Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Hizi ni itikadi na Mihemko ya kidini.Tumeshakubali huo ni ushindi wa waarabu na waislamu, sisi kwa kweli tujitahidi iko siku tutakua na cha kwetu, tuache kung'ang'ania hata dini ambayo tunatukanwa waziwazi na wenye dini yao...
![]()
Kijiografia Morocco inatambulika kuwa barani Afrika.
Wanao dai Morocco ni ya waarabu wana endeshwa na itikadi za kidini.