Killa Cam
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,264
- 6,679
Jumatano haipo mbali nikumbushe baada ya France kula kichapo.Apo kwa moroko labda waingie na mabomu uwanjani. France hawana cha kupoteza. Watawaheshimu moroko ila kipigo kitakuwa pale pale.. aise akipigwa basi nitaamini uchawi upo