Waafrika wanalazimisha mafanikio ya Morocco yawe ya Waafrika wote

Waafrika wanalazimisha mafanikio ya Morocco yawe ya Waafrika wote

Tumeshakubali huo ni ushindi wa waarabu na waislamu, sisi kwa kweli tujitahidi iko siku tutakua na cha kwetu, tuache kung'ang'ania hata dini ambayo tunatukanwa waziwazi na wenye dini yao...

screenshot_20220521-114037_gallery-jpg.2240761
Hizi ni itikadi na Mihemko ya kidini.

Kijiografia Morocco inatambulika kuwa barani Afrika.

Wanao dai Morocco ni ya waarabu wana endeshwa na itikadi za kidini.
 
Japo siwakubali morocco.
Ila naomba unijibu.
hayo ni mashindano yapi na Morocco ipo bara gani?
Sijajua kwanini Mungu aliamua kuwaleta huku wakati wa gharika la nuhu.
Na Wala simlaumu maana yeye ndo anajua zaidi
Maaana hata huko marekani Kuna nchi zilitakiwa ziwe Africa kabisa
 
Kiasili waafrika ni wajamaa. Zamani kidogo hapa kwetu uliweza kwenda kijiji chochote ukajitambulisha kuwa unasafiri na unahitaji malazi na ukapewa na chakula na maji ya kuoga. Uzungu ndo unatutoa kwenye ujamaa ila bado upo katika viwango kama hivi vya mpira wa miguu. Ghana inashinda Tanzania tunashangilia. Huenda itafika wakati itapotea na kila mtu atafata mambo yake.
Ujamaa hauna faida kama kipato chetu duni siwezi nikakupa chakula wakati bajeti zangu haziendi siwezi nikakufadhili kwa dunia ya sasa wakati sina ninachopata kwako tatizo letu hatujui kwenda na nyakati. Nimeishibkaratu kipindi cha nyuma miaka ya 90 ilikua kama mbulu kuna njaa wanakuja na punda na magunia wanachotewa chakula wanabeba na punda kurudi mbulu ila leo karatu imebadilika hamna tena huo ujamaa kwakua mambo yamebadilika.

Kusoma alama za nyakati **** faida kubwa sana maishani
 
Mimi hata huo ushindi wao sijaufeel kivile

Labda nyie wengine.

Wale Wanajiona waarabu ni vile tu wako afrika
 
We naye hamnazo, Sawa pengine Waafrica hatuna mchango wowote kwenye kwa timu yao kwasababu hatulipi kodi za nchi yao Ndio maana walitubagua wakati wa kuongea kwao, lakini je umewahi kujiuliza wale Waarabu na Waislam wasio wa Morocco ambao walikuwa dedicated kwenye ushindi huo wanamchango gani kwenye mali/kodi za Morocco zilizotumika kuiandaa timu yao?(Maana Siye hatuna mchango wowote kwenye kodi)
Mchango wao ni jamii moja ushasema waarabu na moroko ni waarabu hivyo wanachangia hata damu
 
Mechi ya final AFCON kati ya Senegal vs Misri,wengi walishangilia Senegal na kuwabeza Misri kua ni waarabu sio waafrika!
Sasa inakuaje tena tunajipendekeza kwa Morocco? leo hii nina uhakika ikicheza Morocco vs Ghana,nyie wote mnaolalamika kubaguliwa mtaishangilia Ghana na mtaona Morocco sio waafrika! halafu acha kuchanganya Uarabu na uislamu,hakuna mchezaji wa Morocco aliyetaja uislamu,kama hujui wapo waarabu ila sio waislamu bali ni wakristo,

Tuache unafiki kwanza,ubaguzi tunao sana ila sisi kubagua hua tunaona ni sawa ila tukibaguliwa ndio tuna anza kulia lia.
Mkuki kwa nguruwe africa tunajikuta wajuzi wa mambo tuna bagua sana ila yakitukuta tunajidai tumeonewa sana faken africans
 
Basi hapo mwenyewe unaona umeandika bonge la point.. 😀 😀

Leta ushahidi kama kuna mchezaji alitaja dini,na unaposema wana tabia za ubaguzi toka enzi na enzi.hebu tuambie hizo tabia za toka enzi na enzi ni zipi? au unaongelea ubaguzi wa enzi na enzi wa mzungu kwa muafrika? au wewe ndio wale wanaomuabudu mkoloni?
Mwarabu naye alikuja Afrika kufanya ukoloni( Soma: History of the Maghreb), tena ukoloni wake uligharimu maisha ya watu wengi chini ya kivuli cha kueneza dini ya KIISLAMU.
Kwahiyo, kumtazama mwarabu kama mtu asiyekosea ni matokeo ya Ukoloni wa kiarabu.
KIFUPI: Tunatakiwa kusifia mtu anapofanya vizuri na kukosoa anapokosea( siyo bendera fuata upepo).
 
Ujamaa hauna faida kama kipato chetu duni siwezi nikakupa chakula wakati bajeti zangu haziendi siwezi nikakufadhili kwa dunia ya sasa wakati sina ninachopata kwako tatizo letu hatujui kwenda na nyakati. Nimeishibkaratu kipindi cha nyuma miaka ya 90 ilikua kama mbulu kuna njaa wanakuja na punda na magunia wanachotewa chakula wanabeba na punda kurudi mbulu ila leo karatu imebadilika hamna tena huo ujamaa kwakua mambo yamebadilika.

