Waafrika wakimuona Alien, wanajua ni jini au mauzauza, kesho unawakuta kanisani na msikitini wakikemea

Nitumie picha wakat wapo huko UFO Chap nataka niwaoneshe watu hapa wananibishia fanya chap please
 
Mkuu UFO ni nini na alien nini?
Kwanini isiwe sawa kuwaita alien jini?
Historically ukifuatilia haya mambo Mayan civilization wanadai walikuwa wanaita hawa aliens Mungu...
Same kwa egyptians... So kwanini iwe nongwa waafrika kuwaita majini au mashetani?
By the way UFO ni kifupi cha unidentified flying object. Huenda hata hapa kwetu vimepita sana vyombo vya namna hiyo
 

Senegal ipi hiyo yenye UFO?
 
Alien ndo nn tena jmn?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tofauti ya ‘Alien’ na ‘Jini’ ni ipi?
Jini ni kiumbe wa kufikirika anayehusishwa na dini, alien wanadhaniwa kuwa ni viumbe kutoka sayari nyingine lakini bado ni mjadala kama wapo kweli na uwepo wao unaelezewa kisayansi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…