Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Afrika nimeishi nafahamu mengi kuhusu Afrika kiukweli bado ipo nyuma sana haihitaji watu kuendelea kuongezeka bila kudhibitika.

Ongezeko la watu lisipo zuiliwa umasikini utaendelea kuongezeka Afrika serikali za Afrika zibadilike

Mkuu hata 1% yako hufikirii
Je kinachosababisha umasikini ni population au Unequal distribution of resources??
Kama population ndo tatzo bas China ,India ndo zingekua masikini wakutupwa na nchi zenye watu wachache kama Tuvalu zingekua tajiri??

Lakin cha ajabu n opposite!! Mkuu kufiri huwezi hata picha kuona shida?
 
Afrika itajikomboa lakini si karne hii labda ijayo...wajinga bado wapo wengi...wanaofikiri kwa akili za kuazima...waafrika hatuitaji kuambiwa chochote na mtu yoyote hasa hao watu wa mabara mengine, hawana lolote la kutuambia zaidi ya kujali maslahi yao ndani ya bara hili. Sisi waafrika bado tupo wachache sana ukilinganisha na wao lakini bado wamefanya mengi kuangamiza kizazi chetu.
 

Pia watch the movie The Constant Gardener utaona experimentation of trial drugs kwenye kambi za wakimbizi...whether is true or not I don't know
 
Hao wachache ni hatari kuliko mabilioni weupe.
Huko Ulaya wao ndio magaidi.
Huko USA wao ndio wanaongoza kwa mauaji na kuuza madawa ya kulevya.
Huko Africa wao ndio wanaongoza kutoroka na kukimbilia Ulaya na America.
Huko Africa Kusini wao ndio wanaongoza kwa wizi migodini na kwenye majumba mbali na wizi wa Magari.
Wao ndio wanaongoza kwa serikali za kidikteta na kuficha mali kwa wazungu.
 
Wewe una wangapi mkuu 14?. Kwanini kama hapana.

Kabla ya kutuambia haya ya wazungu na hila zao, tunaziona hila za viongozi wetu katika masuala ya maendeleo kama kikwazo namba moja.

Nadhani Sub Saharan tuna matatizo sana katika suala la uongozi, na mtu mmoja mmoja.

Maisha yakiwa mazuri watu wataongezeka tu. Hao wa zamani set up ya maisha yao japo ilikuwa ni ya kijijini haikuwa na mahitaji mengi.

Mfano mtu anaolewa na miaka 14 au 16, anaeoa ana miaka 20 lazima watazaa wengi, siku hizi huo ni umri wa shule na suluba za ajira.

SASA HIVI SI WANATUITA TUKAWE WATUMWA HUKO HUKO ULAYA NA WATU WANAKIMBILIA. KILA MTU UTASKIA NATAKA KWENDA CANADA🤣.

NI SUALA LA SERIKALI ZETU DHAIFU ZINAZOTUPA SHIDA NA MATESO ZAIDI KULIKO HILA ZA MZUNGU.
CCM Oyee
 
Achana na mawazo mgando adui wa mtu mweusi anafahamika ni mweusi mwenzake, mzungu anachagiza tu tuvaane.

Hao kina Rockefeller na kina Rothschild ni wafanyabiashara smart tu walijua jinsi ya kujitajirisha na kupanga mipango yao.

Kubali tu Sub Saharan hakuna good governance, na kuna upuuzi mwingi kuliko sehemu yoyote duniani. Tubadilike.

Sisi ndio watu tunaweza kupigana na kuzuiana ktk njia za mafanikio kwa sababu ya dini.
Dini zenyewe tumezipokea tu hatujui kama ni kweli au la(kipengele tu kama hiki hata watu smart humu JF wakijadili utagundua walivyo na vikamasi flani kichwani).

Kabla ya kulaumu wazungu, na ni wazungu tu hauoni expansionism of Asiatic people ni Africa katika major business, na possibly through corruption. Wafanyabiashara wakubwa zaidi Afrika Mashariki ni wahindi na waarabu.

Kabla ya kulaumu wazungu na wageni, tujiangalie wenyewe tunavyojitawala na mambo tunayofanyiana.
Mtu anaomba rushwa mpaka kwa masikini ambae mke wake mimba imekaa vibaya kashaishiwa nguvu na huyo ni muuguzi ana mshahara. TUJIANGALIE TUNALALAMA MNO NA KUTOA HOJA ZA VISINGIZIO
 
Haya ni mawazo ya kijiwe!!!Inferiority complex.Maviongoz ya africa mabinafs ambayo ni humanless ndio yanayoua kizazi kwa njaa,magonjwa na vita.Acha mawazo mgando kusingizia wazungu!!
Safi mkuu tatizo la Afrika tushajua ni serikali zetu, we cheki kila wakipinduliwa unakuta mtu ana mabegi makubwa ya dollars.

Rushwa kibao, ubinafsi na wizi...tungeanzia hapa yakikaa sawa basi, hata hiyo issue ya population itaji solve.

Tuambiwe vizuri tu mfano Tanzania kama case study, una political stability, population, natural resources kibao, mungu kakujalia haukumbwi na majanga makubwa ya asili kama kimbunga, mafuriko e.t.c

Kwanini zikitajwa nchi 20 hadi 30 masikini zaidi duniani unaingia katika list. Na hili ni wazungu kweli?😊😊😊
 
Na sasa mmeletewa na mmeukumbatia ushoga na usagaji ili msizaane.
 
Hayo ni sawa, tunachoongelea hapa ni kusambaziana magonjwa, madawa ya uzazi wa mpango nk. Au kusambaziana magonjwa na kuua vizazi kwa wanaume na wanawake ni sawa? Acha watu wazae kwa kadri ya wanavyoweza, kama mtu anaweza kuzaa watoto 10 aachwe, si analima yeye kwa jasho lake kulea familia yake, wao wanaumia nini?
 



Population ya china Vs Africa



China land vs Africa Land

Bado unasema tuko over populated?? Unafikiria kwa matako au akili we jamaa!!

Kuna land Over 4,000,000 square miles haina watu ukilinganisha na china au india!!

Unaelewa maana ya overpopulation au unatetea mabwana zako hao!!
Anyway unaweza ukawa shoga huna haja na kizazi wala huoni umuhimu wa kuzaliana
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…