kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Uchumi wa China na India inazidi kupaa wakati dunia ikiyasusia mafuta ya Urusi kibwege
Afrika tumerogwa kwelikweli, hatununui mafuta ya Urusi eti tunaunga mkono shida za watu wanaotudai madeni makubwa sana wakati China na India na wajanja wengine wanaitumia fursa ya vikwazo vya mafuta kupata mafuta ya bei nafuu kutoka Urusi na kutengeneza faida kubwa.
Pamoja na kuwasaidia kuweka vikwazo lakini fedha zao walizotukopesha wanazitaka vilevile.
Afrika tusiwe mazuzu twendeni tukachukue mafuta ya Chee kutoka Urusi.