Waafrika/watu weusi tuna matatizo gani?

Waafrika/watu weusi tuna matatizo gani?

1. Hatupendani
2. Umimi.
3. Uzalendo haupo
4. Undugu nization umetamalaki.
Na siyo kosa kwa kuwa tumeumbwa hivyo kiasili
Hiyo ni asili yetu
Nikisema asili namaanisha
huwezi kushindana na ukweli
Umezaliwa mweusi huwezi kulazimisha kuwa mweupe (mzungu)
Wewe ni mfupi huwezi kulazimisha kuwa mrefu

Paka ni jamii ya chui
Vipi punda na farasi

Jamii za binadamu ndiyo hizo unazozijua
Kila mtu ashinde mechi zake
Akuna cha laana wala nini
 
Hao jamaa usijilinganishe nao, they are not humans hao ni majusi. Umeshawahi kusikia uwezo wa aliens, majini au malaika kupitia vitabu mbali basi usidhani hao ni viumbe wa ajabu bali ndio hao hao wazungu.

Dunia hii ni ya mtu mweusi hawa jamaa walivamia kutoka sayari za mbali wakajipenyeza na kuanzisha vizazi na makazi na ndiomaana hapo kale walikuwa ni watu wa kuhangaika kuizuru dunia kuona uzuri wake na kutambua maeneo sahihi ya wao kuweza kuishi. Hata leo usishangae NASA bado wanahangaika na elimu ya anga sio kwamba wanapenda kuujua ulimwengu tu bali bado wanauhitaji wa vizazi vyao kuishi salama kwa miaka mamilioni ijayo baada ya dunia hii kuharibika.

Hawa jamaa ni ma genius we can't fight them in any way, historia wametuandikia tunasoma na kujifunza walichoandaa wao. Hatuwawezi sababu wanasiri kubwa kati ya muumbaji na uumbaji.

Kwaakili ya kawaida sio rahisi kugundua ndege kusafiri anga za mbali, kujua mzunguko na umbo la dunia na mengine mengi. Sio kwamba hakuna watu weusi wenye uvumbuzi lakini ni wangapi na wamegundua kupitia nini au baada ya kusoma nini kilichoandaliwa na nani? Think!

Usipanik haya ni mawazo ya kufikirika lakini yenye maana halisi ya kufikiri 🤣
 
Ningependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini.

SWALI
Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa nini tupo nyuma katika mambo mengi tofauti na Wazungu na Waasia?

Karibuni kwa maelezo na majibu yenu wadau wote.
Tulichezewa Sana
 
Vitu viwili wala sio vingi sana.

1. Ubinafsi (selfishness)
2. Uelewa (understanding)

Biblia inasema mpende jirani yako kama nafsi yako. Biblia inasema hakuna sadaka kubwa zaidi ya upendo.

Wazungu wanatoa sana sadaka ya upendo.

Biblia inasema tafuteni sana maarifa (uelewa). Biblia inasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Wazungu wanasema unaweza kumfundisha mwafrika kuwa Engineer bora zaidi, kuwa Dr bora zaidi lakini huwezi kumfundisha kuelewa Dunia.

So, basically waafrika hawaelewi Dunia (They don't understand the world). Ndio maana huwezi kutofautisha fikra na matendo ya msomi na asiye msomi.

Hapo ndio kuna shida.

Nini kifanyike?

Hiki hapa: Exposure.

Waafrika wachanganywe kwa kiwango kikubwa sana na wazungu. Kama ilivyo USA. Trust me, mwafrika wa USA si sawa na mwafrika wa Africa. Trust me again, kwa kufanya hivyo mwafrika atakuwa mtu mpya kabisa kiasi cha kuwa juu zaidi ya wazungu.

Deep inside Mwafrika ana uwezo mkubwa sana zaidi ya mzungu almost kwa kila kitu (genetically). Tatizo la mwafrika ni mwafrika mwenzake. Fuatilia kwa kina zaidi utaelewa.
 
Kama kutesa kwa zamu sisi tumetesa lini ? Au sisi ndio tunao teswa kila kukicha ?.
Kuna kipindi hii dunia ilikuwa na super power 4, Roma, Persia, China na Aksum.

Aksum ni Ethiopia ya sasa jamaa walitawala hadi part ya Middle east na walimiliki Trade routes mashariki hadi persia (Iran ya sasa) na hadi Rome (ulaya). Hii ilikuwa ni karne kuanzia ya kwanza hadi ya 7 hivi.

Baadae kukawa na Empire ya Mali karne ya 13 mpaka ya 16 walikuwa na maendeleo Sana Pale Timbuktu, ukijumuisha Vyuo vyote Timbuktu ilikuwa na wanafunzi 25,000 kati ya watu 100,000 kwenye Mji, vyuo vyetu vikubwa kama Udom havina Wanafunzi wengi hivi, ni katika kipindi hiki ndio Mtu tajiri zaidi Duniani kupata kurekodiwa na historia ya karibuni Mansa Mussa alizaliwa na kuwa mfalme wa hili eneo.
 
Who wrote the bible? Nani katuletea biblia? Kwanini waandishi wote ni katika kundi hilo moja tu Wazungu na watu wa mashariki ya kati? Think! Think! Kwanini hata uwezo wa kuandika tusingepewa sisi watu weusi?

