Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

Acha uongo na avatar yako hiyo,, unadhani hatuishi na waarabu tukajionea!! Baadhi ya nchi za kiarabu nimevisit pia sijakutana na upumbafu wa hivi. So huwezi nidanganya, wadanganye wasiojielewa
Umeishi nao,kwani ulikuwa unacheza nao soka? Kwenye soka Wana hujuma saana hao watu hasa wakiwa kwao.
 
Acha uongo na avatar yako hiyo,, unadhani hatuishi na waarabu tukajionea!! Baadhi ya nchi za kiarabu nimevisit pia sijakutana na upumbafu wa hivi. So huwezi nidanganya, wadanganye wasiojielewa
wewe utakuwa muumini wa ile imani ya wavaa makubazi na visuruali vifupi-maake nyie hao waarabu ndio mabwana zenu.

hao waarabu ni manyang'au na wanaua dada zetu kila siku huko kwao tena kikatili mno mpaka kuwang'ofoa figo zao.

stupid you!
 
Una maoni gani kuhusu hili?
Tatizo ukijibiwa unaita waungwana waongo.Arabs wana ubaguzi mnoo kwa Waafrika.Ukiona Mwarabu yupo jirani na weye,ujue kuna kitu anahitaji umfanyie au umfanikishie.Hawa watu usiwatetee.Unamfanikishia jambo lake halafu kesho yake tu ukimkuta anaendesha usafiri wake anajidai yupo bize na simu.Uongo mtupu!Mbona wakati alipokuwa na changamoto alikuona bila mawaa?
Na vilevile,ukiwa chawa wao watajidai kukuweka karibu ili usiwatoroke waendelee kukutumia na kupata faida waitakayo.
NB;Kila jamii ina watu wabaguzi.Si wote.Na ubaguzi unatofautiana kutoka jamii moja hadi nyingine.
 
Hata sio kwamba sijaishi nao, mkuu mimi nimesoma na waarabu na wahindi. Yani shule niliyosoma primary mpaka sekondari waarabu na wahindi walikuwa wengi kuliko waafrika. Darasani waafrika tulikuwa sijui 4 au 5 hivi.

Tulikuwa poa tu hakuna kubaguana wala nini maana watoto mara nyingi uwa hawabaguani.

Ukubwani bado baadhi ya hao watu mpaka leo rafiki zangu.

Ila nasema nchi kama Egypt, Morroco sidhani kama wenyewe pia uwa wanajihesabu sana kama part ya Afrika
kumbe wewe unaongelea uzoefu watu wa asili ya waarabu hapa bongo.Wa hapa bongo ni wenzetu sisi tunaongelea wa kuleeee ughaibuni.Mbona Msalala,Igunga,Nzega,Shinyanga,Ujiji kuna waarabu ukiwatolea mfano hawa unakosea sana hawa wanaitwa washihiri wana mchanganyiko na weusi.Hivi unajua Morocco haijihesabu iko Africa.Marehemu Ghadhaf ndio kiongozi pekee aliutetea Uafrica.
 
Unawatetea hao mabwanor zako hujui wanavo tesa na kuwaua waafrika kikatili eti enhe?
Video clip kibao wanatufanyia unyama ulishaona sisi tunafanya violence against wao?
 
Ubaguzi sio mzuri ila wale waarabu Koko ni wavamizi wa bara la Afrika na waliwahujumu wenyeji waliokua blacks maeneo ya Kule Juu na kuwafanya wafanye movement kwenda west kama Nigeria & co wale wa Misri wakaenda Mali ambao ndio Dogon tribe
Wengine ndio Bantu waliokuja huku down east Afrika,

Siwakubali kabisa Kwa mfano wale wa Misri ningekua na power ningewatimua Wote Ile ardhi ya Nile valley ibakie kama makumbusho ya mababu zetu

Shabhash!
 
Tukana tu, lakini ukweli usemwe japo unauma kwa wasiojitambua.

Huo utumwa unauzungumzia, je! Ulikuwepo na ukashuhudia live matukio hayo?
Ww nenda youtube angalia hao jamaaa wanavo waua watu weusi wanaopita wanataka kwenda ulaya ndo utajua hao jamaa wanavotuchukia sisi kwa kiwango cha lami ifike mahali tujitambue sio kujikomba na kujipendekeza kwa watu.Pia ukitaka kujua hao ni wabaguzi hali ya juu nenda kaoe huko kwao km utapata mke ww ila wao huku sisi bado tunawapa dada zetu tujikubali kwanza sipendi ubaguzi ila km mtu hakupendi anakubagua wa nn kukomaa nae...
 
kumbe wewe unaongelea uzoefu watu wa asili ya waarabu hapa bongo.Wa hapa bongo ni wenzetu sisi tunaongelea wa kuleeee ughaibuni.Mbona Msalala,Igunga,Nzega,Shinyanga,Ujiji kuna waarabu ukiwatolea mfano hawa unakosea sana hawa wanaitwa washihiri wana mchanganyiko na weusi.Hivi unajua Morocco haijihesabu iko Africa.Marehemu Ghadhaf ndio kiongozi pekee aliutetea Uafrica.
Mkuu hata mimi mwisho nimehitimisha kuwa hao egypt na morocco sidhani kama wanajihesabu kama ni part ya afrika.

Japo Gadaffi alikuwa anatetea afrika, ila walibya kwa story ambazo nasikia za watu wamefika libya ni wabaguzi kwa waafrika.

Nina jamaa yangu alizamia miaka ya 90 akaishia kukaa libya kwa miez kadhaa, anakwambia walikuwa wakipanda basi sometimes watu wanziba pua, au ukipata mtaani mama anampa mtoto jiwe akurushiwe.

Anadai kulikuwa na kundi la vijana linaitwa asco boys ukikutana nao jua umekwisha wanakugonga na yale marungu ya baseball
 
Morocco
Libya
Tunisia
Algeria
Egypt
Wote wanaongea Arabic kama lugha mama.

Hizi ni inchi ambazo zipo Africa,lakini watu wake hawajihesabu kama ni waafrika.

Ukibahatika kukutana nao uarabuni,

Yeye sio muafrica,
Yeye ni muarabu.
 
Watu weusi hatukuwa wabaguziiiii hata kidogo ilii sisi ni wahanga wa ubaguziiii tukaona isiwe taaabu na sisi ngoja tujibu mapigo sasa imekuwa nongwaaa
Acha iwe nongwa mkuu tumeteseka sana na ubaguzi na bado tunateseka sana na ubaguzi tatizo hatujioni tumekamilika bila hao wakati sisi tumekamilika kabisa hata bila wao life linasonga.#Tujikubali ..
 
Hao waarabu walikuja tu from nowhere wakaanza kubeba watu? Machifu ndo waliuza watu wao...kama ambavyo tunaendelea kuuzwa Leo na viongozi wetu Kwa hizi ngozi nyeupe.
Machifu na si walikua wanaogopa ngozi nyeupe na pia walikua wanufaika wa biashara lakini pia km hao waarabu na wazungu wasinhekuja kufanya biashara hiyo ya utumwa hao machifu wangemuuza nani chanzo ni hao hao tu mkuu
 
Back
Top Bottom