Waafrika tuna uwezo mdogo wa kujiongoza kimaendeleo, Naomba unitajie nchi moja tu ya kiafrika inayoendeshwa na waafrika iliyo stable?

Wametuzidi kila kitu kimaendeleo na uchumi wao ni mkubwa ukituacha kwa mbali sana.
Kenya hawajatuacha kiasi hicho mkuu, wanastruggle tu kama sisi, maendeleo gani hasa wanayo kutuzidi, uchumi upi hasa unauzingumzia mkuu?
 
GDP yao ni $billion 115, sisi ni 86
Wana viwanda vingi kutuzidi,
Huduma bora za afya kutuzidi,
Shule bora kutuzidi
Benki kubwa zaidi Africa mashariki ziko Kenya
Mtandao wa simu ulioenea kila mahali
Huduma bora za digital kutuzidi
Demokrasia bora kutuzidi
Barabara, bandari na Airports bora kutuzidi.
 
Uchumi wa mtu mmoja mmoja?
 
I doubt mkuu.
Mtoto wa masikini Kenya anaenda kwenye shule bora za umma kuliko Tanzania, Kenya fursa za ajira nzuri tofauti ni nyingi ndani ya nchi hadi nje ya nchi kutuzidi,
Wafanya biashara ndogo ndogo wanafanya bishara zao katika mazingira mazuri kuliko Tz, muuza mboga barabarani wa Kenya ana unafuu mkubwa wa maisha ukilinganisha na wa Tanzania
 
Mtoto wa masikini Kenya anaenda kwenye shule bora za umma kuliko Tanzania, Kenya fursa za ajira nzuri tofauti ni nyingi ndani ya nchi hadi nje ya nchi kutuzidi,
Wafanya biashara ndogo ndogo wanafanya bishara zao katika mazingira mazuri kuliko Tz, muuza mboga barabarani wa Kenya ana unafuu mkubwa wa masiha kuliko ukilinganisha na wa Tanzania
Mimi Kenya niliwahi kuishi na kufanya kazi kama miaka miwili na nilitembelea mikoa minne tofauti tofauti utofauti mkubwa niliouona walichotuzidi ni kwenye miundombinu yao kwenye mikoa yao yote iko standardized tofauti na Tanzania maendeleo yako Dar tu peke yake ukivuka kibaha tu unakutana na mapori makubwa,hata lifestyle ya watu inabadilika ghafla ukivuka kibaha lakini kwa Kenya ukiachana na Nairobi ukienda Naivasha,Nakuru au Mount Kenya bado unakutana na mji wenye maendeleo makubwa na huduma zote zinapatikana hata lifestyle ya watu utakaokutana nao hawatofautiani na uliowakuta Nairobi.
Lakini tukija kwenye uchumi wa mtu mmoja mmoja maskini wa Kenya anaishi maisha magumu ukilinganisha na maskini wa Tanzania,maskini wa Kenya anatumia nguvu nyingi sana kwenye suala la mzunguko wa pesa na kuendesha maisha nikimaanisha pesa nyingi inashikiliwa na matajiri wachache.
Maskini wa Kenya analala kwenye nyumba ya mabati wakati maskini wa Tanzania ana kiwanja na nyumba ya tofali hata kama hana kazi ya kueleweka.
Raia wa Kenya ambaye hana kazi ya kueleweka inabidi atumie nguvu ya ziada kupata pesa ya kujikimu ikiwezekana afanye utapeli ndio apate hela ya kula.
Na bila ya kusahau gharama za maisha Kenya ziko juu sana kulinganisha na Tanzania kwa mfano Tanzania ukiwa na buku 3 unakula msosi mzuri wa wali nyama au wali kuku kwenye Restaurant yenye hadhi wakati hiyo elfu 3 kwa Kenya utakula msosi kwa Mama ntilie wa kandokando ya barabara tena ugali maharage au wali maharage ili mradi ujaze tumbo uende ukalale.
Kitu kingine nilichokiona Tanzania unaweza kuishi kwa mshahara wowote hata laki 2 kwa mwezi ukijua location ya hadhi yako inayokufaa kwa kulipia chumba cha elfu 40 au 30 kwa mwezi kina umeme na maji yapo nje wakati Kenya nyumba zao wameziseti inakuwa master room yenye choo na kitchen ya kishkaji kwa kodi ya 7000Ksh ambayo inakaribia 150000Tsh haijalishi unapokea mshahara kiasi gani au unafanya kazi gani na ukishindwa hiyo basi itakubidi ukapange kwenye chumba kilichotengenezwa kwa mabati juu hadi chini.
Hayo ndio ninayoyafahamu kuhusu Kenya yako mambo mengi ila nimeamua kufupisha muda hautoshi kuyaandika yote.
 
