Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Very intresting, considering wakati napost hii thread mwaka 2019 March, Corona wala haikuwepo
 
Alafu kwanini mwafrica ndiye analalama tu? Italy wanapambana kuzuia chanja isitoke nje ya EU kabla wao hawajachanja japo 40% ya watu wao na leo wamezuia shehena iliyokuwa isafirishwe kwenda Australia lakini sisi ngozi nyeusi eti tunalala wanataka kutuua[emoji14]. Masikini na mjinga(ignorant) kwa asili yake ni malalamiko.
 
Kama wew ni mtumiaji mzuri wa madawa ya kimasai nakushauri ukachek figo na maini sasa, maana kutibu tu siyo tija, tija ni kujua pia na contents za sumu zinazoweza kuwepo kwenye haya madawa ya kienyeji, tusibugie tu majani, ata wazungu walitoka kwenye zama hizo za kubugia majani, mortality rate ya mwafrica iko juu sababu ya kula majani kama sungura.
 
Kama Italy anazuia chanjo aliyoitengeneza yeye mwenyewe tatizo liko wapi au cha ajabu nini, kwani si katengeneza yeye na anajua kilichomo ndani ya chanjo yake? Unapouliza kwanini mwaAfrika ndie analalama tu si kweli, hakuna aliyelalamika, bali ni msimamo, kutoa msimamo si kulalamika.
 
Umeona sasa ulivyo taahira? Umewahi kujiuliza ni kwanini watu wanaoutumia ARV hufa kwa kufeli kwa figo, moyo, na ini? Au unafikiri sumu maana yake ni hadi ukanywe sumu ya panya? Au unataka kusema ARV nayo imetengenezwa na wamasai? Hivi huwa mnapata faida gani hasa pale mnapotoa ubongo kichwani na kujaza funza?!
 
Kuna tangazo fulani ITV linazungumzia magonjwa ya figo na covid, lisikilize vizuri ewe tomaso
 
Ndio tatizo la kukaza ubongo, mi naongelea Africa we unaongelea Rwanda, ok kwa akili hizo hizo ulizotumia, siku pakiwa na mechi uwanja wataifa basi tunaita Africa ina over population kisa pale uwanja watafa ni watu 10 per square meter? Bogus
Kwani Rwanda iko Europe?
 
Imekaa vyema xana hiii nimeichukua kama ilivyo......

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Genocide, the deliberate and systematic destruction of a group of people because of their ethnicity, nationality, religion, or race.
Ewaaaa, sasa kumbe unajua kwamba hapa hatuzungumzii ‘genocide’, bali ‘population control’, sasa hiyo habari ya kusema wazungu kama wangetaka kutumaliza wangeshatuua wote, inatoka wapi?
 
Ewaaaa, sasa kumbe unajua kwamba hapa hatuzungumzii ‘genocide’, bali ‘population control’, sasa hiyo habari ya kusema wazungu kama wangetaka kutumaliza wangeshatuua wote, inatoka wapi?
Sasa what's wrong with population control? Mimi nd maan nkakwambia billgate alielezea kwanini wanafanya hii control. Akatolea mfano ethiopia familia inazaa watoto 7 ili apatikane angalau mtoto mmoja aiokoe na umasikini halafu inashindwa kuwahudumia hao watoto na wote wanaunga trela la umasikini. Nd akasema ameweka mpango wa kuimprove standard za maisha ya hizo familia ili waone umuhimu wa kuw na watt wachache wanaowamudu maan watakuwa hawazai kwa presha ya kuja kutoka kimaisha. Halafu take note hizo njia za mpango hata kwao zipo ko usije ukaona kwamba wanawaonea 2 waafrica.
 
Billgate ni nani kwa Ethiopia? Upendo wa Billgate kwa Ethiopia umetokana na nini ghafla? Watu walionunua na kuwauza waAfrik kama mbuzi sokoni, watu walioifanya Afrika makoloni yao na kuiendesha kwa mateso makali, ghafla leo wamekuwa na mapenzi makubwa kwa Ethiopia? Hivi unapata faida gani pale unapotoa ubongo kichwani kwako na kujaza funza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…