Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Uchumi toka mwanzo ulihusishwa na idadi ya watu wanaomiliki uchumi huo...Ref: Thomas Malthus - Essay on the Principle of Population. Katika uchumi wa sasa ambao kiasi kikubwa ushakuwa global, ongezeko la watu hasa katika jamii/nchi "maskini" huonekana kama tatizo kwa zile nchi zilizoendelea...Kumbuka kuwa nchi za Afrika kwa kiasi kikubwa zinaendeshwa kwa mikopo/misaada ya wafadhili...cha ajabu ni sera hii ya mikopo ndio yenyewe imesababisha kwa kiasi flani ongezeko la watu, Afrika. Kuna kitabu cha miaka ya sabini ambacho wachumi nguli duniani walionya kuwa misaada haitaweza kuondoa umaskini afrika zaidi kutajirisha watawala, kuongeza urasimu, kuongeza matumizi ya serikali na kupunguza ubunifu wa sekta binafsi, n.k. (nikipata mda nitakirejea niweke jina lake).
Kutokana sina muda, unaweza ukasoma kuhusu Neo-Darwinism na Modern Eugenics...halafu connect na mambo ya uchumi.

Hofu sasa ni nini?
Hofu ni kwamba bara la Afrika linakuwa projected kuwa na watu wengi zaidi duniani ndani ya karne hii. Ndilo bara lenye vijana zaidi duniani mpaka sana, lakini ndilo masikini zaidi japo lina hazina kubwa ya rasilimali ambayo haijaguswa bado...ni dhahiri kuwa umaskini wetu, magonjwa kama Ukimwi n.k. yameshindwa kuzuia ongezeko la watu Afrika...Sasa mara papu imekuja Corona na hapohapo mnaambiwa mchanje raia wenu wote. Je ni kosa kukaa chini na kufikiri juu ya usalama wa hizi chanjo, na kuona kama una option ya kukataa na kwanini hauna option ya kukataa. Ni nini kipo nyuma yake...Je kuna mifano ambayo wenzetu walishatumia virusi au magonjwa mengine katika kuangamiza au kunyong'onyesha jamii zingine...Ref film: Constant Garderner...(Angalizo: Sipingi chanjo au waafrika kuchanjwa, napinga kukubali tu chanjo kwa kigezo kuwa wazungu wangetaka kutuua wangeshakuwa wamefanya hivyo.)
Very intresting, considering wakati napost hii thread mwaka 2019 March, Corona wala haikuwepo
 
WaMasai huwa wanauzaga nini? Sio dawa zile? Mababu zetu wamekuwa wakitumia miti shamba kwa karne na karne, ni nini hizo, sio dawa? Au kwako wewe dawa ni zile zilizofungwa kwenye vifungashio vya plastiki? Bila kujua kuwa hata hizo huwa zinatengenezwa kwa extracts za miti na mimea inayotoka huku huku Afrika, Jamani, mbona mnakosa akili kiasi hiki? Nani amechota akili zenu watz wenzangu?
Alafu kwanini mwafrica ndiye analalama tu? Italy wanapambana kuzuia chanja isitoke nje ya EU kabla wao hawajachanja japo 40% ya watu wao na leo wamezuia shehena iliyokuwa isafirishwe kwenda Australia lakini sisi ngozi nyeusi eti tunalala wanataka kutuua[emoji14]. Masikini na mjinga(ignorant) kwa asili yake ni malalamiko.
 
Kama wew ni mtumiaji mzuri wa madawa ya kimasai nakushauri ukachek figo na maini sasa, maana kutibu tu siyo tija, tija ni kujua pia na contents za sumu zinazoweza kuwepo kwenye haya madawa ya kienyeji, tusibugie tu majani, ata wazungu walitoka kwenye zama hizo za kubugia majani, mortality rate ya mwafrica iko juu sababu ya kula majani kama sungura.
 
Kama Italy anazuia chanjo aliyoitengeneza yeye mwenyewe tatizo liko wapi au cha ajabu nini, kwani si katengeneza yeye na anajua kilichomo ndani ya chanjo yake? Unapouliza kwanini mwaAfrika ndie analalama tu si kweli, hakuna aliyelalamika, bali ni msimamo, kutoa msimamo si kulalamika.
 
Kama wew ni mtumiaji mzuri wa madawa ya kimasai nakushauri ukachek figo na maini sasa, maana kutibu tu siyo tija, tija ni kujua pia na contents za sumu zinazoweza kuwepo kwenye haya madawa ya kienyeji, tusibugie tu majani, ata wazungu walitoka kwenye zama hizo za kubugia majani, mortality rate ya mwafrica iko juu sababu ya kula majani kama sungura.
Umeona sasa ulivyo taahira? Umewahi kujiuliza ni kwanini watu wanaoutumia ARV hufa kwa kufeli kwa figo, moyo, na ini? Au unafikiri sumu maana yake ni hadi ukanywe sumu ya panya? Au unataka kusema ARV nayo imetengenezwa na wamasai? Hivi huwa mnapata faida gani hasa pale mnapotoa ubongo kichwani na kujaza funza?!
 
