Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

Ubaguzi bado unaendelea kulitafuna bara la Afrika

Mwanzo nilidhani wahindi ndio nambari moja kwa ubaguzi duniani, lakini nachokiona kwa ndugu zangu waafrika hususani hapa bongo niseme tu wengi wao ni wabaguzi wa kutupwa ni zaidi ya wahindi, hivyo wanaendelea na kujionyesha wazi kuwa wao ni wabaguzi wa RANGI.

Baadhi ya Comments nimekutananazo katika mtandao wa INSTAGRAM kuhusu timu ama matokeo ya mpira kwa tiketi ya kuwania kucheza kombe la dunia kati ya Waarabu na waafrika ambao tukonao bara moja, maneno makali sana ya kibaguzi yakitolewa na watu weusi kwa waarabu,, hii sio poa tukemee ubaguzi, udini na ukabila ndugu zangu.

Baadhi ya comments zikiwalenga waarab
View attachment 2169071View attachment 2169072View attachment 2169073View attachment 2169074View attachment 2169075View attachment 2169076View attachment 2169077View attachment 2169078View attachment 2169079View attachment 2169080View attachment 2169081View attachment 2169082View attachment 2169083View attachment 2169084View attachment 2169085View attachment 2169086View attachment 2169087View attachment 2169088View attachment 2169089View attachment 2169091View attachment 2169092View attachment 2169093View attachment 2169094View attachment 2169095View attachment 2169096View attachment 2169097View attachment 2169098View attachment 2169099

View attachment 2169070
Una exposure kisi gani?

Uko very naive aisee
 
Black lives matter imeanzia kwa ndugu zenu mabeberu, kila leo wanauwa watu weusi na kuuwana wao kwa wao. Waarabu tusiwasingizie bwana, hawana shida na mtu wale, Allaah amewajaalia kwa ukarimu wao na roho safi.
Umeruka ruka wee hatimaye umeonyeaha rangi yako

Asalamaleku shehee
 
Hata hivo sisi bado tuna roho sana tena ya upendo maana hao waarabu ndo walikua wanatusaka kama usakavyo swala wakati wa mawindo ili watuuze km pipi iuzavyo dukani kwa wazungu au umesahau biashara ya utumwa babu zetu waliyopitia.Harafu mtu huyo akimsema mzungu ama mwarabu ni mbaguzi unamtetea natamani nikutukane tusi zito #^@

alielusaka ni muafrica mwenzio sio muarabu, Muarabu alinunua bidhaa kutoka kwa muafrica
 
Hata sio kwamba sijaishi nao, mkuu mimi nimesoma na waarabu na wahindi. Yani shule niliyosoma primary mpaka sekondari waarabu na wahindi walikuwa wengi kuliko waafrika. Darasani waafrika tulikuwa sijui 4 au 5 hivi.

Tulikuwa poa tu hakuna kubaguana wala nini maana watoto mara nyingi uwa hawabaguani.

Ukubwani bado baadhi ya hao watu mpaka leo rafiki zangu.

Ila nasema nchi kama Egypt, Morroco sidhani kama wenyewe pia uwa wanajihesabu sana kama part ya Afrika

kama wao hawajihesabu waafrica kwanini wajiunge na AU? kwanini wajiunge na CAF? watu weusi tuna matatizo mkaubwa ya kisaikolojia
 
kama wao hawajihesabu waafrica kwanini wajiunge na AU? kwanini wajiunge na CAF? watu weusi tuna matatizo mkaubwa ya kisaikolojia
Ili wafaidi matunda ya hizo community za Afrika.
Lakini chukulia nchi kama Egypt ina influnce sana kwa siasa za nchi kiarabu. Sema influence yake imeshuka miaka ya karibuni, ila ni nchi ambayo mataifa mengi ya Kiarabu yalikiwa yakiisikiliza na imeshirika sana katika kusuluhisha migogoro yao.
Wale wako sana upande ule kuliko huku kwetu
 
Ili wafaidi matunda ya hizo community za Afrika.
Lakini chukulia nchi kama Egypt ina influnce sana kwa siasa za nchi kiarabu. Sema influence yake imeshuka miaka ya karibuni, ila ni nchi ambayo mataifa mengi ya Kiarabu yalikiwa yakiisikiliza na imeshirika sana katika kusuluhisha migogoro yao.
Wale wako sana upande ule kuliko huku kwetu

tatizo lako wewe ni kuwa unachanganya Uarabu na Uafrica, Misri ni waafrica na wakati huohuo ni waarabu. Kwahiyo hakuna ubaya wowote wao kijuhusisha na siasa za kiarabu.
 
Back
Top Bottom