Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
MK254 Naomba uwambie Yanga aka Utopolo wamtimue kocha Nabi ambaye ni Mtunisia. Au unasemaje utopolo og ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo Kenya munabaguana kikabila, unapata wapi moral authority ya kuwasema waarabu?Nyie ndio huwa mna hulka ya kujifanya undugu na waarabu kisa dini, sasa mkinyukwa inabidi tushangae mbona dini haikusaidia.
Hapo Kenya munabaguana kikabila, unapata wapi moral authority ya kuwasema waarabu?
No room for racism kwenye kandanda ni kampeni ya kupinga nini,na kwa nini!?...tatizo huwa mnawaona waarabu ndiyo waislam Sana,hao miongoni mwao wengi tu Wana ukafiri Kama mlio nao nyinyi na wengi tu watakua motoni,Qur'an inasema 'mbora miongoni ni mchamungu'Utaona mdengereko kutoka rufiji ana sijida kubwaaaa anakwambia muislamu ndugu yake ni muislamu akijiganganya muafrica mweusi ndugu yake ni mwarabu[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
Wanayo taarifa wanaounga mkono udikteta bwashee... unajua nini? Zile tawala za miaka ya 60, 70, na 80 huko Uarabuni za akina Ghadafi, Ben Ali, Hosni Mubaraka, King Hassan, King Hussein, n.k. zikihubiri mshakamano wa ummah na upendo wa kidugu kama mbinu ya kujikita madarakani zimeshatoweka hazipo tena!
Kimeibuka kizazi kisichojua hayo mambo; kizazi kilichosomea Ulaya na Marekani; kizazi cha mambo ya kisasa; kizazi kinachojitazama "sisi kwanza" ndicho kimekamata hatamu sasa! Tutegemee mabadiliko makubwa ya kifikra kwa miongo michache ijayo.
Kwani waislam ni akina nani bwashee??No room for racism kwenye kandanda ni kampeni ya kupinga nini,na kwa nini!?...tatizo huwa mnawaona waarabu ndiyo waislam Sana,hao miongoni mwao wengi tu Wana ukafiri Kama mlio nao nyinyi na wengi tu watakua motoni,Qur'an inasema 'mbora miongoni ni mchamungu'
Siku akiphilwa huyo uliyemnukuu utadai uislam unaruhusu Hilo,huyo mwarabu ana ukafiri tu Kama ulio nao wewe,umeulizwa kule kwenu Kenya mbona m abaguana kikabila na hushangai unaenda kushangaa washenzi wenzio wa kiarabu kubagua weusi..jibuHuwa mumeaminishwa vitu vya aibu hadi kulipukia watu mabomu kisa mwarabu kasema, halafu mwarabu mwenyewe huwaona weusi kama mbwa...hebu ona huyu hapa
![]()
Kakwambia nani uislam ni Arab culture!?..mtume alipoanza kuhubiri uislam Makkah alifukuzwa akakimbilia Madina,Makkah walisema analeta mapya!?.. waarabu walikua na miungu 365,wakiua watoto wa kike,wakilewa,wakila riba, wanawake wakitembea bila hijab,uislam inakataza yote hayo...Sasa inakuaje uislam ni Arab culture!?Kwani waislam ni akina nani bwashee??
Uislam ni Arab culture ok, so nawe ni muarabu??
Uislam ni Arab culture, acha longolo bwashee kwani madina ni wapi na makkha ni wapi?Siku akiphilwa huyo uliyemnukuu utadai uislam unaruhusu Hilo,huyo mwarabu ana ukafiri tu Kama ulio nao wewe,umeulizwa kule kwenu Kenya mbona m abaguana kikabila na hushangai unaenda kushangaa washenzi wenzio wa kiarabu kubagua weusi..jibu
Kakwambia nani uislam ni Arab culture!?..mtume alipoanza kuhubiri uislam Makkah alifukuzwa akakimbilia Madina,Makkah walisema analeta mapya!?.. waarabu walikua na miungu 365,wakiua watoto wa kike,wakilewa,wakila riba, wanawake wakitembea bila hijab,uislam inakataza yote hayo...Sasa inakuaje uislam ni Arab culture!?
Inaelekea hukusoma kabisa nilichoandika,au una shida ya uelewa,shule walimu walihitaji msaada wa viboko kukueleweshaUislam ni Arab culture, acha longolo bwashee kwani madina ni wapi na makkha ni wapi?
Africa tujikomboe na hizi ujinga wa dini, sasa hivi Africa viongozi hawajielewi wakoloni wako bize na ujinga unaoitwa ushoga kupumbaza watu wao
Muisilamu ndugu yake muisilamu tu,sasa ndugu kwa ndugu wanafurumushana.Tena hao ndio hawatakiwi maana kihistoria walikimbia dini yao ya asili
Duuuuh,Huwa mumeaminishwa vitu vya aibu hadi kulipukia watu mabomu kisa mwarabu kasema, halafu mwarabu mwenyewe huwaona weusi kama mbwa...hebu ona huyu hapa
![]()
Aise hii ndo Africa bwashee, kwamba utaki ukweli kisa muarabu, unatetea ujinga, unatetea na kukuza culture ya wenzako ndani kwako!! Ukiambiwa tatizo bwashee basi nisamehe bureInaelekea hukusoma kabisa nilichoandika,au una shida ya uelewa,shule walimu walihitaji msaada wa viboko kukuelewesha
Mtume alikuwa mwarabu au mmatumbi?Siku akiphilwa huyo uliyemnukuu utadai uislam unaruhusu Hilo,huyo mwarabu ana ukafiri tu Kama ulio nao wewe,umeulizwa kule kwenu Kenya mbona m abaguana kikabila na hushangai unaenda kushangaa washenzi wenzio wa kiarabu kubagua weusi..jibu
Kakwambia nani uislam ni Arab culture!?..mtume alipoanza kuhubiri uislam Makkah alifukuzwa akakimbilia Madina,Makkah walisema analeta mapya!?.. waarabu walikua na miungu 365,wakiua watoto wa kike,wakilewa,wakila riba, wanawake wakitembea bila hijab,uislam inakataza yote hayo...Sasa inakuaje uislam ni Arab culture!?
NGOZI NYEUSI INA LAANA YA MILELE.
KAENI KWENYE NCHI ZENU MTULIE,ACHENI KUPELEKA LAANA KWENYE NCHI ZA WATU WASIYOKUWA NA LAANA.
culture yako wewe mwafrika,mtanzania ni ipi!?Aise hii ndo Africa bwashee, kwamba utaki ukweli kisa muarabu, unatetea ujinga, unatetea na kukuza culture ya wenzako ndani kwako!! Ukiambiwa tatizo bwashee basi nisamehe bure
Swali gani la kijinga hili!?..una umri gani!?Mtume alikuwa mwarabu au mmatumbi?
AU Ni Wapuuzi Kama Wameshindwa Kukomesha Vita Congo, Cape DelgadoHutasikia AU wakiongea chochote hapo,