huyo?

Wewe huwapendi, lakini sisi tunawapenda sana sana, na pia ni ndugu zetu katika IMANI.
 
Wazanzibar bhana yan nyie mnajiona niwarabu ujue ila jamaa wanawabagua kinoma

المسلم أخو المسلم Muisilamu ndugu yake muisilamu, kaa utambue hilo.

Wewe haupo katika huo mstari,,,na usitegemee muislamu awe ndugu yako ewe usie muislamu.

Turudi kwenye mada husika, kemea ubaguzi/chuki
 
Kheeeeeh kumbe ni kweli? Niliwahi mbishia mtu hii story. Tobaaaah

Ndio haya tunayasema, umeshasikia kwa mwenzio kisha utakaririsha kwa wengine bila kuwa na ushahidi,,,Afrika ni Afrika tuu, huenda trump akawa ni sahihi.

Dada kemea ubaguzi, na acheni chuki za kijinga
 
Hakuna watu wabaguzi duniani kama warabu ni vile tu hawana influence duniani ila wanaubaguzi kushinda kiumbe chochote kinachoishi duniani mpaka vitabu vya dini vimeelezea.

Chuki zinakusumbua ilhali hujui chochote kuhusu waarabu, na utateseka sana 😆 hofu yangu usije ukajinyonga tu. Hakuna jamii watu wake wakarimu kama waarabu.
 
Ndio haya tunayasema, umeshasikia kwa mwenzio kisha utakaririsha kwa wengine bila kuwa na ushahidi,,,Afrika ni Afrika tuu, huenda trump akawa ni sahihi.

Dada kemea ubaguzi, na acheni chuki za kijinga
Wee muarabu koko tutolee upuuzi wako hapa, si uwapende wee kwan umekatazwa? Kwan lazima tuwapende wote? Khaaah
Usitupangie msieeeew
 
Wee muarabu koko tutolee upuuzi wako hapa, si uwapende wee kwan umekatazwa? Kwan lazima tuwapende wote? Khaaah
Usitupangie msieeeew

Hahhhaaaa nakuona dada umepanic haswaa kuwatetea waarabu 🤣🤣 nawatetea kwa hoja, nyie si mnakuja na chuki zenu hapa, hazina maana yoyote, haya dada yangu andaa bac msosi hapo mezani shejmeji yetu apate rizki, kumbuka nami kunialika bac 🤣
 
Libya sio Afrika?

Unaona ajabu Muafrika kumbagua Mwafrika mwenzake? Umesahau Afrika kusini, juzi juzi tu ilikuwaje?

Pakistan, siyo "Waarabu".

Hivi hizo shu;e mlienda kusomea ujinga?
Huko Africa ya kaskazini kote ilikuwa milki ya watu weusi, hao mabwana walivyokuja na dini yao ikawa kama hukubaliani nao kuifuata dini yao unakula panga ya kisogo, mpaka wakawamaliza kabisa vizazi vyeusi na dini zao .
 
Hahhhaaaa nakuona dada umepanic haswaa kuwatetea waarabu [emoji1787][emoji1787] nawatetea kwa hoja, nyie si mnakuja na chuki zenu hapa, hazina maana yoyote, haya dada yangu andaa bac msosi hapo mezani shejmeji yetu apate rizki, kumbuka nami kunialika bac [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hizo hoja zako watu hata hawazielewi na hawazitaki, kwann unalazimisha?
 
Huko Africa ya kaskazini kote ilikuwa milki ya watu weusi, hao mabwana walivyokuja na dini yao ikawa kama hukubaliani nao kuifuata dini yao unakula panga ya kisogo, mpaka wakawamaliza kabisa vizazi vyeusi na dini zao .

Mtakalia hayo hayo na kukaririshwa kwenu 😆 bado mnahitaji elimu sana jamani,,,eti milki ya watu weusi mara cjui walivyokuja na dini yao ikawa kama hukubaliani nao kuifuata dini yao unakula panga ya kisogo,,, maneno ya kijinga hayana nafasi ,,,Muwe mnaacha kuongea vitu bila fact na evidence.
 
Ulienda nchi zao wakakutenga? Watu wengine bwana!! Muda wote unahisi ku-tengwa/baguliwa, huu ugonjwa mmbaya sana, usipobadilika utaendelea kukutesa na hata vizazi vyako. Badilika na msiwe mnawakaririsha watoto wenu ujinga/ulimbukeni, mara oh waarabu ni makatili, waarabu walitesa babu zetu, waarabu ni wabaguzi na wametuletea dini kwa meli wakati hapo mwanzo kulikua na dini yetu [emoji28][emoji28][emoji28] aise aise aise huu ni mtihani haswaa.
Misri walikuwa na mchezaji kama black flan hivi timu ya taifa, walimwandama kwa ubaguzi mpaka akaondoka timu ya taifa.
 
Misri walikuwa na mchezaji kama black flan hivi timu ya taifa, walimwandama kwa ubaguzi mpaka akaondoka timu ya taifa.

Angekuja yeye kutoa ushuhuda, au mashabiki wa timu. Sasa wewe ndugu yangu wa kutoka tandale huko cjui gongolamboto ama bushi tutakuamini vipi shehee 😅
 
Unatumia nguvu kubwa sana ktk kuwatetea hao waarabu. Kwani ni lazima wote tuwapende? Ukiwapenda wee inatosha khaaah.

Ajabu hao waarabu wala hawajawahi kulalamika kwa kubaguliwa kwao na wa Africa, why wee uteseke? Lazima utakua muarabu koko tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Waafrica ndio watu wa kulalamika, watu wa jamii nyengine wapo bzy na ishu zao hawana muda huo wakulilia.
 
Chuki zinakusumbua ilhali hujui chochote kuhusu waarabu, na utateseka sana [emoji38] hofu yangu usije ukajinyonga tu. Hakuna jamii watu wake wakarimu kama waarabu.
Ukarimu gani walio nao wale inaonekana hamna unachojua kuhusu warabu
 
Gusia pande zote mbili. Waarabu wao ni wabaguzi mara 3 ya Waafrika
Hii nakataa mkuu. Waafrica weusi wamezidi. Fuatilia vizuri kwenye mabanda umiza au hata hapo Taif utanambia.

Mara ngapi Mo anaitwa Gabacholi na tunafurahia? Mzungu ataitwa nguruwe beberu, albino na mengi tu ya kukejeli ila tunaona sawa tu.

Waafrika weusi walichokosa ni pesa tu ila vinginevyo tungeshuhudia ubaguzi ambao haujawahi kutokea tangu kuumbwa kwa dunia.
 
Back
Top Bottom