Kuna tangazo fulani ITV linazungumzia magonjwa ya figo na covid, lisikilize vizuri ewe tomaso
 
Ndio tatizo la kukaza ubongo, mi naongelea Africa we unaongelea Rwanda, ok kwa akili hizo hizo ulizotumia, siku pakiwa na mechi uwanja wataifa basi tunaita Africa ina over population kisa pale uwanja watafa ni watu 10 per square meter? Bogus
Kwani Rwanda iko Europe?
 
U

Upo sahihi. Lakini tufundisahane kuzaa watoto tunaowamudu kwa malezi. Tusifikie hatua ya kuwa na idaid kubwa ya watoto ambao tunaanza kuomba misaada ya kuwahudumia.. Mija ya sababu ya Mataifa ya Magharibi kugharimia miradi ya kupanga uzazi ni kutusaidia nchi kuwamudu wananchi wake kihuduma. Tunatembeza bakuli na wakitushauri nini cha kufanya ili tuweze kujitegemea tunaleta hoja kama hizi. Mtu inazaa watoto kumi na mbili wakipishana miaka miwili halafu unashindwa kuwapeleka shule, kuwalisha, kuwavisha na wanarudi kuwa wakora mitaani. Iko haja ya kuwaelimisha watu wetu kuwa ni haki yao kuzaa lakini idadi ya watoto watakoweza kuwahudumia - si kuwaambia wafyatue watoto tu ili mradi unaweza kuwalisha. Dunia ya leo huduma kwa mtoto si kumlisha tu, inataka apate elimu - tena elimu iliyo bora ni si bora elimu, anhitaji atibiwe matibabu bora anapougua, na malezi ya kimaadili kwa ukaribu kutoka kwa wazazi. Kuna familia baba ana watoto wengi kiasi cha wengine hawajui hata majina - mtu kama huyu atawapa saa ngapi malezi ya maadili watoto ambao hawajui hata majina sawa na madarasa yet kwenye shule zetu za bure Mwalimu anawatoto wengi kiasi cha kutowajua mmoj mmoja suala ambalo ni muhimu sana katika malezi.
Kama hatuatki kusaidiwa basi tuwe na mpango wetu wenyewe kama waafrika wa jinsi ya kudhibit kuzaliana - au kwa ufupi kuzaa watoto wasiokusudiwa. Familia zetu nyingi zinazaa watoto wa bahati mbaya - wazazi hawakukaa wakakubaliana kuwa sasa tuzae mto wa kumi na moja, weigni wanatokea kwa bahati mbaya.
Imekaa vyema xana hiii nimeichukua kama ilivyo......

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Genocide, the deliberate and systematic destruction of a group of people because of their ethnicity, nationality, religion, or race.
Ewaaaa, sasa kumbe unajua kwamba hapa hatuzungumzii ‘genocide’, bali ‘population control’, sasa hiyo habari ya kusema wazungu kama wangetaka kutumaliza wangeshatuua wote, inatoka wapi?
 
Ewaaaa, sasa kumbe unajua kwamba hapa hatuzungumzii ‘genocide’, bali ‘population control’, sasa hiyo habari ya kusema wazungu kama wangetaka kutumaliza wangeshatuua wote, inatoka wapi?
Sasa what's wrong with population control? Mimi nd maan nkakwambia billgate alielezea kwanini wanafanya hii control. Akatolea mfano ethiopia familia inazaa watoto 7 ili apatikane angalau mtoto mmoja aiokoe na umasikini halafu inashindwa kuwahudumia hao watoto na wote wanaunga trela la umasikini. Nd akasema ameweka mpango wa kuimprove standard za maisha ya hizo familia ili waone umuhimu wa kuw na watt wachache wanaowamudu maan watakuwa hawazai kwa presha ya kuja kutoka kimaisha. Halafu take note hizo njia za mpango hata kwao zipo ko usije ukaona kwamba wanawaonea 2 waafrica.
 
Billgate ni nani kwa Ethiopia? Upendo wa Billgate kwa Ethiopia umetokana na nini ghafla? Watu walionunua na kuwauza waAfrik kama mbuzi sokoni, watu walioifanya Afrika makoloni yao na kuiendesha kwa mateso makali, ghafla leo wamekuwa na mapenzi makubwa kwa Ethiopia? Hivi unapata faida gani pale unapotoa ubongo kichwani kwako na kujaza funza?
 
Back
Top Bottom