Waafrika wakimuona Alien, wanajua ni jini au mauzauza, kesho unawakuta kanisani na msikitini wakikemea

Waafrika wakimuona Alien, wanajua ni jini au mauzauza, kesho unawakuta kanisani na msikitini wakikemea

Hizi story peleka Facebook! Et Senegal, are you normal?
 
Unakusaidia nini huo mfupa
Anhaaa yaani sikuwahi kukutana na kibwengo wala jini mara sijui Aliens wote wanapita mbali na mimi .

Walisema hata wachawi wataniogopa ndiyo maana nikiwa bar nalewa kwa raha zangu siwazi habari za kurudi nyumbani usiku wa manane eti sijui nitakutana na ujinga wwote[emoji3][emoji3]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Siku ukikutana na yanayokula kitimoto ndo utaelwa
 
Ukienda pale Senegal, kuna UFO ipo pale, alien walikuja nayo na kuiacha, hawajulikani walikwenda wapi.

Alien hapa duniani wanatua popote pale si Marekani tu ila tatizo letu sisi, tukiwaona aliens tunasema ni majini, tunaanza kukemea na kusoma dua.

Tatizo lipo hapo tu. Leo ukikutana na alien usiku, kesho unaenda kanisani, unamwambia pasta uneona jini😂😂😂
Wewe! Hacha kudanganya umma! Alien ni majini! Ni mashetani! Mungu aliumba mtu kwa sura na mfano wa Mungu! Sasa kutokana na kuongezeka kwa maovu na elimu ya mambo ya giza ya kishetani, shetani kwa kushirikiana na wachawi wanakuja na maumbo ya viumbe vinavyoitwa "allien" ili tufungamane navyo! Hayo ni mashetani
 
Back
Top Bottom