Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Tumeshaliongelea hilo , sema masikio yenu mmeweka nta.Ila nyie Jamaa bwana mbona mnaakili za kushikiwa sana, yani mkimuona mgen mnaona mkombozi wenu hii ni aibu ndo maana imefikia mahala mpaka familia zenu mmewaachia wacanada wanazilisha
Connecting the dots……the Samias, the zkikwetes wako upande mmoja!Don't expect anything from him
View attachment 3521023
Hii picha baada ya uchaguzi like nothing happened
Mkuu hii picha ni ya siku nyingi na sio baada ya uchaguziDon't expect anything from him
View attachment 3521023
Hii picha baada ya uchaguzi like nothing happened
huu ndio ukweli wenyewe.Yaliyotikea tz ni masimulizi yatakayodumu kwa miaka mingine 1000 mbele
Ya lini mkuu kwenye tukio ganiMkuu hii picha ni ya siku nyingi na sio baada ya uchaguzi
Sidhani kama baada ya uchaguzi mkuu hawa wawili wanaotutazama wamecheka kicheko kama hiki.Don't expect anything from him
View attachment 3521023
Hii picha baada ya uchaguzi like nothing happened