Waafrika wengi wanatamani mapinduzi kama ya Niger na Burkina Faso. Ufisadi unawakera na kuwachosha

Waafrika wengi wanatamani mapinduzi kama ya Niger na Burkina Faso. Ufisadi unawakera na kuwachosha

Kapitain tu kafanya mambo huko bukinabe

Ova
 
Najaribu kufikiria namna wanavyofanya mapinduzi, na jeshi kutii; kwa sababu anayefanya mapinduzi unakuta sio mkuu wa majeshi, najaribu kufikiri anatumia njia gani kudhibiti mamlaka.​
 
Waliofanya mapinduzi huko Afrika ya Magharibi kwa sasa wanaonekana ni mashujaa.

Kila kona kwenye mitandao ya kijamii wamapostiwa kuwa ni mashujaa

Ni dhahiri sasa waafrika wengi wamechoshwa na ufisadi na matumizi ya madaraka

View attachment 2709847
Hayo mapinduzi yenyewe mbona nayo ufisadi mtupu kina Babangida, Abacha mpaka Museveni.

Waafrika wanataka njia ya mkato ambayo haipo.

Matatizo hayamaliziki mpaka muondoe ujinga na kuacha kuzaliana kama sungura.
 
Hii ni nchi ya aman mapinduzi yenu pelekeni burundi huko au nyuma ya kibodi mnakopigania deile hamna tofauti na mange yeye anawahamasisha akiwa instagram akiliwa uroda na wazungu ila uraiani hatokei, mtoa mada bila shaka umefuata nyayo za muasisi wenu wa vita ya 3 ya dunia ya mtandaoni huku umeshikishwa ukuta.
Unaliwa mavi
 
Hii ni nchi ya aman mapinduzi yenu pelekeni burundi huko au nyuma ya kibodi mnakopigania deile hamna tofauti na mange yeye anawahamasisha akiwa instagram akiliwa uroda na wazungu ila uraiani hatokei.
Nchi ya amani ya upuuzi wakati ufisadi umeshamiri,miradi haitekelezwi vizuri,wanaingia mikataba mibovu.soon or latter kama serikali ya CCM haitabadilika watapinduliwa.muda wa mabadiliko ukifika hakuna wa kuyazuia.
 
Subiri ukifika Muda wa utawala wa mabavu kwenye hizo tawala za kijeshi ndio uongee. Wewe unadhani ni Kwa Nini Raia wanavumilia utawala wa kiraia ? Kwa sababu utawala wa kiraia hauna ubabe na mambo mengine.

Utawala wa kiraia unaondoka Kwa kura ila utawala wa kijeshi unaondoka kama ulivyoingia, Kwa mapinduzi
Hauna ubabe!? Umeishawahi kuwekwa rumande?
Mbunge alipigwa risasi mchana kweupeee! Watu waliuliwa na kutupwa kwenye viroba! We jamaa unsishi bongo!!!
 
Washenzi xnaa hao ecowas hapo ndio wameonyesha kua kwel Africa bdo inataka kuendelea kutawaliwa
Yaani watu wanapambania nchi yao kuwaondoa wanyonyaji wakizungu we unapambana waendelee kuwepo pumbav xnaa hasa hio nigeria
Boko haram tu inawato nishai hao.
 
Endelea kuungwa mkono na wajinga wenzako wasiojua mambo. Huko Niger na Bukrina Faso hayo sio mapinduzi ya kwanza. Miaka nenda rudi hizo nchi zina mapinduzi ila ndo nchi masikini hadi zinatia kinyaa. Kama Mapinduzi yangekuwa ndo maendeleo basi hizo nchi zingeongoza kwa maendeleo Afrika
Ni Kweli ndugu,

Bt usisahau Chama Cha mapinduzi kilipindua pia 🙏🙏
 
Endelea kuungwa mkono na wajinga wenzako wasiojua mambo. Huko Niger na Bukrina Faso hayo sio mapinduzi ya kwanza. Miaka nenda rudi hizo nchi zina mapinduzi ila ndo nchi masikini hadi zinatia kinyaa. Kama Mapinduzi yangekuwa ndo maendeleo basi hizo nchi zingeongoza kwa maendeleo Afrika
Elewa yafuatayo;
Nchi hizi maraisi ni mawakala wa ufaransa.
Ni majizi kama majizi mengine ya Africa.
Raslimali za nchi wanazo wageni wazungu.
maisha ni "afadhali na jana".
Ndio maaana ya haya mapinduzi!
 
