Waafrika waungana kuishambulia BBC mitandaoni. Kweli nimeamini dini ni kitu hatari zaidi ya bomu la nyuklia

Waafrika waungana kuishambulia BBC mitandaoni. Kweli nimeamini dini ni kitu hatari zaidi ya bomu la nyuklia

Ni ujinga wa hali ya juu.

Ni moja ya sababu Africa kuendelea kiuchumi inakuwa vigumu sana.

Watu wengi wanapenda sana miujiza, uchawi, shortcuts za kijinga.

Ujinga na uvivu mtupu.
Hakuna kitu kama miujiza
Wanaojiita manabii wote
Ni matapeli tu
Wako kwenye biashara inayotokana
Na imani
Watu wp#mbv sana

Ova
 
Takribani ni siku nne sasa BBC inarusha makala za kuonyesha hujuma zilizofanywa na mhubiri TB Joshua.
TB Joshua ndiye chachu iliyozaa manabii karibu wote Afrika na nje ya Afrika kwa zama ya Leo.
Hivyo ukimgusa TB Joshua ni sawa na kuwagusa manabii na mitume wote wa Afrika.
Wafuasi wa mitume na manabii waijia juu BBC.
Wengine wakiahidi kuwa hawataamini tena habari yoyote itakayotolewa na BBC,
Wengine wanaitabiria anguko BBC.
Dini ni hatari zaidi ya bomu la nyuklia.
Katika vitu ambavyo mwanadamu anapaswa kuwa makini anapoongea ni pale atakapoongea jambo linalohusu dini l/njia au Imani.
Miafrika ni mipumbavu,walioleta dini wenyewe walishaachana nazo.

Hata yaliuwawa yanakenua tuu 🤣🤣
 
Mackenzie bado ana kesi hawawezi kumuingizia uchunguzi. Kuhusu mitume na manabii muda ndio huongea. Hata hapo Kenya jicho pevu alipigwa vita Sana ila mwisho wa siku ukweli ukajulikana. Hivyo TB Joshua muda wake umefika
Sema watu hasa Africa ni kama wamerogwa Na manabii
Mfano
#
#Mackenzie kaua rundo la watu wengi..Kwa unabii fake

#Mchungaji Bushiri, aliiba saana South Africa Hadi akatoka kwa kutoroka, Na Hadi Leo hawezi Rudi S.A maana ana arest warrant YA kukamatwa
cha kushangaza hata hapa Bongo ana wafuasi wengi Na kanisa lipo Makongo juu hawaamini kama alikuwa tapeli SA tena nchi yetu YA kiafrica Na Sio ulaya

#Kibwetele Uganda aliua watu wengi

#njoo Tanzania Mguse mtume Mwaposa usikie atakavyotetewa..mfano mzuri, Mtume Mwamposa kazalisha dada Wa Salun za massage tena zile za Milano masage..massage center...just imagine hadhi YA Mwamposa kutembea Na madada Wa massage center ni uhuni kama uhuni mwingine..ikija documentary Mwaposa atatetewa saana Na machawa wake
 
TB joshua anafilisiwa tupo hapa mtaona hiyo ndio timing yake , inaonekana ana mali mpaka ulaya maana alikuwa njema kweny pesa.

Hizi ndio njia wanazotumia hata kukamata baadhi ya viongozi waliotoka madarakani.
Na wachezaji wenye ukwasi pia

Sijui kwanini wanapenda kusambaza taarifa hasi sana, na hii imekua too much miaka ya hivi karibuni.
 
Mackenzie bado ana kesi hawawezi kumuingizia uchunguzi. Kuhusu mitume na manabii muda ndio huongea. Hata hapo Kenya jicho pevu alipigwa vita Sana ila mwisho wa siku ukweli ukajulikana. Hivyo TB Joshua muda wake umefika
Binafsi sina shida na utakatifu wake au ushetani wake.
Haya madai yamekuja wakati mbaya zaidi. Muhusika wa kuulizwa na kuchuliwa hatua hayupo.
Hivi hawa walionyanyaswa, kuteswa kubakwa wao hawana tatizo? hawana makosa?.
Kama wanayo wao watachuliwa hatua gani? maana wapo
 
Sema watu hasa Africa ni kama wamerogwa Na manabii
Mfano
#
#Mackenzie kaua rundo la watu wengi..Kwa unabii fake

#Mchungaji Bushiri, aliiba saana South Africa Hadi akatoka kwa kutoroka, Na Hadi Leo hawezi Rudi S.A maana ana arest warrant YA kukamatwa
cha kushangaza hata hapa Bongo ana wafuasi wengi Na kanisa lipo Makongo juu hawaamini kama alikuwa tapeli SA tena nchi yetu YA kiafrica Na Sio ulaya

