Waafrika tuache unafiki kuhusu suala la Morocco

Ni lini afrika tutaacha kulilia huruma ya kutaka kukubalika na race zingine., ifike hatua tukubali kwamba hakuna mtu makini atataka kujihusisha nasi vinginevyo huo uhusiano uwe kwa ajiri ya kutupiga, chukulia mfano bongo tu kwa rasilimali tulizo nazo ni ujinga kuwa na mgao wa umeme alafu mnataka mtu awe proud kabisa mbele ya dunia kututambua sisi ni wenzake?
 
Usitulazimishe kaa na morroco yako
 
Sijawahi ona Uingereza akishangilia ushindi wa Portugal kisa ni wa Ulaya wote..

Huu ni utumwa wa kifikra kwa waafrika.

Kila mtu ashinde mechi zake!!..
Wale wanapinga hadharani ila wakiwa gizani na mbinu mbaya dhidi ya Africa wanakuwa kitu kimoja wale.
 
Huu uzi naona kwenye hili swala la Morocco ni vita imehamia kwenye islam vs Christian.
 
Morroco haiko Africa kaskazini, iko ulaya kusini.
Alisikika mwarabu mmoja mchezaji wa morocco alipoulizwa kuhusu Morroco kuingia Nusu
 
Wale wanapinga hadharani ila wakiwa gizani na mbinu mbaya dhidi ya Africa wanakuwa kitu kimoja wale.
Mbinu mbaya zipi? Acheni visingizio vya ajabu, Afrika hawana mbinu za kimpira
 
ndugu hayo maneno hayajasemwa na taifa la morocco alisema mchezqji mmoja wa marocco
 
Weee jamaa ni mchawi aise..japo magoli umekosea ila red kadi imetoka, na moroko wameshinda
Hapa Tunguli linasema mfaransa anakula kichapo na Mbappe ataumia. Natafuta damu ya mwari ya mwezi niangalie mwisho itakuwaje.
 
Hapa Tunguli linasema mfaransa anakula kichapo na Mbappe ataumia. Natafuta damu ya mwari ya mwezi niangalie mwisho itakuwaje.
Tunguli lako kapikie uji tu unywe upunguze njaa uchawi auendi kwa mentali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu kichapo atakula akicheza na Morocco sio na hawa wajukuu wa babu.
Apo kwa moroko labda waingie na mabomu uwanjani. France hawana cha kupoteza. Watawaheshimu moroko ila kipigo kitakuwa pale pale.. aise akipigwa basi nitaamini uchawi upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…