instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Hii ni kweli...wanaspecialize....Mtazamo wa haraka ni kwamba, sio kwamba wenzetu hawa wana IQ kubwa kutushinda, la hasha. Isipokuwa, wenzetu hawa wanapangilia mambo yao tofauti na sisi. Kwa mfano: mtu (mzungu) anagundua anajua sana kitu fulani (mathalani ufundi cherehani), atajibidisha huko na kuwa expert kwenye eneo hilo. Tofauti na sisi, mtu anataka ajuwe vitu vingi kwa wakati mmoja; hii itamfanya asijuwe kwa undani jambo lolote, kwani kuyashika yote ni vigumu, hata uwe na IQ kubwa kiasi gani. Hapo ndio wanapotupiga bao wenzetu!
Lakin wanaweza kufaya hivyo kwa sababu wana basic needs tayari...sisi hela ya kula huna utaspecialize vip na kitu kimoja