unataka kusema ni sawa dragon au yule mnyama mwenye miguu sita agip anayetema moto?Hakuna kiumbe anaitwa Alien hayo ni mambo ya kufikirika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie endeleeni kuleta uzungu kwenye mambo ya kimiujiza , ila mimi siachi kutembea na mfupa wa mbuzi katoliki
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
"Ukienda pale Senegal kuna ufo ipo pale ,alien walikuja nayo na kuiacha "Ukienda pale Senegal, kuna UFO ipo pale, alien walikuja nayo na kuiacha, hawajulikani walikwenda wapi.
Alien hapa duniani wanatua popote pale si Marekani tu ila tatizo letu sisi, tukiwaona aliens tunasema ni majini, tunaanza kukemea na kusoma dua.
Tatizo lipo hapo tu. Leo ukikutana na alien usiku, kesho unaenda kanisani, unamwambia pasta uneona jini😂😂😂
Ukiipata tuletee hapa"Ukienda pale Senegal kuna ufo ipo pale ,alien walikuja nayo na kuiacha "
Natamani nione picha yake, ngoja ni Google
hiyo ni hirizi tu, nyie ndio wale wenye hirizi zenye manyoya simba, ngozi ya chatu, kucha za chui, mkonga wa tembo ili muogopewe na mnapotoa maagizo ofisini yatekelezwe kwa woga na hofu kuu kwa wafanyakazi wenu na ndio mnaovaa pete za ajabuajabu za kishirikinaMfupa wanguruwe mkuu ndio unao tebea nao mfukon??

Hahahaha,mkuu hakuna picha nimeona ,labda muhusika anayoUkiipata tuletee hapa
Bila picha ya UFO ya alien ya Senegal huu ni uzishiUkienda pale Senegal, kuna UFO ipo pale, alien walikuja nayo na kuiacha, hawajulikani walikwenda wapi.
Alien hapa duniani wanatua popote pale si Marekani tu ila tatizo letu sisi, tukiwaona aliens tunasema ni majini, tunaanza kukemea na kusoma dua.
Tatizo lipo hapo tu. Leo ukikutana na alien usiku, kesho unaenda kanisani, unamwambia pasta uneona jini[emoji23][emoji23][emoji23]