Waafrika wanazidi kuerevuka kuhusiana na dini zilizoletwa na majahazi?

Waafrika wanazidi kuerevuka kuhusiana na dini zilizoletwa na majahazi?

Na hizi stori za "dini tumeletewa" sijui "dini haikupeleki mbinguni" sijui "waafrika this, waafrika that" ni stori za wasio waislam baada ya kujikatia tamaa na dini zao, lakini badala ya kuitafuta haqq au kuikubali baada ya kuijua wao wanaleta jeuri ya kujifanya wanakataa Dini zote. Lakini utakuta wenye hizi stori ni wasio waislam hasa wakristo humu kwetu. Na wanataka Waislam wawe kama wao, wawaingize Waislam katika huu mkumbo.

Tunamuomba Allah atuhifadhi na atufishe katika Tawheed na Sunnah, Aamiin.
Wagalatia ni watu huru zaidi, wana uhuru mkubwa wa kuhoji na kufikiri kwa mtizamo huru.
 
Uislamu umeanza siku aadam amani iwe juu yake ambaye ndiye baba wa wanaadamu wote aje hapa ulimwenguni, so hiyo miaka 1446 huyo mtoa mada atuambie ameitoa wapi, kisha post ya mtu mmoja tu huko twita ndo maana yake watu wote wameamka, una uhakika umelala kwenye godoro la QFL kweli mkuu?.


Yoda
wacha urongo,kuna aya ipo mwislam wa kwanza ni muhamad,anafata bi khadija ngoja niilete
 
Back
Top Bottom