Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
- Thread starter
- #21
Kuliko kuomba toba mbele ya mifuko miwili ya cement iliyochanganywa na kokoto ni bora kweli uwe Atheist tu
View attachment 3288423
Kuliko kuomba toba mbele ya mifuko miwili ya cement iliyochanganywa na kokoto ni bora kweli uwe Atheist tu
View attachment 3288423
Kuliko kuomba toba mbele ya mifuko miwili ya cement iliyochanganywa na kokoto ni bora kweli uwe Atheist tu
View attachment 3288423
Na ndie aliekua mwanzilishi wa kwanza wa hio biashara, mwafrika baada ya waarabu na wazungu kuona inalipa ndio biashara ikashika hatamu waafrika walikua wakipigana vita za kikabila wanachukua mateka yaan waafrika wenzao wanawauza km watumwa kwa wazungu na waarabu, ndio maana wazungu wakawaitwa manyani yaan nyani wana kawaida ya kuipiga imaya nyingi kisha wakiishinda wanachukua kuanzia watoto mpaka wake za wale nyani wengine waliowashinda vitani kisha wanaua manyani wanaume yaan ni km wanawauza, sasa waafrika walikua hawawaui wanaume ila wanawauza kwa wazungu na waarabu, wapo machifu weengi tu waliokua wanamiliki mateka waliokua wanawauza km watumwa historia inaongeaIshu ya utumwa wa kulaumiwa ni mwafrika nae alishiriki kwa 60% kufanikisha biashara hii kwa kuwauza waafrika wenzake utumwani.
Hii mifuko mingapi ya Cement?
Point ya waafrica huwa naiona kama ni black solidarity tu, waafrika hawakuwahi kuwa wamoja kama bara na wala hawakuwahi kujiona wapo sawaNadhani walikosa pa kuwapeleka yaani hawakuwa na Dili,Dili lilipatikana baada ya ujio wa waarabu wakaona bora wawauzie waarabu
Swali linakuja kwann mwafrika alishiriki kuuza watumwa kwa wageni?
Na hii kitu ndo inaendelea hadi leo Africa, check yanayoendelea Congo, Sudan nk the same wapumbavu wawili tu wanaosomesha watoto wao ulaya wanafanya mamilioni ya waafrika wanateseka na vita njaa nk kisa ubinafsi tu.Na ndie aliekua mwanzilishi wa kwanza wa hio biashara, mwafrika baada ya waarabu na wazungu kuona inalipa ndio biashara ikashika hatamu waafrika walikua wakipigana vita za kikabila wanachukua mateka yaan waafrika wenzao wanawauza km watumwa kwa wazungu na waarabu, ndio maana wazungu wakawaitwa manyani yaan nyani wana kawaida ya kuipiga imaya nyingi kisha wakiishinda wanachukua kuanzia watoto mpaka wake za wale nyani wengine waliowashinda vitani kisha wanaua manyani wanaume yaan ni km wanawauza, sasa waafrika walikua hawawaui wanaume ila wanawauza kwa wazungu na waarabu, wapo machifu weengi tu waliokua wanamiliki mateka waliokua wanawauza km watumwa historia inaongea
Huu ni upotoshaji, Africa haikuwa na biashara ya kuuza binadamu kabla ya ujio wa Waarabu na Wazungu, aina ya utumwa uliokuwepo Africa ulikuwa tofauti sana na hizo jamii mbili.Aliyeanzisha biashara ya utumwa ni mwafrika, mwarabu na mzungu alipokuja alikuta watumwa wapo tayari yeye akawanunua akawaona wanafaa kwa KAZI zake akawasafirisha huko ugenini wakatumike kwenye uzalishaji.
So sisi waafrika tusikwepeshwe lawama hii ya kuuza ndugu zetu utumwani.
Hatuna tofauti na ndugu zake Yusufu walipomuuza utumwani.
ENGINEER MKUBWA WA BIASHARA YA UTUMWA NI MWAFRIKA
Mateka wa kivita walipelekwa wapi.Huu ni upotoshaji, Africa haikuwa na biashara ya kuuza binadamu kabla ya ujio wa Waarabu na Wazungu, aina ya utumwa uliokuwepo Africa ulikuwa tofauti sana na hizo jamii mbili.
Hata ingekua mimi nisingekubali kuiamini dini ambayo hakuna andiko linalosema ukristo ni dini na hakuna andiko linalotambua kuwa kuna kitabu kinaitwa biblia
Huo ni ukweli , tatizo hujui mnakwama wapi ...Mlianza kuuza mayatima ,mateka na vijana wa hovyo mpaka wakaisha...Tamaa ikazidi mkaanza kukamata watu ,kabla ya hapo mtu ambaye alikuwa amefanya kosa anaweza kuuzwa ila dili likawa tamu mpaka kuwauza wasiokuwa na hatia.Huu ni upotoshaji, Africa haikuwa na biashara ya kuuza binadamu kabla ya ujio wa Waarabu na Wazungu, aina ya utumwa uliokuwepo Africa ulikuwa tofauti sana na hizo jamii mbili.
Kwenye huu mfungo wa kidini nimeshangaa kuona muumini mmoja na kanzu yake alikuwa anakula mchana, pia kuna wamama fulani na shungi zao walikuwa wanatandika misosi mchana bila hofu huku wakikandia funga ya dini yao. Wanadai walishindwa kushinda njaa bila kula mchana kutwa. Wafungaji miaka hii wamepungua sana, wanapuuzia dini
Ungeamini dini ipi kama ungekuwa unaishi kabla ya Muhammad kuja duniani karne ya saba?Hata ingekua mimi nisingekubali kuiamini dini ambayo hakuna andiko linalosema ukristo ni dini na hakuna andiko linalotambua kuwa kuna kitabu kinaitwa biblia
Kwa kumalizia huyo mfalme kinachomsumbua ni ignorance mwanadamu hajapata changamoto kubwa kwenye maisha yake kama ujinga, that's all.
Unaumia nn? Unawafutualitia waislamu maisha yao hayakuhusu.Kwenye huu mfungo wa kidini nimeshangaa kuona muumini mmoja na kanzu yake alikuwa anakula mchana, pia kuna wamama fulani na shungi zao walikuwa wanatandika misosi mchana bila hofu huku wakikandia funga ya dini yao. Wanadai walishindwa kushinda njaa bila kula mchana kutwa. Wafungaji miaka hii wamepungua sana, wanapuuzia dini
Hao jamaa wanajishtukia kitu ambacho naona ipo siku watakuja kuzua ugomvi ,sijui nia ya n nn kama wamelazimishwa ...Ni vile wanajikuta wanajua sana kila kitu.Na hizi stori za "dini tumeletewa" sijui "dini haikupeleki mbinguni" sijui "waafrika this, waafrika that" ni stori za wasio waislam baada ya kujikatia tamaa na dini zao, lakini badala ya kuitafuta haqq au kuikubali baada ya kuijua wao wanaleta jeuri ya kujifanya wanakataa Dini zote. Lakini utakuta wenye hizi stori ni wasio waislam hasa wakristo humu kwetu. Na wanataka Waislam wawe kama wao, wawaingize Waislam katika huu mkumbo.
Tunamuomba Allah atuhifadhi na atufishe katika Tawheed na Sunnah, Aamiin.