Hii ni nchi ya aman mapinduzi yenu pelekeni burundi huko au nyuma ya kibodi mnakopigania deile hamna tofauti na mange yeye anawahamasisha akiwa instagram akiliwa uroda na wazungu ila uraiani hatokei, mtoa mada bila shaka umefuata nyayo za muasisi wenu wa vita ya 3 ya dunia ya mtandaoni huku umeshikishwa ukuta.
Amani ndio kigezo cha kuibiwa?
 
Waliofanya mapinduzi huko Afrika ya Magharibi kwa sasa wanaonekana ni mashujaa.

Kila kona kwenye mitandao ya kijamii wamapostiwa kuwa ni mashujaa

Ni dhahiri sasa waafrika wengi wamechoshwa na ufisadi na matumizi ya madaraka

View attachment 2709847
Unasifia wanaume wenzako? Kwanini na wewe usijaribu hapa ukione cha mtema kuni? Pumbavu!!!
 
Kama husomi historia kasome, utaona kila mwanajeshi anayepindua serikali husingizia kupambana na ufisadi na mabeberu lakini matokeo yake huwa fisadi maradufu ya aliowapindua. Na hugeuka madikteta wauaji wakubwa.
 
Subiri ukifika Muda wa utawala wa mabavu kwenye hizo tawala za kijeshi ndio uongee. Wewe unadhani ni Kwa Nini Raia wanavumilia utawala wa kiraia ? Kwa sababu utawala wa kiraia hauna ubabe na mambo mengine.

Utawala wa kiraia unaondoka Kwa kura ila utawala wa kijeshi unaondoka kama ulivyoingia, Kwa mapinduzi
Tuko tayari kwa mapinduzi ya kijeshi, kuliko kuendelea kutawaliwa na CCM kwa shuruti. Kwa kuwa CCM inategemea mbeleko ya vyombo vya dola kukaa madarakani, ni vyema hivyo vyombo vya dola vichukue madaraka ili nchi yetu ianze upya kiutawala.

Ukitaka kuamini kuwa watu wameichoka CCM, tazama jinsi idadi ya wapiga kura inavyozidi kupungua. Na ikitokea mapinduzi ya kijeshi mtashangaa tutakavyowaunga mkono.
 
Waliofanya mapinduzi Niger ni zaidi ya mafisadi. Serikali iliyopinduliwa Niger ni serikali iliyopo madarakani kwa kura za halali tena kwa asilimia zisizozidi 6.

Waliopinduwa hawatafanikiwa kwa kwa wao ndio mafisadi wa kwanza. Hayo yalikuwa ni mambo ya miaka ya mwanzo Afrika kuanza kujitawala. Sasa hapana, Waafrika tusikubali kabisa mambo hayo.

Tukikubali hayo, tutatumiwa milele.
Kama CCM inaendelea kukaa madarakani kwa shuruti, ni bora mapinduzi ya kijeshi ili tuanze upya.
 
Nakumbuka Iddi Amin alishangiliwa sana na wananchi alipofanya mapinduzi lakini jamaa walijuta miaka sio mingi baadaye🤣
 
Niliwahi kusikia eti Tanzania kuna amani nikajiuliza maisha yalivyo magumu hivi ni kweli kuna amani hapa? Yaani watu hawajuhi kesho wanakula nini na wanakunywa nini alafu unasema hawa watu wana amani mihoyoni mwao ..really?
 
Back
Top Bottom