Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

Mtoto wa mwarabu naona umepanic,acha unga mdogo wangu

Libya,oman,pakstani hawa jamaa ni wasenge hatari
Libya sio Afrika?

Unaona ajabu Muafrika kumbagua Mwafrika mwenzake? Umesahau Afrika kusini, juzi juzi tu ilikuwaje?

Pakistan, siyo "Waarabu".

Hivi hizo shu;e mlienda kusomea ujinga?
 
Hao waarabu ndo walikuja kigoma Na Tabora kuchukua mababu zetu Na kuwasafirisha Kwa mguu kama ng'ombe Na minyororo mpaka bagamoyo Na kilwa ili kuwauza?
Leo Sisi ndiyo waasisi wa ubaguzi?
Hao mababu zako waluzwa na nani kama sio mababu zako wengine waliokuwa wajanja zaidi?

Samata kauzwa nani kapelekwa Uingereza?
 
Hao mababu zako waluzwa na nani kama sio mababu zako wengine waliokuwa wajanja zaidi?

Samata kauzwa nani kapelekwa Uingereza?
Aliuzwa kutoka Genk ya ubeligiji akaenda Aston villa ya Uingereza.

Hivi huko Shule ulienda kusomea ujinga?
 
Libya sio Afrika?

Unaona ajabu Muafrika kumbagua Mwafrika mwenzake? Umesahau Afrika kusini, juzi juzi tu ilikuwaje?

Pakistan, siyo "Waarabu".

Hivi hizo shu;e mlienda kusomea ujinga?
Inshu inayo zungumziwa Sio mwafrika kumbagua mwafrika mwenzake.

Inshu ni mwarabu kumbagua mwafrika licha ya kuwa wote wanatoka bara moja.

Ambacho hauelewi ni kipi hapo?
Libya,Misri,Cameroon,Congo, Tanzania,Ghana,Nigeria Morocco,Senegal,Tunisia,Ivory coast zote zinatoka bara moja ambalo ni Afrika,Lakini kuna nchi zenye waraabu Misri,Libya, Morocco,Tunisia,Algeria watu wao wanajiona special mpaka kupelekea kuwa bagua waziwazi hao wengine ambao Sio Arabs wakati wotee wanatoka bara moja ambalo ni Africa.

Wewe unacho tetea ni kipi hasa kuhusu waraabu ingali figisufigisu zao ziko wazii tofauti na nchi zisizo Arabs???
 
Ila walio kuwa wanawanunua watumwa (wamarekani) unaona walikuwa sahihi?

kwa taarifa yako hata hakina Mkwawa walikuwa mawakala wa biashara ya utumwa kwenye maeneo yao, ila baadae waliweka resistance baada ya kushindana kwenye maslahi.

NB : Mkwawa alipigana na wajerumani na sio waarab.
Wapi nimesema walionunua walikuwa sahihi?
 
Mwongo.

Watanzania kwa mamia kila siku wanaenda shopping na kufanya biashara zao Dubai, hatujasikia wakilalamika kubaguliwa.

Wewe ulienda nchi ipi ya Waarabu ukabaguliwa? Wewe unaonesha hata Dar huijuwi bado uko kwenu huko madongo kuporomoka.

Nyie ndio wale mnanuka vikwapa, mkimsogelea mtu anaminya pua, mnasema mnabaguliwa, kumbe una kikwapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah wee lol.
 
Moja ya Ubaguzi ni Ubaguzi.
Mbona comment za arabu hujaziweka humu. basi tuone nani mbaguzi kati ya wabaguzi.
Kukataa waafrika wenzako pia ni ubaguzi.

Salaleh
 
Nikikumbuka zamani Algeria ilikuwa ni himaya watu weusi walikuwa na dini yao ya Kikatoliki wakati huo inaitwa HIPO na Mtakatifu Augustine ndiye alikuws aAskofu wao ( Bishop of Hippo)
Lakini wipoingia hao mabwana hawakutaka rangi wala dini nyingine, walikula majambia wote mpaka wakapukutika
Kheeeeeh kumbe ni kweli? Niliwahi mbishia mtu hii story. Tobaaaah
 
Mwongo.

Watanzania kwa mamia kila siku wanaenda shopping na kufanya biashara zao Dubai, hatujasikia wakilalamika kubaguliwa.

Wewe ulienda nchi ipi ya Waarabu ukabaguliwa? Wewe unaonesha hata Dar huijuwi bado uko kwenu huko madongo kuporomoka.

Nyie ndio wale mnanuka vikwapa, mkimsogelea mtu anaminya pua, mnasema mnabaguliwa, kumbe una kikwapa.
Acha kukaza kichwaaa... Tunazungumzia nchi za Arabs ambazo ziko Africa.Unatetea ujinga Bibi kizee mzima??Hapo Dubai imekujaje. Unazeeka mpaka akili.
 
Inshu inayo zungumziwa Sio mwafrika kumbagua mwafrika mwenzake.

Inshu ni mwarabu kumbagua mwafrika licha ya kuwa wote wanatoka bara moja.

Ambacho hauelewi ni kipi hapo?
Libya,Misri,Cameroon,Congo, Tanzania,Ghana,Nigeria Morocco,Senegal,Tunisia,Ivory coast zote zinatoka bara moja ambalo ni Afrika,Lakini kuna nchi zenye waraabu Misri,Libya, Morocco,Tunisia,Algeria watu wao wanajiona special mpaka kupelekea kuwa bagua waziwazi hao wengine ambao Sio Arabs wakati wotee wanatoka bara moja ambalo ni Africa.

Wewe unacho tetea ni kipi hasa kuhusu waraabu ingali figisufigisu zao ziko wazii tofauti na nchi zisizo Arabs???

Nakuona ukiteseka sana,,,unapotoa data njoo na ushahidi ulijitosheleza, tatizo wengi wenu mnakaririshana huko mitaani kwenu and then mnatuletea humu, aise mnatujazia saver tu.
 
Waarabu ni washenzi hata hawa waarabu koko hawawezi kwenda kuoa kwa waarabu original kabisa wanawabagua

Yani wewe hata uwachukie vipi waarabu haitakusaidia chochote bali unajiumiza tuu 😅. Na usifikiri wote wanawachukia waarabu. Mimi nawapenda wote na wala simchukii mwarabu, mzungu wala mwafrika.

Na ukae utambue waarabu ni ndugu zetu katika imani,,,, nikiwachukia waarabu maana yake hata Mtume wetu Muhammad S.A.W nitakua nimemchukia pia maana yeyee ni mwarabu piaa,,
 
Wewe kila siku uko na mada za kutetea waarabu. Sasa tuletee tweets za waarabu wakipongeza hizi timu za blacks tuone walivyo na upendo mkubwa.
Binafsi nimefurahi nchi nyingi za kiarabu kutolewa, hili ni bara la Afrika, siyo kuwakilishwa na waarabu kama vile tupo Asia huko.

Mpaka hapa umedhihirisha kuwa wewe ni mbaguzi

Ucku mwema
 
una zani naongea kwa bahati mbaya...? ukiulizwa historia ya pharao je? na kwanini mwili wake upo mpaka kesho, una weza toa majibu? ukiambiwa uingereza na historia ya mtu mweusi utaipokea? je mexico na sehemu zingine za dunia kama marekani kuwa huko kote mwafrika ndio alifika kwanza...

Acha maneno mengi kijana, nimeomba ushahidi!
 
Back
Top Bottom