Tunamuogopa baba mkuu wa Dunia MarekaniUchumi wa china na India inazidi kupaa wakati dunia ikiyasusia mafuta ya Urusi kibwege
Afrika tumerogwa kwelikweli, hatununui mafuta ya Urusi eti tunaunga mkono shida za watu wanaotudai madeni makubwa sana wakati China na India na wajanja wengine wanaitumia fursa ya vikwazo vya mafuta kupata mafuta ya bei nafuu kutoka Urusi na kutengeneza faida kubwa.
Pamoja na kuwasaidia kuweka vikwazo lakini fedha zao walizotukopesha wanazitaka vilevile.
Afrika tusiwe mazuzu twendeni tukachukue mafuta ya Chee kutoka Urusi.
Ukinunua hayo mafuta ya 🇷🇺🇷🇺 bwana mkubwa 🇺🇸🇺🇸 atakuchezesha kanyabazongo hadi uyatapike 😂😂😂Sio rahisi kama unavyo fikiri. Kununua hayo mafuta ni sawa na kunua kitu black market
Mzigo hauna shipping permit, hauna document yoyote utapita tu? Halafu US akupe hela za msaada wewe ukanunue mafuta ya Urusi?Inaweza isiwe kweli unachokisema labda ufafanue kidogo una maana gani
Kwa hiyo unafikaje India na ChinaMzingo hauna shipping permit, hauna document yoyote utapita tu? Alafu US akupe hela za msaada wewe ukanunue mafuta ya Urusi?
Alafu kumbe ujui ukinunua mafuta India tayari umenunua mafuta urusiMzingo hauna shipping permit, hauna document yoyote utapita tu? Alafu US akupe hela za msaada wewe ukanunue mafuta ya Urusi?
Hatumuogopi.TutaendaTunamuogoba baba mkuu wa Dunia marekani
Chuma ndie engepitisha meli Suez canal?Hiyo kazi angeiweza Chuma, huyu anafata upepo tu.
Tupeane koneksheni tutajirike fastaaUchumi wa China na India inazidi kupaa wakati dunia ikiyasusia mafuta ya Urusi kibwege
Afrika tumerogwa kwelikweli, hatununui mafuta ya Urusi eti tunaunga mkono shida za watu wanaotudai madeni makubwa sana wakati China na India na wajanja wengine wanaitumia fursa ya vikwazo vya mafuta kupata mafuta ya bei nafuu kutoka Urusi na kutengeneza faida kubwa.
Pamoja na kuwasaidia kuweka vikwazo lakini fedha zao walizotukopesha wanazitaka vilevile.
Afrika tusiwe mazuzu twendeni tukachukue mafuta ya Chee kutoka Urusi.
Kama mimi mnyonge nimepitisha, yeye angeshindwa wapi?Chuma ndie engepitisha meli Suez canal?
Magufuli angenunua kweli wala sio utaniHiyo kazi angrkuwepo magufuli ndo angeweza !!!