#Kibwetele Uganda aliua watu wengi

#njoo Tanzania Mguse mtume Mwaposa usikie atakavyotetewa..mfano mzuri, Mtume Mwamposa kazalisha dada Wa Salun za massage tena zile za Milano masage..massage center...just imagine hadhi YA Mwamposa kutembea Na madada Wa massage center ni uhuni kama uhuni mwingine..ikija documentary Mwaposa atatetewa saana Na machawa wake
Hawa wafuasi wengi wanakuwa hawawafuati hawa manabii kwa sababu yavkumfuata Mungu.

Wanawafuata hawa manabii kwa sababu wanataka mafanikio, wanataka miujiza, wanataka utajiri.

Ndiyo maana hata mtu akiwa tapeli, wao wanaona sawa tu, as long as huo utapeli umempatia utajiri.

Tena wanaweza ku rationalize kabisa kusema Mungu ndiye aliyemuwezesha kufanya huo utapeli bila kushikwa.

Kwamba kakomboa utajiri kutoka kwa shetani nankauleta mikononi mwa Mungu.

Nigeria haya makanisa yapo kibao, vijana matapeli wa mitandaoni wanajulikana kabisa, wakija kanisani wanasherehekewa kwa sababu wanaleta pesa kanisani na kwenye jamii yao.

Ni mfumo fulani hivi wa uwindaji wa kileo, na kujitakasa kwa kutumia mgongonwa kanisa.

TB Joshua anaonekana sana kwa sababu yeye alikuwa Big Papa aliupeleka huu nfumo next level, lakini hawa wako wengi sana.
 
Sema watu hasa Africa ni kama wamerogwa Na manabii
Mfano

Mackenzie kaua rundo la watu wengi..Kwa unabio fake

Mchungaji Bushiri, aliiba saana South Africa Hadi akatoka kwa kutoroka, Na Hadi Leo haiwezi Rudi S.A maana ana arest warranty YA kulamatwa
.cha kishangaza hata hapa Bongo ana wafuasi wengi hawaamini kama alikuwa tapeli SA tena nchi yetu YA kiafrica Na Sio ulaya

Kibwetele Uganda aliua watu wengi

Njoo Tanzania Mguse mtume Mwaposa usikie atakavyotetewa..mfano mzuri, Mtume Mwamposa kazilisha dada Wa Salun tena zile za Milano..massage center...just imagine hadhi YA Mwamposa kutembea Na madada Wa massage center ni uhuni kama uhuni mwingine..ikija documentary Mwaposa atatetewa saana Na machawa wake

Kweli kabisa mkuu. Hawa manabii wanapata kiburi kutoka kwa wafuasi wao. Nakumbuka Mwamposa aliposababisha Vigo. Wafuasi wake wakaanza kumtukana watu, eti mwamposa anawaponya halafu mnakuja kumsema vibaya.
 
Binafsi sina shida na utakatifu wake au ushetani wake.
Haya madai yamekuja wakati mbaya zaidi. Muhusika wa kuulizwa na kuchuliwa hatua hayupo.
Hivi hawa walionyanyaswa, kuteswa kubakwa wao hawana tatizo? hawana makosa?.
Kama wanayo wao watachuliwa hatua gani? maana wapo

Sasa mtu kabakwa anakuwaje Tena na makosa?. TB Joshua mpaka anakufa alikuwa ameshapoteza Nuru, lilikuwa limebakia kina tu. Kuna kitu kilikuwa kinamsumbua ndio maana akapata pressure. Nakufa. TB Joshua akiwa hai, ma wisemen na Baraza la wazee walimkimbia. Sasa utajiuliza shida ipo kwa nani?
 
Afrika tumekuwa wabobevu katika dini zaidi ya waanzilishi wa hizo imani, najiuliza kwa uwezo ule ule tungebobea kwenye tekinolojia wanazotuletea tungefika mbali sana.
Teknolojia inahitaji Logic na Arithmetic. Waafrika wengi kamwe hawataki kuumiza vichwa.

Mambo ya dini na imani yanahitaji kuaminishwa na hayataki maswali. Imani pasipo kuhoji kila mjinga anaweza hilo. Ni rahisi ndio maana Afrika dini na udini umetawala.
 
Una hoja mkuu, ni ukweli kabisa
 
hakuna blue wala nyeusi
yule nyang'au aneyejiita ugonjwa wa tb, alikuwa ni kiliwiluwi kweli cha tb
 
Back
Top Bottom