Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Hizi ni itikadi na Mihemko ya kidini.Tumeshakubali huo ni ushindi wa waarabu na waislamu, sisi kwa kweli tujitahidi iko siku tutakua na cha kwetu, tuache kung'ang'ania hata dini ambayo tunatukanwa waziwazi na wenye dini yao...
Ujamaa hauna faida kama kipato chetu duni siwezi nikakupa chakula wakati bajeti zangu haziendi siwezi nikakufadhili kwa dunia ya sasa wakati sina ninachopata kwako tatizo letu hatujui kwenda na nyakati. Nimeishibkaratu kipindi cha nyuma miaka ya 90 ilikua kama mbulu kuna njaa wanakuja na punda na magunia wanachotewa chakula wanabeba na punda kurudi mbulu ila leo karatu imebadilika hamna tena huo ujamaa kwakua mambo yamebadilika.Kiasili waafrika ni wajamaa. Zamani kidogo hapa kwetu uliweza kwenda kijiji chochote ukajitambulisha kuwa unasafiri na unahitaji malazi na ukapewa na chakula na maji ya kuoga. Uzungu ndo unatutoa kwenye ujamaa ila bado upo katika viwango kama hivi vya mpira wa miguu. Ghana inashinda Tanzania tunashangilia. Huenda itafika wakati itapotea na kila mtu atafata mambo yake.
Mchango wao ni jamii moja ushasema waarabu na moroko ni waarabu hivyo wanachangia hata damuWe naye hamnazo, Sawa pengine Waafrica hatuna mchango wowote kwenye kwa timu yao kwasababu hatulipi kodi za nchi yao Ndio maana walitubagua wakati wa kuongea kwao, lakini je umewahi kujiuliza wale Waarabu na Waislam wasio wa Morocco ambao walikuwa dedicated kwenye ushindi huo wanamchango gani kwenye mali/kodi za Morocco zilizotumika kuiandaa timu yao?(Maana Siye hatuna mchango wowote kwenye kodi)
Mkuki kwa nguruwe africa tunajikuta wajuzi wa mambo tuna bagua sana ila yakitukuta tunajidai tumeonewa sana faken africansMechi ya final AFCON kati ya Senegal vs Misri,wengi walishangilia Senegal na kuwabeza Misri kua ni waarabu sio waafrika!
Sasa inakuaje tena tunajipendekeza kwa Morocco? leo hii nina uhakika ikicheza Morocco vs Ghana,nyie wote mnaolalamika kubaguliwa mtaishangilia Ghana na mtaona Morocco sio waafrika! halafu acha kuchanganya Uarabu na uislamu,hakuna mchezaji wa Morocco aliyetaja uislamu,kama hujui wapo waarabu ila sio waislamu bali ni wakristo,
Tuache unafiki kwanza,ubaguzi tunao sana ila sisi kubagua hua tunaona ni sawa ila tukibaguliwa ndio tuna anza kulia lia.
Mwarabu naye alikuja Afrika kufanya ukoloni( Soma: History of the Maghreb), tena ukoloni wake uligharimu maisha ya watu wengi chini ya kivuli cha kueneza dini ya KIISLAMU.Basi hapo mwenyewe unaona umeandika bonge la point.. 😀 😀
Leta ushahidi kama kuna mchezaji alitaja dini,na unaposema wana tabia za ubaguzi toka enzi na enzi.hebu tuambie hizo tabia za toka enzi na enzi ni zipi? au unaongelea ubaguzi wa enzi na enzi wa mzungu kwa muafrika? au wewe ndio wale wanaomuabudu mkoloni?
Dunia inaachana na ujamaa. Huu mfumo una ubaya wake ila moja ya uzuri wake ni jamii inakuwa na roho ya umoja. Jamii ambazo hazina ujamaa kabisa hata wazazi wanapelekwa kwenye nyumba za wazee.Ujamaa hauna faida kama kipato chetu duni siwezi nikakupa chakula wakati bajeti zangu haziendi siwezi nikakufadhili kwa dunia ya sasa wakati sina ninachopata kwako tatizo letu hatujui kwenda na nyakati. Nimeishibkaratu kipindi cha nyuma miaka ya 90 ilikua kama mbulu kuna njaa wanakuja na punda na magunia wanachotewa chakula wanabeba na punda kurudi mbulu ila leo karatu imebadilika hamna tena huo ujamaa kwakua mambo yamebadilika.
