Waafrika wanazidi kuerevuka kuhusiana na dini zilizoletwa na majahazi?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Screenshot_20250331-065114_X.jpg
 
Ishu ya utumwa wa kulaumiwa ni mwafrika nae alishiriki kwa 60% kufanikisha biashara hii kwa kuwauza waafrika wenzake utumwani.
Mzungu, mwarabu hakuingia field kukamata watumwa alikuta tayari watumwa wamekamatwa na waafrika mfano ndugu, mateka wa kivita na akabadilishana nao na bunduki,shanga,vipo,sahani,nguo.
Pili wafanyabiashara walipita vijijini wakienda fata watumwa au wakirudi na watumwa kwann hao wanakijiji hawakuwaua hao wafanyabiashara ili kuwakomboa hao waafrika? Au ndo Yale asili ya mwafrika ni ubinafsi na unafiki ndo yanayoendelea hadi leo.
 
Uislamu umeanza siku aadam amani iwe juu yake ambaye ndiye baba wa wanaadamu wote aje hapa ulimwenguni, so hiyo miaka 1446 huyo mtoa mada atuambie ameitoa wapi, kisha post ya mtu mmoja tu huko twita ndo maana yake watu wote wameamka, una uhakika umelala kwenye godoro la QFL kweli mkuu?.

Yoda
 
Kwa kumalizia huyo mfalme kinachomsumbua ni ignorance mwanadamu hajapata changamoto kubwa kwenye maisha yake kama ujinga, that's all.
 
Uislamu umeanza siku aadam amani iwe juu yake ambaye ndiye baba wa wanaadamu wote aje hapa ulimwenguni, so hiyo miaka 1446 huyo mtoa mada atuambie ameitoa wapi, kisha post ya mtu mmoja tu huko twita ndo maana yake watu wote wameamka, una uhakika umelala kwenye godoro la QFL kweli mkuu?.

Yoda
Uislamu umeanza na Mohammed, kabla yake hakukuwahi kuwa na Uislamu, hakuna historia ya Uislamu kabla ya Mohammed zaidi ya simulizi zilizopo kwenye Quran ambacho sio kitabu credible cha historia.
 
Huyo namjua ni ommy fitness , jamaa anajishtukia sana ..Halafu hakuna sehemu mtu kalazimishwa anaongea hivyo kama humjui unaweza kufirikia kaongea hekima kumbe ujinga ..Kma una dini yako ifuate haina haja kujifanya mwema kama huyo jamaa ..Kutwa anaandika hivyo: sasa sijui anafuatilia kitu ambacho haamini ?

We kaa kimya kama huamini kitu fulani sio kosa wala hamna makosa kutokuamini , unasema labda ilikuwa basi ni bora usome ujue kitu sio unaropoka kwa vile kitu hauna elimu , kibaya wasiokuwa na dini wanachukua mambo juu ya kuanza kueleza dini zilivyo .

Huyo ommy Fitness anapenda kuonekana mwema ila kila siku anaongelea hayo hayo , kiufupi ni wale vijana wa GYm wanaojishtukia kama Callisah ambaye kwa sasa anajutia kuchora tattoo.
 
Ishu ya utumwa wa kulaumiwa ni mwafrika nae alishiriki kwa 60% kufanikisha biashara hii kwa kuwauza waafrika wenzake utumwani.
Mzungu, mwarabu hakuingia field kukamata watumwa alikuta tayari watumwa wamekamatwa na waafrika mfano ndugu, mateka wa kivita na akabadilishana nao na bunduki,shanga,vipo,sahani,nguo.
Pili wafanyabiashara walipita vijijini wakienda fata watumwa au wakirudi na watumwa kwann hao wanakijiji hawakuwaua hao wafanyabiashara ili kuwakomboa hao waafrika? Au ndo Yale asili ya mwafrika ni ubinafsi na unafiki ndo yanayoendelea hadi leo.
Kuuza binadamu hakikuwa kitu common kabla ya ujio wa Waarabu na baadaye wazungu, kabla ya hapo mateka wa kiAfrica waliokuwa wanapatikana katika vita za kikabila au kijamii walikuwa wanachukuliwa na kufanywa sehemu ya jamii zilizoshinda vita wakiwa kama watwana ila wenye maisha yao yanayojitegemea.
 
Lakini wote wapo chini ya muongozo mmoja yanamuamini Allah.
Kuwa mzungu hakumaanishi kuwa Mkristo mnachanganya haya.
Hakuna Ukristo ulioshiriki biashara ya utumwa,hizi ni chuki tu baada ya kushindwa kuwaletea watu maendeleo.
Mi mkristo lakini wacha nikuambie uache ubwege, pengine ukisikia utumwa akili yako moja kwa moja inadhani Afrika, kaangalie wakristo wahispania walichokifanya kwa wazawa wa Amerika pia uje useme falme nyingi za ulaya wakati huo zilikuwa za kidini au sio za kidini? Usisahau wajumbe wa mwanzo mwanzo wa ukoloni, wamisionari wamo. Ukoloni ni neno tamu mbadala wa utumwa!
 
Missionary walikuja na mission ya kueneza injili na hadi kesho wanaendelea na kazi hii duniani pote.
Somo la historia tuliyosoma mashuleni vingi vilibase kwenye chuki na mtazamo hasi zaidi kwa faida ya watawala wa kiafrika ili kufanikisha mind control kuwatawala wananchi na sio uhalisia zaidi.

Missionary ndio walisaidia kukomesha biashara hii ya utumwa.
 
Kuuza binadamu hakikuwa kitu common kabla ya ujio wa Waarabu na baadaye wazungu, kabla ya hapo mateka wa kiAfrica waliokuwa wanapatikana katika vita za kikabila au kijamii walikuwa wanachukuliwa na kufanywa sehemu ya jamii zilizoshinda vita wakiwa kama watwana ila wenye maisha yao yanayojitegemea.
Nadhani walikosa pa kuwapeleka yaani hawakuwa na Dili,Dili lilipatikana baada ya ujio wa waarabu wakaona bora wawauzie waarabu

Swali linakuja kwann mwafrika alishiriki kuuza watumwa kwa wageni?
 
Back
Top Bottom