Nigeria - uchumi mzuri ila kuna ukabila wa hali ya juu sana kila siku biashara na nyumba za wa igbo zinabomolewa na kuchomwa bila notice ama notice ya masaa mawili, kuna makundi yenye itikadi kali za kiisalam za kuua wakristo, n.k.

South Africa - Asilimia 85 ya ardhi bado inamilikiwa na makaburu na wazungu, uchumi nao asilimia kubwa ni hao hao, wafrika wapo wengi kwa idadi tu

Haiti - Hawa walikuwa wa kwanza kupata uhuru kuzidi Dominika majirani zao lakini leo hii Dominica ni kama ulaya, Haiti ni kama uswazi

Kenya - Ukabila upo Rais ni aidha awe mkikuyu ama mkalenjini, FULLSTOP !! hata kwenye vyeo na makazini hayo ndio makabila yanayopewa uzito zaidi

Rwanda - Kagame ni Dictator hataki ushindani kabisa, wahutu ni takribani asilimia 85 ya idadi ya warwanda lakini watutsi ambao ni talribani asilimia 10 tu ndio wana vyeo vingi vya juu na ajira kwenye taasisi za juu kuzidi wahutu

Ghana - nchi hii ya kwanza Afrika kupata uhuru angalau ina maendeleo japo haifikii Nigeria na Sauzi lakini bado wanasumbuliwa na ufisado, wapo nyuma kwenye miundombinu, upatikanaji wa maji, huduma za serikali, , bado kuna shule watoto wanakaa chini, n.k.

BOTSWANA - Tuwape muda wana uelekeo mzuri, wana maendeleo ya kati lakini wanakuja kwa speed kali, ndani ya miaka 40 wanaweza kuwa pearl of Africa,
  • Wanajitahidi sana kudhibiti ufisadi na kuwashughulikia mafsiadi
  • watumishi wa serikali wanaowajibika
  • hakuna ukabila
  • kuna amani
  • misaada ya nje wanaendeleza huduma za kijamii sio upigaji
  • mikopo wanawekeza na kuexport rasilimali wapate mapato na kufuta madeni
  • mapato yanawekezwa kwenye kukuza huduma za kijamii bila ufisadi
[/QUOT

Tanzania
 
Tanzania tunasumbuliwa na nini.. umbumbumbu au kuna jengine..?
 
Mimi Kenya niliwahi kuishi na kufanya kazi kama miaka miwili na nilitembelea mikoa minne tofauti tofauti utofauti mkubwa niliouona walichotuzidi ni kwenye miundombinu yao kwenye mikoa yao yote iko standardized tofauti na Tanzania maendeleo yako Dar tu peke yake ukivuka kibaha tu unakutana na mapori makubwa,hata lifestyle ya watu inabadilika ghafla ukivuka kibaha lakini kwa Kenya ukiachana na Nairobi ukienda Naivasha,Nakuru au Mount Kenya bado unakutana na mji wenye maendeleo makubwa na huduma zote zinapatikana hata lifestyle ya watu utakaokutana nao hawatofautiani na uliowakuta Nairobi.
Lakini tukija kwenye uchumi wa mtu mmoja mmoja maskini wa Kenya anaishi maisha magumu ukilinganisha na maskini wa Tanzania,maskini wa Kenya anatumia nguvu nyingi sana kwenye suala la mzunguko wa pesa na kuendesha maisha nikimaanisha pesa nyingi inashikiliwa na matajiri wachache.
Maskini wa Kenya analala kwenye nyumba ya mabati wakati maskini wa Tanzania ana kiwanja na nyumba ya tofali hata kama hana kazi ya kueleweka.
Raia wa Kenya ambaye hana kazi ya kueleweka inabidi atumie nguvu ya ziada kupata pesa ya kujikimu ikiwezekana afanye utapeli ndio apate hela ya kula.
Na bila ya kusahau gharama za maisha Kenya ziko juu sana kulinganisha na Tanzania kwa mfano Tanzania ukiwa na buku 3 unakula msosi mzuri wa wali nyama au wali kuku kwenye Restaurant yenye hadhi wakati hiyo elfu 3 kwa Kenya utakula msosi kwa Mama ntilie wa kandokando ya barabara tena ugali maharage au wali maharage ili mradi ujaze tumbo uende ukalale.
Kitu kingine nilichokiona Tanzania unaweza kuishi kwa mshahara wowote hata laki 2 kwa mwezi ukijua location ya hadhi yako inayokufaa kwa kulipia chumba cha elfu 40 au 30 kwa mwezi kina umeme na maji yapo nje wakati Kenya nyumba zao wameziseti inakuwa master room yenye choo na kitchen ya kishkaji kwa kodi ya 7000Ksh ambayo inakaribia 150000Tsh haijalishi unapokea mshahara kiasi gani au unafanya kazi gani na ukishindwa hiyo basi itakubidi ukapange kwenye chumba kilichotengenezwa kwa mabati juu hadi chini.
Hayo ndio ninayoyafahamu kuhusu Kenya yako mambo mengi ila nimeamua kufupisha muda hautoshi kuyaandika yote.
Kiuchumi na Elimu hawa jamaa wametupita ila walichokosa ni undugu wa kuweza kuishi pamoja, Ukabila unawasumbua sana, hawana umoja, Kenya ni ya watu wa makabila flani ukiwa kabila tofauti maisha ni magumu.

