Sawa machifu ndy waliuza babu zetu weusi kwenda huko walikoenda.Wengine America kaskazini na wengine kusini kulima miwa,wengine Europe especially ufaransa na wengine walibaki kuwa watumwa na vijakazi ktk nchi za kiarabu km Yemen na Oman
Swali langu kwako mwarabu wa Tz;kiko wapi kizazi cha mwendelezo cha watu weusi ktk hizo nchi za kiarabu ambazo babu zetu waliuzwa?
Tunawaona watu weusi Jamaica,Brazil, Peru, Caribbean, US, France nk..wako wapi watu weusi ktk nchi za kiarabu ambao unasema machifu waliwauza?
Sent from my CPH1923 using
JamiiForums mobile app