Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Waafrika wengi tunadai kulalamika eti Morocco ametubagua kwa kusema ushindi wao ni zawadi kwa Waarabu na Waislamu na kuwaacha Waafrika
Hivi niwaulize ni tangia lini tumewachukulia Morroco kama Waafrika wenzetu?
Hawa watu sisi si ndio tunaongoza kwa kuwaita Waarabu? Hata mechi za CAF club zao zikija hapa nchni tunawaita Waarabu
Iweje leo tulalamike kwa wao kujiona ni Waarabu?
Fainali ni Morocco vs Croatia