Waafrika/watu weusi tuna matatizo gani?

Hii ni kweli...wanaspecialize....

Lakin wanaweza kufaya hivyo kwa sababu wana basic needs tayari...sisi hela ya kula huna utaspecialize vip na kitu kimoja
 
Narudia, chanzo ni dini. Hizi dini za kuletewa ndizo zinatufanya sie kuwa wajinga, tunawaona wazungu na waarab ndiyo Mungu wetu...ujinga wote wanaotuambia tunaona ndiyo ukweli
 
Narudia, chanzo ni dini. Hizi dini za kuletewa ndizo zinatufanya sie kuwa wajinga, tunawaona wazungu na waarab ndiyo Mungu wetu...ujinga wote wanaotuambia tunaona ndiyo ukweli
Sawa
 
Sio tuko nyuma kwenye mambo bali mambo yoote isipokuwa dini na uchawi tu.
 
Kaa kimya mkuu hata ujitambui, niambie nchi ulioishi na wazungu ukaona wana akili nyingi kulki wa africa.

Ndo tuanzie hapo
 
Kaa kimya mkuu hata ujitambui, niambie nchi ulioishi na wazungu ukaona wana akili nyingi kulki wa africa.

Ndo tuanzie hapo
Umesoma ukaelewa ndio ukaandika hiki au umesoma bila kuelewa ndio ukaandika hiki ?
 
Acha kutusifia ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…