Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

Akili zingine bwana mwisho unaishia kucheka tu [emoji1787] unataka wajihesabu wao ni waafrika ilhali wao ni waarabu!! Fikiri kabla ya kukomenti.
Kwani Tanzania hakuna waarabu na wahindi?
Nao so watanzania?
 
Evidence mojawapo ni hii kampeni ya black lives matter
Unafikiri kwa Nini ipo

Black lives matter imeanzia kwa ndugu zenu mabeberu, kila leo wanauwa watu weusi na kuuwana wao kwa wao. Waarabu tusiwasingizie bwana, hawana shida na mtu wale, Allaah amewajaalia kwa ukarimu wao na roho safi.
 
Ukute limtoa mada linaitwa Abdullah
Basi linajiona li arab wakati jeusi tii kama sisi Wenzie.

Kuna watu ubongo wao ni wa kuunyofoa tuweke mawe tu

Maachallah jina zuri sana hilo, la baba yake kipenzi chetu Mtume Muhammad S.A.W.
 
Hii kitu inaniumiza sana mkuu, na kila nikijaribu ku-comment kwenye baadhi ya mitandao naishia kuoga matusi tu.
Matusi ni sehemu ya maisha yao, hivyo kitu cha kawaida kwao maana majitu yenyewe hayana imani.


Wakikutukana sema Alhamdulillah.
 
Taja hizo inchi za kiarabu ulizoenda na ww ni mweusi na usibaguliwe, labda Kama na ww ni muarabu unataka huruma sio Mana hapa bongo tu kuoa kwenye familia ya waarabu koko tu shida hata Kama ni vilamba sukari ila bado wanajiona wao Bora kuliko weusi

Omani na Emirates
 
Mtu mweusi kajazwa ujinga na Mzungu, anamuona mzungu kuwa ni "Mungu" wake. Haelewi kuwa Uarabu si rangi, ni lugha na tamaduni tu.


Ujinga wa Mwafrika ni pale anapombagua Mwarabu halafu wakati huohuo anasema yeye ni "Mstaarabu".

Mtu ambae haelewi hata maana ya Uarabu na Ustaarabu, huyo ni wa kumuonea huruma tu. Ujuwe huyo anamuabudu Binadam mwenzake aliyemjaza ujinga.
 
Taja hizo inchi za kiarabu ulizoenda na ww ni mweusi na usibaguliwe, labda Kama na ww ni muarabu unataka huruma sio Mana hapa bongo tu kuoa kwenye familia ya waarabu koko tu shida hata Kama ni vilamba sukari ila bado wanajiona wao Bora kuliko weusi
Wewe poyoyo, ni nani alikudanganya Uarabu ni rangi ya mtu?
 
Kwa tz haya mambo utayaona kwenye mitandao tu,mtaani huwez yaona

Lakin huko kwa waarabu unazinguliwa vzur tu mtaani
 
Ubaguzi bado unaendelea kulitafuna bara la Afrika

Mwanzo nilidhani wahindi ndio nambari moja kwa ubaguzi duniani, lakini nachokiona kwa ndugu zangu waafrika hususani hapa bongo niseme tu wengi wao ni wabaguzi wa kutupwa ni zaidi ya wahindi, hivyo wanaendelea na kujionyesha wazi kuwa wao ni wabaguzi wa RANGI.

Baadhi ya Comments nimekutananazo katika mtandao wa INSTAGRAM kuhusu timu ama matokeo ya mpira kwa tiketi ya kuwania kucheza kombe la dunia kati ya Waarabu na waafrika ambao tukonao bara moja, maneno makali sana ya kibaguzi yakitolewa na watu weusi kwa waarabu,, hii sio poa tukemee ubaguzi, udini na ukabila ndugu zangu.

Baadhi ya comments zikiwalenga waarab
View attachment 2169071View attachment 2169072View attachment 2169073View attachment 2169074View attachment 2169075View attachment 2169076View attachment 2169077View attachment 2169078View attachment 2169079View attachment 2169080View attachment 2169081View attachment 2169082View attachment 2169083View attachment 2169084View attachment 2169085View attachment 2169086View attachment 2169087View attachment 2169088View attachment 2169089View attachment 2169091View attachment 2169092View attachment 2169093View attachment 2169094View attachment 2169095View attachment 2169096View attachment 2169097View attachment 2169098View attachment 2169099

View attachment 2169070
Wewe pia umeleta maneno ya kibaguzi humu
Tusiotumia Instagram tungeyajuaje haya?
 
We jamaa bila Shaka ni mwarabu na hapa unawatetea waarabu wenzio.Hao jamaa ni wabaguzi kupindukia,hujakaa nao pekeyako,na hawapendi mtu mweusi hata kidogo.Tetea watu wengine Ila siyo waarabu Mzee

Wako wapi wale watu weusi walioenda nchi za kiarabu enzi za utumwa? Mbona America wapo,France pia wapo?

Jibu walikhanisiwa na wengine kuuawa,waarabu hawakutaka kizazi Chao kichafuliwe na waafrka weusi

Si unaona pia ni Jinsi gani ilivyo ngumu Kwa mtu mweusi kumuoa mwarabu Koko wa zenji,figisu kibao..jamii ya waarabu ni wabaguzi kupindukia

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Waarabu ni washenzi hata hawa waarabu koko hawawezi kwenda kuoa kwa waarabu original kabisa wanawabagua
 
Back
Top Bottom