Kuhusu suala la pesa kuikidhi mahitaji inategemeana na malipo, Hata Marekani na nchi za ulaya kodi ya chumba ni dola 700 takribani shilingi milioni 1 na nusu lakini malipo ya kazi mtu analipwa kima cha chini ni elf 18 kwa saa hizo ni kazi za kuosha vyombo, kusafisha meza za kula, n.k.

Na huko Kenya mishahara ipo juu kuzidi Tz ndio maana Kenya maisha yapo juu kwa Mtanzania

Pia Kenya wameanza kuwa wajanja mapema kuzidi Tz, kumbuka hao hata mambo ya Tv wameyjua tangu 1960s tofauti na sisi tumeanza 1990s, Kenya ndio nchi yenye wanadiaspora wengi zaidi kwa hapa Africa mashariki wamejaa zaidi huko Marekani na ulaya, Kenya ndio main exporters wa bidhaa za Tanzania ikiwemo maparachichi, n.k.
 
Kenya walitakuwa kuwa juu zaidi ,nimeishi kenya maana pia nimekaa mpakani.

Kenya wana maendeleo ila sio nchi nzuri ...Kenya kuna ubaguzi wa wazi ndugu yangu kuna makabila ukizaliwa basi una nuksi mazima hata furaa hupati usiwe mkamba ,mkisii ,wakale
Nairobi mchana kweupe unaweza kuwekewa pistol kwa kificho ukapelekwa kusikojulikana kama una pesa
Ukabila mwingi na rushwa iliyokithiri
Nimepita na sanduku langu moja tu, uhamiaji ananiambia hii biashara ya nguo?
Anatafuta rushwa ya nguvu yaani hawana haya wala aibu kwenye rushwa

Uganda wapole nimepita Kampala wao wanakuambia home watoto wanataka kuku 😄 hapo lazima umpe hata $10
 
Lakini tukija kwenye uchumi wa mtu mmoja mmoja maskini wa Kenya anaishi maisha magumu ukilinganisha na maskini wa Tanzania,maskini wa Kenya anatumia nguvu nyingi sana kwenye suala la mzunguko wa pesa na kuendesha maisha nikimaanisha pesa nyingi inashikiliwa na matajiri wachache.
Maskini wa Kenya analala kwenye nyumba ya mabati wakati maskini wa Tanzania ana kiwanja na nyumba ya tofali hata kama hana kazi ya kueleweka.
Raia wa Kenya ambaye hana kazi ya kueleweka inabidi atumie nguvu ya ziada kupata pesa ya kujikimu ikiwezekana afanye utapeli ndio apate hela ya kula.
Na bila ya kusahau gharama za maisha Kenya ziko juu sana kulinganisha na Tanzania kwa mfano Tanzania ukiwa na buku 3 unakula msosi mzuri wa wali nyama au wali kuku kwenye Restaurant yenye hadhi wakati hiyo elfu 3 kwa Kenya utakula msosi kwa Mama ntilie wa kandokando ya barabara tena ugali maharage au wali maharage ili mradi ujaze tumbo uende ukalale.
Umewahi kuona omba omba Kenya wanaozunguka barabarani kama hapa Tanzania?
Umewahi kuona nyumba za tembe zilizoezekwa kwa majani Kenya?
Mtu anayejenga nyumba ya mabati na anayejenga nyumba ya tembe(udongo) iliyoezekwa kwa makuti nani anaweza kuwa masikini zaidi?
Raia wa Tanzania ambaye hana ajira ila anaishi kwa vizinga unataka kusema ni bora kuliko wa Kenya anayetapeli?
Umewahi kuona raia ambao kazinyao ni waokota makopo/chupa za maji Kenya?
Gharama za maisha Marekani ziko juu kuliko Tanzania, huko USA huwezi kupata wali nyama $1 lakini hiyo haimaanishi kwamba Tanzania maisha ni mazuri kuliko Marekani, unachotakiwa kufahamu ni kwamba uwezekano wa kupata pesa nyingi Kenya au Marekani ni mkubwa zaidi kuliko Tanzania kwa sababu fursa ni nyingi na mzunguko wa pesa ni mkubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom