Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Wanaolalamika siyo wastaarabu kabisa. Ureno ni ndugu yetu na bado tumeoleana hapo Msumbiji na Angola. Halafu Vasco Dagama aliwahi kufika Kilwa na akakaa pale zaidi yawezi kabla ya kwanda Mombasa.Waafrika wengi tunadai kulalamika eti Morocco ametubagua kwa kusema ushindi wao ni zawadi kwa Waarabu na Waislamu na kuwaacha Waafrika
Hivi niwaulize ni tangia lini tumewachukulia Morroco kama Waafrika wenzetu?
Hawa watu sisi si ndio tunaongoza kwa kuwaita Waarabu? Hata mechi za CAF club zao zikija hapa nchni tunawaita Waarabu
Iweje leo tulalamike kwa wao kujiona ni Waarabu?
Fainali ni Morocco vs Croatia
Kwani sio waarabu?Waafrika wengi tunadai kulalamika eti Morocco ametubagua kwa kusema ushindi wao ni zawadi kwa Waarabu na Waislamu na kuwaacha Waafrika
Hivi niwaulize ni tangia lini tumewachukulia Morroco kama Waafrika wenzetu?
Hawa watu sisi si ndio tunaongoza kwa kuwaita Waarabu? Hata mechi za CAF club zao zikija hapa nchni tunawaita Waarabu
Iweje leo tulalamike kwa wao kujiona ni Waarabu?
Fainali ni Morocco vs Croatia
Wazungu Wa Afrika ya kusini Ulishawahi sikia wakijiita Europeans? Upumbavu huo uko kwa waarabu,wapemba na wahindi ndio hujpenda kujitambukisha na nchi za kiarabu na India.Kwani sio waarabu?
Mfalme wa Morocco hana Shida na Africa sema hiyo team wapuuzi tuNi kweli coz kabla ya michuano tulisimama na Cameroon,Senagal na Ghana hao wengine hawakua kwenye misamiati yetu.
Akili ya mzungu iko tofauti sana na hao wengine pamoja na sisiWazungu Wa Afrika ya kusini Ulishawahi sikia wakijiita Europeans? Upumbavu huo uko kwa waarabu,wapemba na wahindi ndio hujpenda kujitambukisha na nchi za kiarabu na India.
Wazungu wa Afrika kusini wako vizuri na wanajielewa kuliko hao wajinga wa team ya Morocco
Utakuwa umetambuliwa na wamorocco weweWaafrika wengi tunadai kulalamika eti Morocco ametubagua kwa kusema ushindi wao ni zawadi kwa Waarabu na Waislamu na kuwaacha Waafrika
Hivi niwaulize ni tangia lini tumewachukulia Morroco kama Waafrika wenzetu?
Hawa watu sisi si ndio tunaongoza kwa kuwaita Waarabu? Hata mechi za CAF club zao zikija hapa nchni tunawaita Waarabu
Iweje leo tulalamike kwa wao kujiona ni Waarabu?
Fainali ni Morocco vs Croatia
Nakubaliana na wewe, tuache unafiki kila mtu apiganie Taifa lake. Wao ni Morocco Waarabu, Waislam wamefuzu kombe la Dunia kwa Kodi zao. Leo tuje tuwapangie wamuwakilishe Nani. Kwanza tujiulize je walikabidhiwa bendera na Africa au Morocco. Tuwekeze kwenye soka tuache uchawa wa kushabikia kila timu.Waafrika wengi tunadai kulalamika eti Morocco ametubagua kwa kusema ushindi wao ni zawadi kwa Waarabu na Waislamu na kuwaacha Waafrika
Hivi niwaulize ni tangia lini tumewachukulia Morroco kama Waafrika wenzetu?
Hawa watu sisi si ndio tunaongoza kwa kuwaita Waarabu? Hata mechi za CAF club zao zikija hapa nchni tunawaita Waarabu
Iweje leo tulalamike kwa wao kujiona ni Waarabu?
Fainali ni Morocco vs Croatia
Uko sahihi kabisa mia kwa miaAkili ya mzungu iko tofauti sana na hao wengine pamoja na sisi
Mi muislam nshatajwa, nyie waafrika shauri yenuWaafrika wengi tunadai kulalamika eti Morocco ametubagua kwa kusema ushindi wao ni zawadi kwa Waarabu na Waislamu na kuwaacha Waafrika
Hivi niwaulize ni tangia lini tumewachukulia Morroco kama Waafrika wenzetu?
Hawa watu sisi si ndio tunaongoza kwa kuwaita Waarabu? Hata mechi za CAF club zao zikija hapa nchni tunawaita Waarabu
Iweje leo tulalamike kwa wao kujiona ni Waarabu?
Fainali ni Morocco vs Croatia
Wazungu Afrika kusini ambao wanajitambua kama Africans ,South Africans hawana hiyo laana mbona wanajitambua kama waafrika sio Europeans, pamoja na kuwa na qualities zote za kizungu ? Sema hiyo.mibwege timu ya Morocco, waarabu na wahindi na wapemba walioko Tanzania wanaojitia na kujitambukisha kama waarabu na wahindi wa uarabuni na India mabwege tu yadiyo na mbele wala nyumaWaafrika ni watu waliolaanika