Waafrika wengi wanatamani mapinduzi kama ya Niger na Burkina Faso. Ufisadi unawakera na kuwachosha

mapinduzi ya kijeshi hayajawahi kuwa suluhisho Africa, Kwa kifupi huengeza matatizo zaidi, nashangaa kuna watu wanashabikia hilo halafu na eti wanajita wana mabadiliko.
 
Waliofanya mapinduzi huko Afrika ya Magharibi kwa sasa wanaonekana ni mashujaa.

Kila kona kwenye mitandao ya kijamii wamapostiwa kuwa ni mashujaa

Ni dhahiri sasa waafrika wengi wamechoshwa na ufisadi na matumizi ya madaraka

View attachment 2709847
Mapinduzi ya kijeshi yana madhara makubwa kuliko faida, inachukuwa muda mpaka nchi kurudi kwenye hali yake ya kawaida baada ya mapinduzi kuna mifano mingi tu ya nchi hapa kwenye bara letu.
Nadhani bado kuna namna nyingine ya kudili na viongozi walaghai wa afrika na sio Coup.
Acha utawala wa sheria uendelee.
Mungu ibariki afrika.
 
Subiri ukifika Muda wa utawala wa mabavu kwenye hizo tawala za kijeshi ndio uongee. Wewe unadhani ni Kwa Nini Raia wanavumilia utawala wa kiraia ? Kwa sababu utawala wa kiraia hauna ubabe na mambo mengine.

Utawala wa kiraia unaondoka Kwa kura ila utawala wa kijeshi unaondoka kama ulivyoingia, Kwa mapinduzi
Hapa kwetu sio rahisi kuondoa utawala kwa kura
 
Mapinduzi ya kijeshi yana madhara makubwa kuliko faida, inachukuwa muda mpaka nchi kurudi kwenye hali yake ya kawaida baada ya mapinduzi kuna mifano mingi tu ya nchi hapa kwenye bara letu.
Nadhani bado kuna namna nyingine ya kudili na viongozi walaghai wa afrika na sio Coup.
Acha utawala wa sheria uendelee.
Mungu ibariki afrika.
Utawala wa kisheria upi?Binafsi sioni tofauti ya tawala za kijeshi na kiraia kwa huku kwetu.Kwani wakiamua kukushughulikia,sheria huwa haiangaliwi.Kinachoangaliwa ni hisia za anayekushughulikia.
 
Kudai bandari zetu tuu, imekuwa kesi kubwa, hayo mapinduzi sijajua itakuwaje.
 
Waliofanya mapinduzi huko Afrika ya Magharibi kwa sasa wanaonekana ni mashujaa.

Kila kona kwenye mitandao ya kijamii wamapostiwa kuwa ni mashujaa

Ni dhahiri sasa waafrika wengi wamechoshwa na ufisadi na matumizi ya madaraka

View attachment 2709847
Mafisadi na vyama vyao ndivyo huhongwa na wazungu kwa kusaidiwa kudumu madarakani
 
Waliofanya mapinduzi huko Afrika ya Magharibi kwa sasa wanaonekana ni mashujaa.

Kila kona kwenye mitandao ya kijamii wamapostiwa kuwa ni mashujaa

Ni dhahiri sasa waafrika wengi wamechoshwa na ufisadi na matumizi ya madaraka

View attachment 2709847
Hapa Banana Republic kwanini wanashindwa?
1. Ukosefu wa uelewa wa masuala ya nchi ?
2. Kutokumbuka watokako ?
 
Shida yetu tulipata uhuru bila kibaya kikubwa tunaona yanayoendelea ni kama haituhusu lakini wenzetu walimwaga damu mambo ya nchi yao wanafuatilia sana
 
Hata zile Serikali tunazodhani ni za kidemokrasia na kwamba zimewekwa na wananchi ni uongo. Hawa ndo wanafanya mapinduzi mabaya yakuiba kura ni afadhali hata mapinduzi ya kijeshi.
 
Waliofanya mapinduzi huko Afrika ya Magharibi kwa sasa wanaonekana ni mashujaa.

Kila kona kwenye mitandao ya kijamii wamapostiwa kuwa ni mashujaa

Ni dhahiri sasa waafrika wengi wamechoshwa na ufisadi na matumizi ya madaraka

View attachment 2709847
Unfortunately haijawahi Wala hautawasaidia mwendo ni mmja tuu Weusi hawana akili na hawajui wafanyaje.
Unatoka kuwa pandikizi la West inahamia kuwa pandikizi la Putin 😁😁, mwisho wa siku ni 👇
 
Waliofanya mapinduzi huko Afrika ya Magharibi kwa sasa wanaonekana ni mashujaa.

Kila kona kwenye mitandao ya kijamii wamapostiwa kuwa ni mashujaa

Ni dhahiri sasa waafrika wengi wamechoshwa na ufisadi na matumizi ya madaraka

View attachment 2709847
Wakwetu makada wa ccm hawawezi,ndio maana wakistaafu tu wanaonyesha kadi, ila alichofanya kapteni Ibrahim traore, na ukimsikiliza anachokisema ni mwenye uchungu na hasira juu wala rushwa
 
Waliofanya mapinduzi huko Afrika ya Magharibi kwa sasa wanaonekana ni mashujaa.

Kila kona kwenye mitandao ya kijamii wamapostiwa kuwa ni mashujaa

Ni dhahiri sasa waafrika wengi wamechoshwa na ufisadi na matumizi ya madaraka

View attachment 2709847
Kwani hao wanajeshi walipindua ndio hii ufisadi hawafanyi? Tena hao si tu ufisadi unabakia bali pia huwa hawana elimu za kuongoza nchi wala uzoefu, akina Idi Amin, ndio mifano ya watu hao
 
Back
Top Bottom