Tunaamini Mungu hana upendeleo kwanini haya yanatokea? 😂 They are not humans wanajua siri nyingi za Uungu that's why they wins us. Unaamini kila kitu kilichoandikwa nao. Wake-up! Hao sio binadamu wa kawaida hao ni malaika walioasi, majusi, aliens they know universe better than us
 
Hapana mkuu siwezi kupanick kwa maoni ya mtu, upo huru kutoa maoni yako hili ni jukwaa huru mkuu.
 
Una fahamu maisha ya black America yalivyo mkuu ?
 
Kuna kipindi hii dunia ilikuwa na super power 4, Roma, Persia, China na Aksum.

Aksum ni Ethiopia ya sasa jamaa walitawala hadi part ya Middle east na walimiliki Trade routes mashariki hadi persia (Iran ya sasa) na hadi Rome (ulaya). Hii ilikuwa ni karne kuanzia ya kwanza hadi ya 7 hivi.

Baadae kukawa na Empire ya Mali karne ya 13 mpaka ya 16 walikuwa na maendeleo Sana Pale Timbuktu, ukijumuisha Vyuo vyote Timbuktu ilikuwa na wanafunzi 25,000 kati ya watu 100,000 kwenye Mji, vyuo vyetu vikubwa kama Udom havina Wanafunzi wengi hivi, ni katika kipindi hiki ndio Mtu tajiri zaidi Duniani kupata kurekodiwa na historia ya karibuni Mansa Mussa alizaliwa na kuwa mfalme wa hili eneo.
Sasa nini kimebaki hapo Mali ? Na kwa sasa Italy na China zipo wapi ?
 
Who wrote the bible? Nani katuletea biblia? Kwanini waandishi wote ni katika kundi hilo moja tu Wazungu na watu wa mashariki ya kati? Think! Think! Kwanini hata uwezo wa kuandika tusingepewa sisi watu weusi?

Tunaamini Mungu hana upendeleo kwanini haya yanatokea? 😂 They are not humans wanajua siri nyingi za Uungu that's why they wins us. Unaamini kila kitu kilichoandikwa nao. Wake-up! Hao sio binadamu wa kawaida hao ni malaika walioasi, majusi, aliens they know universe better than us
Duuuh!
 
Mkuu
Ningependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini.

SWALI
Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa nini tupo nyuma katika mambo mengi tofauti na Wazungu na Waasia?

Karibuni kwa maelezo na majibu yenu wadau wote.
Mkuu na amini maisha tunayo ishi ndiyo maisha ambayo dunia ilipaswa kuishi

Sema kunakitu kinaitwa technology kinatufanya tuonekane tupo nyuma Sana
Lakini nikijiuliza Nini faida ya hizi technology sioni zaidi ya kuonyeshana Nani anajua na Nani hajui mwisho wa siku tunaishia

👉Kutengeneza ndege za kuuwa bara ya kusafiria,

👉Kutengeneza ma bom ili kuuwana badara ya vyakula

👉Kutengeneza vifaru ili kuuwana badara ya kuvitumia kusafiria kwenye bara bara zisizo pitika

👉Kutengeneza magonjwa na dawa ili kujitenge nezea faida kifedha
👉 Kutengeza viwanda ambavyo mwisho wasiku NI chanzo kikuu Cha mabadiliko ya Hari ya hewa

Sasa je hayo Nima endeleo wanayo yafanya wenzetu huko uraya na asia?
 
Mwafrika ni mtu wa kale, wazungu ni version mpya ya mtu wa kale
 
Kama kuna huyo Mungu katuumba sisi na Low IQ ili tuwe kenge katika msafara wa mamba[ wazungu ] kama ulivyo sema, yeye sasa anapata faida gani sisi kuwa hivi ?
Kama huyo mungu aliumba hivi basi naye ni msenge tu. Maana mungu halisi aliumba mwanadamu kwa mfano wake hawa miungu wengine tunaoletewa sjui mungu wa msalabani au mungu asiesikia lugha zingine hapa ndipo tatizo lilipoanzia
 
Mkuu

Mkuu na amini maisha tunayo ishi ndiyo maisha ambayo dunia ilipaswa kuishi

Sema kunakitu kinaitwa technology kinatufanya tuonekane tupo nyuma Sana
Lakini nikijiuliza Nini faida ya hizi technology sioni zaidi ya kuonyeshana Nani anajua na Nani hajui mwisho wa siku tunaishia

👉Kutengeneza ndege za kuuwa bara ya kusafiria,

👉Kutengeneza ma bom ili kuuwana badara ya vyakula

👉Kutengeneza vifaru ili kuuwana badara ya kuvitumia kusafiria kwenye bara bara zisizo pitika

👉Kutengeneza magonjwa na dawa ili kujitenge nezea faida kifedha
👉 Kutengeza viwanda ambavyo mwisho wasiku NI chanzo kikuu Cha mabadiliko ya Hari ya hewa

Sasa je hayo Nima endeleo wanayo yafanya wenzetu huko uraya na asia?
Kwako wewe teknolojia haina maana na umuhimu wowote ?
 
Back
Top Bottom