Kusoma alama za nyakati **** faida kubwa sana maishani
Dunia inaachana na ujamaa. Huu mfumo una ubaya wake ila moja ya uzuri wake ni jamii inakuwa na roho ya umoja. Jamii ambazo hazina ujamaa kabisa hata wazazi wanapelekwa kwenye nyumba za wazee.
 
We naye hamnazo, Sawa pengine Waafrica hatuna mchango wowote kwenye kwa timu yao kwasababu hatulipi kodi za nchi yao Ndio maana walitubagua wakati wa kuongea kwao, lakini je umewahi kujiuliza wale Waarabu na Waislam wasio wa Morocco ambao walikuwa dedicated kwenye ushindi huo wanamchango gani kwenye mali/kodi za Morocco zilizotumika kuiandaa timu yao?(Maana Siye hatuna mchango wowote kwenye kodi)

inaoneaknwa kama umepitwa mkuu, Umeshindwa kuona wa Qatar na watu wa nchi za jirani kama Oman, U.A.E, Saudi wanavyojaza viwanja katika kuipa support na kuisherekea Morocco?
 
Kiasili waafrika ni wajamaa. Zamani kidogo hapa kwetu uliweza kwenda kijiji chochote ukajitambulisha kuwa unasafiri na unahitaji malazi na ukapewa na chakula na maji ya kuoga. Uzungu ndo unatutoa kwenye ujamaa ila bado upo katika viwango kama hivi vya mpira wa miguu. Ghana inashinda Tanzania tunashangilia. Huenda itafika wakati itapotea na kila mtu atafata mambo yake.
Ukizungumzia kiasili Tanzania ndio wajamaa na sio Africa.
Kuna nchi hapa Africa kama izo za kiarabu wana ujamaa wa wao kwa wao ni si kiafrika kwa ujumla.
Ujamaa kwa Africa ni kwa nchi baadhi tu ikiongozwa na Tanzania.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Ukizungumzia kiasili Tanzania ndio wajamaa na sio Africa.
Kuna nchi hapa Africa kama izo za kiarabu wana ujamaa wa wao kwa wao ni si kiafrika kwa ujumla.
Ujamaa kwa Africa ni kwa nchi baadhi tu ikiongozwa na Tanzania.
Inawezekana kabisa mkuu
 
Nani amelazimisha????

Nani amesema yupo sehemu ya ushindi wa Morroco?

Ukishabikia Let say Manchester united ikashinda utasema ulikuwepo kwenye ushindi wa Manchester united????
Sasa mbona baada ya naodha wa Morocco kusema ushindi ni wa waarabu na wamoroco povu liliwatoka na kuanza kulamika kuwa mmebaguliwa?
 
Sasa mbona baada ya naodha wa Morocco kusema ushindi ni wa waarabu na wamoroco povu liliwatoka na kuanza kulamika kuwa mmebaguliwa?
Huwezi kumzuia mtu namna ya kufikiri na kutoa maoni yake jinsi aonavyo yeye na kuwaza.

Kila mtu aliongea kulingana na mtazamo wake.

Ila ukweli na uhalisia Morroco ipo barani Afrika. Mihemko na itikadi za kidini za baadhi ya watu haziwezi kubadilisha ukweli kwamba Morroco ipo Africa.
FB_IMG_1670756175927.jpg
FB_IMG_1670756157368.jpg
 
Hata mimi naweza nikaichukua hiyo picha kisha nikaandika caption ninayo itaka.

Maustadhi mnatumia nguvu nyingi kutetea muarabu wenu, yeye baada ya makelele mengi aliomba radhi ila damage was already done.
 
Moroco wamefanikiwa kwa sababu hawanywi Pombe na sio wazinzi
wapo na hofu ya Mungu that all hii ndo Siri Yao ya Mafanikio
Kwahiyo unataka kutuambia kuwa Qatar walitolewa mapema sababu ni walevi na wazinzi?, jitathimini acha kuongea mambo ambayo hujayafanyia utafiti.
 
Maustadhi mnatumia nguvu nyingi kutetea muarabu wenu, yeye baada ya makelele mengi aliomba radhi ila damage was already done.
Kumbe kinachokusumbua ni chuki ya udini? basi endelea tu kuteseka ila tambua kua huna impact yeyote wala huwezi kubadili chochote.
 
Hii ndo ile ya Waarabu walituchukua utumwani wkt blacks wapo wengi Ulaya na Amerika
 
Mkuu, wewe na hao morrocco wote washamba tu.
 
Huwezi kumzuia mtu namna ya kufikiri na kutoa maoni yake jinsi aonavyo yeye na kuwaza.

Kila mtu aliongea kulingana na mtazamo wake.

Ila ukweli na uhalisia Morroco ipo barani Afrika. Mihemko na itikadi za kidini za baadhi ya watu haziwezi kubadilisha ukweli kwamba Morroco ipo Africa.View attachment 2443001View attachment 2443002
Wapo barani Africa lakini hawapigani kwa ajili ya Afrika bali ni kwa ajiri ya nchi yao.

Mbona hamtaki kuelewa?

Mbona hayo mambo ya kupambania mabara huwa hatuyasikii kwenye mabara mengine zaidi ya Africa?
 
Back
Top Bottom