Waafrika wakimuona Alien, wanajua ni jini au mauzauza, kesho unawakuta kanisani na msikitini wakikemea

Waislamu hatukemei majini. Hayo ni mambo yenu huko.
 
Jini ni kiumbe wa kufikirika anayehusishwa na dini, alien wanadhaniwa kuwa ni viumbe kutoka sayari nyingine lakini bado ni mjadala kama wapo kweli na uwepo wao unaelezewa kisayansi zaidi.
Alien sio wa kufikirika, hawahusishwi na dini?
 
Vijana wa hovyo mshatizama movie za kimarekani basi mmejazwa upuuz kichwan
 
Mleta mada uko sahihi kabisa, unakuta mtu kakutana na πŸ‘½ anasema ni kibwengu au kizuka!

Waafrika wengi ni saa mbovu wanawaza uchawi tu na maulozi
 
Hakuna kitu kinaitwa alien wala hakijawahi kuwepo ni story za kubumba zilizoletwa na watu kwa manufaa yao binafs.

Ila ukweli hakuna cha ufo wala sijui alien
 
Wewe ni nyemo chilongani? Maana ndo amekuja na hadithi hizi kule Instagram
 
Eti kuna story za kutishana allien wanaweza kutua ikulu yoyote duniani na wakafanya yao watakavyo na wanaweza kutua kwenye vinu vya nyuklia wakafanya uharibifu!
πŸ˜ƒπŸ˜ƒsasa mbona hawafanyi hivyo
 
ahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,,,,,,jini MAKATA na MAIMUNA!!! lakini sasa mbona yanaingia kichwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…