0ozg Tz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 4,155
- 11,168
Unaweza pigwa hata shabaUnazinguliwa kivipi, why mnapenda kuongea vitu bila ushahidi!!! Kemea ubaguzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza pigwa hata shabaUnazinguliwa kivipi, why mnapenda kuongea vitu bila ushahidi!!! Kemea ubaguzi
Ndicho hicho sasa ninachosema kuwa Afrika wako geographically ila wao ni Waarab
Wapo sahihi, Uarabu sio geographical, sio rangi, sio kabila. Ni lugha na tamaduni. Wengi ya Waarabu duniani ni Waafrika, iwe weupe , weusi, yellow, red, chocolate, Who cares?Ndicho hicho sasa ninachosema kuwa Afrika wako geographically ila wao ni Waarab
Siku izi uko huku??kipindi Cha Uchaguzi ilikua wa moto kweli.hukuteuliwa nini?[emoji1787][emoji1787]Wapo sahihi, Uarabu sio geographical, sio rangi, sio kabila. Ni lugha na tamaduni. Wengi ya Waarabu duniani ni Waafrika, iwe weupe , weusi, yellow, red, chocolate, Who cares?
Ni juha tu anaedhani uarabu ni rangi au nchi au kontinenti. Uarabu ni lugha na tamaduni. Kama ilivyo Waswahili.
Ndo maana tunasema walaumiwe wote..Kama Mwarabu alikuwa akiuza watumwa aliyekuwa akinunua si mzungu..!Hata hivo sisi bado tuna roho sana tena ya upendo maana hao waarabu ndo walikua wanatusaka kama usakavyo swala wakati wa mawindo ili watuuze km pipi iuzavyo dukani kwa wazungu au umesahau biashara ya utumwa babu zetu waliyopitia.Harafu mtu huyo akimsema mzungu ama mwarabu ni mbaguzi unamtetea natamani nikutukane tusi zito #^@
Afadhali umenena...Wengine tukisema wanaleta ule ubaguzi eti kwasababu Wewe Mwarabu...!Acha uongo, unadhani wengine hatuishi na waarabu tukajionea!! Baadhi ya nchi za kiarabu nimevisit pia sijakutana na upumbafu wa hivi. So huwezi nidanganya, wadanganye wasiojielewa
Kwaio nawewe bibi ukivaa juba unakua mwarabuWewe poyoyo, ni nani alikudanganya Uarabu ni rangi ya mtu?
una zani naongea kwa bahati mbaya...? ukiulizwa historia ya pharao je? na kwanini mwili wake upo mpaka kesho, una weza toa majibu? ukiambiwa uingereza na historia ya mtu mweusi utaipokea? je mexico na sehemu zingine za dunia kama marekani kuwa huko kote mwafrika ndio alifika kwanza...Ukiombwa kithibitisho utaleta?????????????????
Mkuu punguza UDINI ni mbaya zaidi kuliko “ubaguzi” wa uarabu unaojifanya kuuteteaHalafu huyo ni muislamu mwenzetu anaongea hayo, sijajua anawaogopa na kuwaonea aibu wasio waislamu!!
Sawa kiongozi [emoji16]Labda kama uliisha baada ya mimi kuondoka. Utangamano wetu na waarabu ulikuwa wa kutumikishwa zaidi (kuajiriwa kuuza maduka na kazi za ndani), kwenye ndoa na maisha ya kawaida ulikuwepo kwa wao na waarabu koko.
Mara 100Gusia pande zote mbili. Waarabu wao ni wabaguzi mara 3 ya Waafrika
Too late.Ndugu zangu watanzania msema 'kweri' ni mpenzi wa Mungu, hawa waarabu binafsi SIWAPENDI kweri kweri na ikiwezekana siku moja tuwafukuze kwenye bara letu.
Black lives matters ni slogani ya kupingq “wazungu” kuwabagua “weusi”Ndo maana tunasema walaumiwe wote..Kama Mwarabu alikuwa akiuza watumwa aliyekuwa akinunua si mzungu..!
Wewe kila siku uko na mada za kutetea waarabu. Sasa tuletee tweets za waarabu wakipongeza hizi timu za blacks tuone walivyo na upendo mkubwa.Acha uongo, unadhani wengine hatuishi na waarabu tukajionea!! Baadhi ya nchi za kiarabu nimevisit pia sijakutana na upumbafu wa hivi. So huwezi nidanganya, wadanganye wasiojielewa
Unaujua umaarufu wa Tip tip?Hao waarabu walikuja tu from nowhere wakaanza kubeba watu? Machifu ndo waliuza watu wao...kama ambavyo tunaendelea kuuzwa Leo na viongozi wetu Kwa hizi ngozi nyeupe.
Acha siasa, kuna waliotaka kujiunga Ulaya, ikashindikana.Mkuu, "hiyo ni dhana tu wala huna uhakika wa hicho"
Sema wengi wenu hamjaishi na waarabu ndio maana mnawasema na kuwafikiria vibaya, na wengine hufuata mkumbo.
Binafsi, bado sijaona jamii watu wake wakarimu kama waarabu.
Misri inayotajwa kwenye historia siyo hii ya hawa waarabu.Misri?? Amin, Amin nakwambia kabla hawajazaliwa mababu wao walikuepo
Ila walio kuwa wanawanunua watumwa (wamarekani) unaona walikuwa sahihi?Hao waarabu ndo walikuja kigoma Na Tabora kuchukua mababu zetu Na kuwasafirisha Kwa mguu kama ng'ombe Na minyororo mpaka bagamoyo Na kilwa ili kuwauza?
Leo Sisi ndiyo waasisi wa ubaguzi?
Cha ajabu dada zetu bado wanaenda tu, lakini kule Italy alikodhalilishwa Samuel Eto'o na kufananishwa na nyani hatuoni kama ubaguzi.Nani kakwambia waarabu ni ndugu zako mzee, Ubaguzi katika historia waliuanza wao hadi sasa ni wabaguzi wakubwa zaidi miongoni mwa binadamu wote mbele ya watu weusi, Qngalia wanachofanywa dada zetu wanaoenda kutafuta vibarua Nchi za arabuni.