Waafrika/watu weusi tuna matatizo gani?

Na hiki kitu ndicho wanachokipenda ... Yani mjidharau na Mushi walivyowaaminisha wao kuwa Nyie ni wajinga na sifa zote za hovyo Ni zenu.
Cha Ajabu wao wanafanya upuuzi mbele ya macho na Bado mtaubless wengine watauita ujinga Sayansi wengine akili kubwa.... Pandikizi walizozileta zinafanya kazi.
#Vita ya Ufahamu Hi65
 
Kwanza kabiza ni unafiki., pii tunapemda uongo , ukishakuwa na combibation ya vitu hivi viwili huwezi kuishi kwa uhalisia na mara nyingi ndo huleta umasikini.
 
Kusema ukwel wazungu wana akili nyingi ebu fikiria mtu kuunda ndege ipae, simu je? Kugundua umeme na Mambo mengine makubwa yameanzia huko, Tukubali tu kuwa tuliumbwa au kuzaliwa na akili ndogo,.Mwenye akili acha aabudiwe
Watu wote, wanyama wowote wana uwezo wa kujenga vyote hatimaye hivyo ikiwa wana lugha moja.

Nnamaanisha kama wanaishi kujenga nyumba moja ya ujuzi na elimu wanaweza.

Shida yetu ni hatuna ile 'cumulative effect of effort and knowledge' ambayo ndiyo most powerful force ever invented. LANGUAGE.
 
Duuuh! Hatari
 
Kusema ukwel wazungu wana akili nyingi ebu fikiria mtu kuunda ndege ipae, simu je? Kugundua umeme na Mambo mengine makubwa yameanzia huko, Tukubali tu kuwa tuliumbwa au kuzaliwa na akili ndogo,.Mwenye akili acha aabudiwe
Sawa
 
Kwanza kabiza ni unafiki., pii tunapemda uongo , ukishakuwa na combibation ya vitu hivi viwili huwezi kuishi kwa uhalisia na mara nyingi ndo huleta umasikini.
Basi tuna tatizo kubwa sana
 
Mkuu una ona kuna siku sisi tuta piga hatua ? Chukulia mfano tu nchi yako Tanzania kwa haya yanayo endelea hapa nchini.
 
Kama unakubali wao walituletea pandikizi na zinafanya kazi , kwa nini sisi blacks hatukuwawahi na kupandikiza mindsets zetu kwao ili na wao wajidharau?,
Back to square one !!! Tunapenda kuamini uongo!!
 
Kama kuna huyo Mungu katuumba sisi na Low IQ ili tuwe kenge katika msafara wa mamba[ wazungu ] kama ulivyo sema, yeye sasa anapata faida gani sisi kuwa hivi ?
Actually Mungu anapata hasara kubwa mnooo kwa matendo yetu, sema hana la kufanya kwa sababu siku ya malipo aliyoiweka kwa wote haijafika. Ni sawa na mwalimu baada ya kufundisha wanafunzi wake kwa term nzima ile siku ya mtihani anapopita kuona majibu ya vijana wake kwenye paper anaishia kusikitika tuu..
 
Ungeyataja hayo mambo unayoyaona tupo nyuma nayo ili tuchangie vizuri.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Siku ya malipo ya nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…