Hayo yote yalisababishwa na mababu zetu wa zamani walipokubali kua wanyonge dhidi ya race zingine.Na bado kwasababu yasisi kuendelea kua tegemezi hiyo hali inazidi kuwepo.hadi tutakapoamua kubadilika ndipo unyonge utakapoisha na tutathaminisha rangi ya ngozi yetu dhidi ya ngozi zingine.ila kwasasa tutabaguliwa sana na sisi kwasababu ya ujinga bado tunajiona ni wanyonge ndo maana tunaishiaga kulalamika badala ya kuchukua hatua.Hatua ya kwanza ni kujiamini na kujiamini kutakuja baada ya binadamu mweusi kua timamu wa akili,mwili na uchumi imara.
Sent from my SM-A107F using
JamiiForums mobile app