Sisi weusi ni Wajinga Sana tumajadili kitu kidogo alichotamka mtu mmoja.tena mtoto.wivu wetu,hasadi na fitina ndio maana kila kitu tunakuwa was mwisho.Ukicheki Sana utagundua hakuna cha Uarabu au Uafrika shida ni kutajwa dini ya Mungu ndio kinachowauma.Vingine no visingizio Tu.Dini yenyewe haina habari na huo mpira wenu.