Waafrika waanza kumshtukia Kikwete kwa kutolaani mauaji.

Waafrika waanza kumshtukia Kikwete kwa kutolaani mauaji.

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010

Political comentator maarufu Instagram , DJ Bwakali, ameelezea kustuka kwake kwa kitendo cha Kikwete kutolaani mauaji yaliyofanyika Oktoba29.

Niliwahi kuliongelea hilo hapa mtandaoni, sasa dunia ina take note.
 
Ila nyie Jamaa bwana mbona mnaakili za kushikiwa sana, yani mkimuona mgen mnaona mkombozi wenu hii ni aibu ndo maana imefikia mahala mpaka familia zenu mmewaachia wacanada wanazilisha
 
Don't expect anything from him
1766762127364.jpeg

Hii picha baada ya uchaguzi like nothing happened
 
Afadhari akae kimya! Maana akilaani atazomewa vibaya sana!
 
Huyo Kikwete alikuwa anachaguliwa kwa ajili ya umaarufu na sio kwa weledi. Kwakuwa ilikuwa hayajatokea mauaji kama ya juzi, hivyo Kikwete akawa anachukuliwa positive na sio accurately. Kwa sasa Kikwete ameonekana accurately na sio positive.
 
... tangu aambiwe 'anawashwa nini?' amekuwa muoga mno kutoa matamshi kinzani na oungozi uliopo!
😅
 
Back
Top Bottom