Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Ni lini afrika tutaacha kulilia huruma ya kutaka kukubalika na race zingine., ifike hatua tukubali kwamba hakuna mtu makini atataka kujihusisha nasi vinginevyo huo uhusiano uwe kwa ajiri ya kutupiga, chukulia mfano bongo tu kwa rasilimali tulizo nazo ni ujinga kuwa na mgao wa umeme alafu mnataka mtu awe proud kabisa mbele ya dunia kututambua sisi ni wenzake?