Waafrika wakimuona Alien, wanajua ni jini au mauzauza, kesho unawakuta kanisani na msikitini wakikemea

Ukienda pale Senegal, kuna UFO ipo pale, alien walikuja nayo na kuiacha, hawajulikani walikwenda wapi.

Alien hapa duniani wanatua popote pale si Marekani tu ila tatizo letu sisi, tukiwaona aliens tunasema ni majini, tunaanza kukemea na kusoma dua.

Tatizo lipo hapo tu. Leo ukikutana na alien usiku, kesho unaenda kanisani, unamwambia pasta uneona jini😂😂😂
Waislamu hatukemei majini. Hayo ni mambo yenu huko.
 
Jini ni kiumbe wa kufikirika anayehusishwa na dini, alien wanadhaniwa kuwa ni viumbe kutoka sayari nyingine lakini bado ni mjadala kama wapo kweli na uwepo wao unaelezewa kisayansi zaidi.
Alien sio wa kufikirika, hawahusishwi na dini?
 
Mleta mada uko sahihi kabisa, unakuta mtu kakutana na 👽 anasema ni kibwengu au kizuka!

Waafrika wengi ni saa mbovu wanawaza uchawi tu na maulozi
 
Hakuna kitu kinaitwa alien wala hakijawahi kuwepo ni story za kubumba zilizoletwa na watu kwa manufaa yao binafs.

Ila ukweli hakuna cha ufo wala sijui alien
 
Ukienda pale Senegal, kuna UFO ipo pale, alien walikuja nayo na kuiacha, hawajulikani walikwenda wapi.

Alien hapa duniani wanatua popote pale si Marekani tu ila tatizo letu sisi, tukiwaona aliens tunasema ni majini, tunaanza kukemea na kusoma dua.

Tatizo lipo hapo tu. Leo ukikutana na alien usiku, kesho unaenda kanisani, unamwambia pasta uneona jini[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni nyemo chilongani? Maana ndo amekuja na hadithi hizi kule Instagram
 
Eti kuna story za kutishana allien wanaweza kutua ikulu yoyote duniani na wakafanya yao watakavyo na wanaweza kutua kwenye vinu vya nyuklia wakafanya uharibifu!
😃😃sasa mbona hawafanyi hivyo
 
Ukienda pale Senegal, kuna UFO ipo pale, alien walikuja nayo na kuiacha, hawajulikani walikwenda wapi.

Alien hapa duniani wanatua popote pale si Marekani tu ila tatizo letu sisi, tukiwaona aliens tunasema ni majini, tunaanza kukemea na kusoma dua.

Tatizo lipo hapo tu. Leo ukikutana na alien usiku, kesho unaenda kanisani, unamwambia pasta uneona jini😂😂😂
ahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,,,,,,jini MAKATA na MAIMUNA!!! lakini sasa mbona yanaingia kichwani?
 
Back
Top Bottom