Hakuna kitu kama miujizaNi ujinga wa hali ya juu.
Ni moja ya sababu Africa kuendelea kiuchumi inakuwa vigumu sana.
Watu wengi wanapenda sana miujiza, uchawi, shortcuts za kijinga.
Ujinga na uvivu mtupu.
Miafrika ni mipumbavu,walioleta dini wenyewe walishaachana nazo.Takribani ni siku nne sasa BBC inarusha makala za kuonyesha hujuma zilizofanywa na mhubiri TB Joshua.
TB Joshua ndiye chachu iliyozaa manabii karibu wote Afrika na nje ya Afrika kwa zama ya Leo.
Hivyo ukimgusa TB Joshua ni sawa na kuwagusa manabii na mitume wote wa Afrika.
Wafuasi wa mitume na manabii waijia juu BBC.
Wengine wakiahidi kuwa hawataamini tena habari yoyote itakayotolewa na BBC,
Wengine wanaitabiria anguko BBC.
Dini ni hatari zaidi ya bomu la nyuklia.
Katika vitu ambavyo mwanadamu anapaswa kuwa makini anapoongea ni pale atakapoongea jambo linalohusu dini l/njia au Imani.
Wote wanafiki moto unawasubiriWapmbv ni wengi
Eti miujiza
Huyo mwaposa mwenyewe tp tu
Hakuna cha miujiza wa lini
Ova
Bila kuegemea upande wowote, cha kujiuliza tuhuma zenyewe zina ushahidi wenye mashiko na ukweli?, binafsi sijaangalia hizo documentary za bbc
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Sema watu hasa Africa ni kama wamerogwa Na manabiiMackenzie bado ana kesi hawawezi kumuingizia uchunguzi. Kuhusu mitume na manabii muda ndio huongea. Hata hapo Kenya jicho pevu alipigwa vita Sana ila mwisho wa siku ukweli ukajulikana. Hivyo TB Joshua muda wake umefika
Na wachezaji wenye ukwasi piaTB joshua anafilisiwa tupo hapa mtaona hiyo ndio timing yake , inaonekana ana mali mpaka ulaya maana alikuwa njema kweny pesa.
Hizi ndio njia wanazotumia hata kukamata baadhi ya viongozi waliotoka madarakani.
Naunga mkono hojaNimetazama documentary zote tatu. Nimetokwa machozi. Nafikiri hata lile tukio la kule Kilimanjaro lililouwa watu lichunguzwe.
Binafsi sina shida na utakatifu wake au ushetani wake.Mackenzie bado ana kesi hawawezi kumuingizia uchunguzi. Kuhusu mitume na manabii muda ndio huongea. Hata hapo Kenya jicho pevu alipigwa vita Sana ila mwisho wa siku ukweli ukajulikana. Hivyo TB Joshua muda wake umefika
Hawa wafuasi wengi wanakuwa hawawafuati hawa manabii kwa sababu yavkumfuata Mungu.Sema watu hasa Africa ni kama wamerogwa Na manabii
Mfano
#
#Mackenzie kaua rundo la watu wengi..Kwa unabii fake
#Mchungaji Bushiri, aliiba saana South Africa Hadi akatoka kwa kutoroka, Na Hadi Leo hawezi Rudi S.A maana ana arest warrant YA kukamatwa
cha kushangaza hata hapa Bongo ana wafuasi wengi Na kanisa lipo Makongo juu hawaamini kama alikuwa tapeli SA tena nchi yetu YA kiafrica Na Sio ulaya
#Kibwetele Uganda aliua watu wengi
#njoo Tanzania Mguse mtume Mwaposa usikie atakavyotetewa..mfano mzuri, Mtume Mwamposa kazalisha dada Wa Salun za massage tena zile za Milano masage..massage center...just imagine hadhi YA Mwamposa kutembea Na madada Wa massage center ni uhuni kama uhuni mwingine..ikija documentary Mwaposa atatetewa saana Na machawa wake
Sema watu hasa Africa ni kama wamerogwa Na manabii
Mfano
Mackenzie kaua rundo la watu wengi..Kwa unabio fake
Mchungaji Bushiri, aliiba saana South Africa Hadi akatoka kwa kutoroka, Na Hadi Leo haiwezi Rudi S.A maana ana arest warranty YA kulamatwa
.cha kishangaza hata hapa Bongo ana wafuasi wengi hawaamini kama alikuwa tapeli SA tena nchi yetu YA kiafrica Na Sio ulaya
Kibwetele Uganda aliua watu wengi
Njoo Tanzania Mguse mtume Mwaposa usikie atakavyotetewa..mfano mzuri, Mtume Mwamposa kazilisha dada Wa Salun tena zile za Milano..massage center...just imagine hadhi YA Mwamposa kutembea Na madada Wa massage center ni uhuni kama uhuni mwingine..ikija documentary Mwaposa atatetewa saana Na machawa wake
Nani shoga? Na fuatilia hio documentary kama tb Joshua hajafanya ushogaKati ya kugonga wanawake na ushoga kipi bora!?
Binafsi sina shida na utakatifu wake au ushetani wake.
Haya madai yamekuja wakati mbaya zaidi. Muhusika wa kuulizwa na kuchuliwa hatua hayupo.
Hivi hawa walionyanyaswa, kuteswa kubakwa wao hawana tatizo? hawana makosa?.
Kama wanayo wao watachuliwa hatua gani? maana wapo
Teknolojia inahitaji Logic na Arithmetic. Waafrika wengi kamwe hawataki kuumiza vichwa.Afrika tumekuwa wabobevu katika dini zaidi ya waanzilishi wa hizo imani, najiuliza kwa uwezo ule ule tungebobea kwenye tekinolojia wanazotuletea tungefika mbali sana.
Una hoja mkuu, ni ukweli kabisaTeknolojia inahitaji Logic na Arithmetic. Waafrika wengi kamwe hawataki kuumiza vichwa.
Mambo ya dini na imani yanahitaji kuaminishwa na hayataki maswali. Imani pasipo kuhoji kila mjinga anaweza hilo. Ni rahisi ndio maana Afrika dini na udini umetawala.