Kusoma alama za nyakati **** faida kubwa sana maishani
We naye hamnazo, Sawa pengine Waafrica hatuna mchango wowote kwenye kwa timu yao kwasababu hatulipi kodi za nchi yao Ndio maana walitubagua wakati wa kuongea kwao, lakini je umewahi kujiuliza wale Waarabu na Waislam wasio wa Morocco ambao walikuwa dedicated kwenye ushindi huo wanamchango gani kwenye mali/kodi za Morocco zilizotumika kuiandaa timu yao?(Maana Siye hatuna mchango wowote kwenye kodi)
Ukizungumzia kiasili Tanzania ndio wajamaa na sio Africa.Kiasili waafrika ni wajamaa. Zamani kidogo hapa kwetu uliweza kwenda kijiji chochote ukajitambulisha kuwa unasafiri na unahitaji malazi na ukapewa na chakula na maji ya kuoga. Uzungu ndo unatutoa kwenye ujamaa ila bado upo katika viwango kama hivi vya mpira wa miguu. Ghana inashinda Tanzania tunashangilia. Huenda itafika wakati itapotea na kila mtu atafata mambo yake.
Hata mimi naweza nikaichukua hiyo picha kisha nikaandika caption ninayo itaka.Sawa tumewaskia waarabu wa Bongo..
Inawezekana kabisa mkuuUkizungumzia kiasili Tanzania ndio wajamaa na sio Africa.
Kuna nchi hapa Africa kama izo za kiarabu wana ujamaa wa wao kwa wao ni si kiafrika kwa ujumla.
Ujamaa kwa Africa ni kwa nchi baadhi tu ikiongozwa na Tanzania.
Sasa mbona baada ya naodha wa Morocco kusema ushindi ni wa waarabu na wamoroco povu liliwatoka na kuanza kulamika kuwa mmebaguliwa?Nani amelazimisha????
Nani amesema yupo sehemu ya ushindi wa Morroco?
Ukishabikia Let say Manchester united ikashinda utasema ulikuwepo kwenye ushindi wa Manchester united????
Huwezi kumzuia mtu namna ya kufikiri na kutoa maoni yake jinsi aonavyo yeye na kuwaza.Sasa mbona baada ya naodha wa Morocco kusema ushindi ni wa waarabu na wamoroco povu liliwatoka na kuanza kulamika kuwa mmebaguliwa?
Hata mimi naweza nikaichukua hiyo picha kisha nikaandika caption ninayo itaka.
Kwahiyo unataka kutuambia kuwa Qatar walitolewa mapema sababu ni walevi na wazinzi?, jitathimini acha kuongea mambo ambayo hujayafanyia utafiti.Moroco wamefanikiwa kwa sababu hawanywi Pombe na sio wazinzi
wapo na hofu ya Mungu that all hii ndo Siri Yao ya Mafanikio
Kumbe kinachokusumbua ni chuki ya udini? basi endelea tu kuteseka ila tambua kua huna impact yeyote wala huwezi kubadili chochote.Maustadhi mnatumia nguvu nyingi kutetea muarabu wenu, yeye baada ya makelele mengi aliomba radhi ila damage was already done.
Wapo barani Africa lakini hawapigani kwa ajili ya Afrika bali ni kwa ajiri ya nchi yao.Huwezi kumzuia mtu namna ya kufikiri na kutoa maoni yake jinsi aonavyo yeye na kuwaza.
Kila mtu aliongea kulingana na mtazamo wake.
Ila ukweli na uhalisia Morroco ipo barani Afrika. Mihemko na itikadi za kidini za baadhi ya watu haziwezi kubadilisha ukweli kwamba Morroco ipo Africa.View attachment 2443001View attachment 2443002