Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,734
- 1,709
Hehehee kweli binadamu ni wapumbavu sana hasa sisi wenye ngozi nyeusi, Mtu anachukia Bomu sababu linalipua, ila anamsifu na kumtii aliyelirusha.Umesahau hiyo Dini imeletwa Na Hao Hao waarabu unaowachukia....
Mtume mwenyewe alihusika Na biashara ya watumwa Yani aliuza/kununua Na kumiliki watumwa.
Tena mtumwa mweusi hakuwa Na thamani...mtume aliuza watumwa weusi wawili ili anunue mweupe mmoja