Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Hawa Etoo na huyu mwenziwe wao ndio wamekua wasemaji wa waafrica?
Waafrica ni watu wa ajabu sana, Hatuna mchango wowote kwenye maendeleo ya ulimwengu halafa tunang'ang'ania lazima tupewe heshima sawa. Nikama vile wanawake wanaodai usawa wakati ni tegemezi tu.
Tuache kulalamika.
Demba ba ana caps 19 za national team halafu anaitwa nyota wa Senegal 😂
Ni bora majaribio ya chanjo yaanzie huko huko kwenye chanzo Cha huo ugonjwa,sidhani kama sisi Afrika tatizo la corona ni kubwa mpaka ifikie hatua kwamba chanjo ifanyiwe majaribu huku.wao wapambane tu na hali zao
Pia yatubidi tukatae hela zao za misaada na vifaa vyao wanavyotupatia kupambana na hili gonjwa.Share please!!
ITALY ---14681 Deaths
China ---3326 Deaths
Spain ---11198 Deaths
USA --- 7403 Deaths
AFRICA(Whole continent) -- 164
and the world wants to Start vaccination in Africa....
WHY ?[emoji848]
SAY NO TO THIS THING
who @WHOAFRO View attachment 1408529
Sent using Jamii Forums mobile app
Umaskini ni mbaya sana! Hivi unadhani wakileta hii test alafu serikali ikaambiwa itapewa loan itakataa?Share please!!
ITALY ---14681 Deaths
China ---3326 Deaths
Spain ---11198 Deaths
USA --- 7403 Deaths
AFRICA(Whole continent) -- 164
and the world wants to Start vaccination in Africa....
WHY ?[emoji848]
SAY NO TO THIS THING
who @WHOAFRO View attachment 1408529
Sent using Jamii Forums mobile app
Miafrika full pumbavu tu, hao maprofesa wamesema ukweli usiopingika, huku Afrika hatuna uwezo wa kuzuia kirusi, tupo tupo tu, ile tu kimetukosa kosa tusibweteke, Ulaya na teknolojia zao ambazo zipo na uwezo zaidi ya mara elfu wanaelekea kushindwa, lazima inatia hofu hicho kirusi kikitua vizuri Afrika tutafutwa kwenye ramani ya dunia.
Hivyo wazungu wako sahihi kuja kutukingia kifua maana wanasayansi wa Kiafrika muda kama huu wamejifungia ndani na wake zao, kazi kutazama TV siku inaisha.
Mpumbavu katika ubora wake ,hata iweje waafrika haiwezekan kufutwa Kwenye uso wa dunia kwa korona unataka kunambia mzungu ndio anasababisha waafrika mpaka leo hii wapo na sio kwaajili ya mwenyezimungu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wametoa maoni yao kama ww unavyofanya hapaHivi Hawa Etoo na huyu mwenziwe wao ndio wamekua wasemaji wa waafrica?
Waafrica ni watu wa ajabu sana, Hatuna mchango wowote kwenye maendeleo ya ulimwengu halafa tunang'ang'ania lazima tupewe heshima sawa. Nikama vile wanawake wanaodai usawa wakati ni tegemezi tu.
Tuache kulalamika.
Sawa, waje wajaribu kisha hatimiliki watupe sisi, wao ndio waje kununua kwetu, waambie nimewatukana matusi ya nguoniSupastaa wa zamani wa Inter Milan na Chelsea, Samuel Eto'o amewatolea uvivu maprofesa nchini Ufaransa kufuatia matamshi yao yasiyofaa juu ya Afrika kipindi hiki ambacho ulimwengu unatafuta ufumbuzi dhidi ya kupambana na ugonjwa wa Virusi vya Corona.
Hakuna dawa ambazo zinaweza kuzuia ugonjwa huu, lakini wanasayansi wamegundua chanjo ya BCG, inayotumika kupunguza makali ya ugonjwa huo.
Kupitia kituo cha televisheni cha Ufaransa LCI, Profesa Jean-Paul Mira, mkuu wa kitengo cha huduma ya wagonjwa katika hospitali ya Cochin (Paris) na Profesa Camille Locht, mkurugenzi wa utafiti huko Inserm alipendekeza ufanisi wa chanjo hiyo inapaswa kufanyiwa majaribio Afrika.
Kauli hiyo, ilimchukiza Eto'o na kutumia mtandao wake wa kijamii kwa kuandika. "Afrika sio uwanja wako wa kucheza."
Nyota wa kimataifa wa Senagel, Demba Ba, alionekana kukerwa na msomi huyo kwa kuandika, "Karibu Magharibi, ambapo watu weupe wanajiamini kuwa bora zaidi kwamba ubaguzi wa rangi na ujasusi huwa kawaida. Wakati wa kuinuka."
Kiungo wa zamani wa Ufaransa na kiungo wa Inter Milan, Olivier Dacourt alionyesha msimamo wake katika Twitter.
"Je! Ni kweli wapo siriazi?" aliuliza.
Kuna watu wamekuwa wakikimbilia Ulaya ili wasaidiwe kisiasa lakini hivi ndivyo wazungu wanavyotuchukulia
Chanzo cha habari ni gazeti la Mwanaspoti
Mbona hela zao mnafurahi kuzipangia matumizi?Jana tu mbunge wa chama chakavu ,msukuma amefurahi sana ujio wa fedha za wazungu kwa hilo waacheni waje kujaribia hiyo mitambo
Sent from my itel S32 using Tapatalk