Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Waliofanya mapinduzi huko Afrika ya Magharibi kwa sasa wanaonekana ni mashujaa.
Kila kona kwenye mitandao ya kijamii wamapostiwa kuwa ni mashujaa
Ni dhahiri sasa waafrika wengi wamechoshwa na ufisadi na matumizi ya madaraka
Sawa askari wa kiibodiUnaogopa kunyongwa kwa ufisadi wako?
Hilo neno wapiga kura liondoe,hamna kiongozi wa afrika anayeingia kwa kura halali madarakani ndio maana hawawajali raia waoMapinduzi au machafuko huwa yanasababishwa na viongozi wenyewe wa serikali, hasa wanaposhindwa kuwatumikia waliowapigia kura na badala yake wakaanza kujinufaisha wao na familia zao huku hali ya raia ikizidi kutopea karika lindi la umaskini na uhitaji.
Jambo la kupiga kura ni suala la mpito la kuichagua serikali, kuendana na ahadi na haiba ya viongozi wanaojitokeza kunadi sera za chama chao, na hatimaye kukabalika kuwa kinaweza kukabiliana na changamoto zinazowakabili wanachi katika muda husika.Waliofanya mapinduzi huko Afrika ya Magharibi kwa sasa wanaonekana ni mashujaa.
Kila kona kwenye mitandao ya kijamii wamapostiwa kuwa ni mashujaa
Ni dhahiri sasa waafrika wengi wamechoshwa na ufisadi na matumizi ya madaraka
View attachment 2709847
Waliofanya mapinduzi huko Afrika ya Magharibi kwa sasa wanaonekana ni mashujaa.
Kila kona kwenye mitandao ya kijamii wamapostiwa kuwa ni mashujaa
Ni dhahiri sasa waafrika wengi wamechoshwa na ufisadi na matumizi ya madaraka
View attachment 2709847
Mimi mwenyewe nipo tayari kwenda naija nikapambane na hao mawakala wa mzungu ecowas
Sijakuzidi wewe kamanda Tundu lisu (lisu maana yake limejaa) so umeliwa tundu hadi limevimba.Unaliwa mavi
Huyo ndiyo ukweliWaliofanya mapinduzi huko Afrika ya Magharibi kwa sasa wanaonekana ni mashujaa.
Kila kona kwenye mitandao ya kijamii wamapostiwa kuwa ni mashujaa
Ni dhahiri sasa waafrika wengi wamechoshwa na ufisadi na matumizi ya madaraka
View attachment 2709847
Unashauri nn juu ya vitendo vya kifisadi kila mwaka na hakuna hatua zinazochukuliwa?Subiri ukifika Muda wa utawala wa mabavu kwenye hizo tawala za kijeshi ndio uongee. Wewe unadhani ni Kwa Nini Raia wanavumilia utawala wa kiraia ? Kwa sababu utawala wa kiraia hauna ubabe na mambo mengine.
Utawala wa kiraia unaondoka Kwa kura ila utawala wa kijeshi unaondoka kama ulivyoingia, Kwa mapinduzi
DuhSijakuzidi wewe kamanda Tundu lisu (lisu maana yake limejaa) so umeliwa tundu hadi limevimba.