Waafrika twendeni tukazoe mafuta ya chee Urusi kama wanavyofanya China na India

Afrika kusini kashaanza taratibu kuyanununua
 
Acha kupotosha.

Hakuna vikwazo kwenye mafuta na gesi ya Urusi. Hata ulaya bado wananunua gesi ya Urusi.
 
Tanzania ina uwezo wa kuhimili mikiki ya US ?
 
Acha kupotosha.

Hakuna vikwazo kwenye mafuta na gesi ya Urusi. Hata ulaya bado wananunua gesi ya Urusi.
Ni kweli hakuna vikwazo kwenye mafuta ya Urusi?
 
Nchi inayotegemea mikopo na misaada kutoka kwa mabeberu haiwezi kamwe kujihusisha na siasa za duniani, kwa sababu tu ya kuogopa kuwekewa vikwazo.
 
Kupanga ni kuchagua..

Uende Russia kufuata mafuta ya bei Chee then ukumbane na Rungu la America na Wafuasi wao Ulaya ilhali wao ndio wanatusaidia kwa kila kitu kuanzia Uwekezaji hadi mikopo ya Kiuchumi..

Hiyo Russia hakuna anachoweza kufanya maana wakati Zimbabwe inaadhibiwa alikuwa anatumbua mimacho tuu..

So we can't sucrifice Welfare ya Nchi Kisa tuu tunataka mwananchi anunue mafuta Kwa bei ya juu..
Opportunity cost yake ni unbearable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…