Waafrika weusi wafurushwa Tunisia baada ya amri ya Rais

Waafrika weusi wafurushwa Tunisia baada ya amri ya Rais

Ubaguzi wetu ni mbaya zaidi
Wakimbizi wakiingia mnakimbia na defender mnachukua mpaka hela zao

Wahabeshi na wasomali wanawekwa mbele za camera kama wahalifu au wauza ngada na TV ya Taifa inaonyesha, mpaka unasema hao wamekosa nini wakati kuna taasisi za kuwasaidia wakimbizi?
Kwanini wanakuwa treated hivyo?

Hebu angalia hii Habari imewekwa kishabiki sana kuhusu identities ya waarabu lakini hamkazii wizi wanaoufanya kwenye nchi yao

Msishangae mtu mweusi akiwa popote hata wawe wachache wao ndio wanajaza jela

Ulaya mtu mweusi anajulikana ni mwizi na violent, jela wamejaa wao na wanauwana wao kwa wao

Ya SA hatujasahau na Zimbabwe pia

Nchi zetu hatuoni foreigners wamejaa jela kwanini sisi kila tunapoenda tunasemwa tu hamjiulizi hilo?

Twende kwa hoja
Kuna mstari mwembamba sana kati ya muafrika mtu mweusi na kukosa akili.
 
Uislam ni Arab culture, acha longolo bwashee kwani madina ni wapi na makkha ni wapi?

Africa tujikomboe na hizi ujinga wa dini, sasa hivi Africa viongozi hawajielewi wakoloni wako bize na ujinga unaoitwa ushoga kupumbaza watu wao
Dini na Maendeleo ya Africa ya aenda sambamba unaweza niambia point Gani Africa ama Dola gani ya Ki Africa iliwahi kuwa kubwa na kutingisha Dunia bila kuwa na Dini?
 
Wageni weusi kutokea mataifa kutokea mataifa mengine Afrika waanza kuikimbia Tunisia baada ya rais kufyatuka na kuwalaumu kwa wao kujaribu kubadilisha kizazi cha watu wa Tunisia (ambao ni waarabu) na pia kulaumu weusi kwa uhalifu.

Makundi ya waarabu yameanza kutembeza kichapo kwa weusi.

=========

After Tunisia’s president blamed African migrants for a rise in violent crime and threatening the country’s Arab identity, 42-year-old Francois had a knock on his front door.

It was his landlord trying to kick him out, along with his wife and two-year-old son, wrongly saying he could no longer offer lodgings to Black migrant tenants as a government-sanctioned crackdown against illegal residents escalated in the North African nation.

“I told him he’d have to kill me because I am not leaving my house,” said Francois, who resides in Tunisia legally as a registered refugee. A soccer talent scout who fled Ivory Coast five years ago, he asked to use his first name to speak freely about the incident last week in a country where sub-Saharan Africans have recently been attacked, assaulted and vilified.

Less than five years after Tunisia became the first Arab nation to criminalize racism, rights groups now accuse President Kais Saied of stoking xenophobia to deflect from a growing economic and political crisis. Saied says he’s falsely accused of racism by political opponents and only seeks to ensure laws on illegal migration are enforced. He’s told authorities not to apprehend Africans who reside legally in Tunisia. His spokesman, Walid El Hajjam, didn’t reply to written questions about the violence against sub-Saharan African migrants and how authorities intend to stop it.Burkina Faso and Mali invited their nationals to register for repatriation flights while hundreds of Ivorian expatriates sought refuge at their country’s embassy.Saied has added illegal migrants to those he blames for Tunisia’s woes since a popular uprising overthrew long-time dictator Zine El Abidine Ben Ali in 2011.

Last week, Saied told his security chiefs to act quickly against “hordes” of people he said were trafficked to Tunisia by parties he only described as “claiming to stand for human rights” and bent on changing Tunisia’s demographics for money and political gain.

“There are parties that received large sums of money after 2011 to settle illegal migrants from sub-Saharan Africa in Tunisia,” he said, according to the presidency’s Facebook page. His comments partly resembled a conspiracy theory propounded by far-right circles in Europe. French writer and media pundit Eric Zemmour, who has been convicted of hate speech, welcomed them.

The African Union condemned “the shocking statement issued by Tunisian authorities targeting fellow Africans” and summoned the Tunisian envoy for urgent consultations.

There are around 21,000 sub-Saharan Africans living in Tunisia, according to FTDES, a social and economic rights advocacy group. That’s out of a total population of about 12 million.

Saied’s comments come at a time when popular discontent is growing about the economy. Tunisians are struggling with shortages in food staples like cooking oil and coffee as well as medicine. That’s in part due to government-imposed import curbs to save foreign currency.

Rights groups say hundreds of African migrants are now seeking to flee Tunisia after the unprecedented wave of violence, arrests and evictions. Many came to Tunisia to study or to take on jobs in construction, childcare and in hotels, but some have used it as an illegal transit point for crossing into Europe.

Tunisia, like other North African countries, has come under pressure from European governments to reduce crossings. But Saied’s critics say the approach has resulted in an authorized witch hunt by vigilantes and gangs targeting the most vulnerable.

“Acts of xenophobic violence against sub-Saharan Africans are surging across Tunisia,” Salsabil Chellali, Tunisia director for Human Rights Watch, told Bloomberg. She couldn’t give specifics on the number of victims, but said the violence against black Africans was worse than anything the country has seen before.

The rare racial violence was triggered by the presidency’s use of “hateful and xenophobic remarks at a time of deep crisis,” Chellali said.

It’s not just evictions. Last week, four female Ivorian exchange students were assaulted near El Manar university in Tunis, leading a students’ group to tell their members to stay away from school. Ivory Coast’s government said Wednesday it was preparing to evacuate 500 of its nationals in an operation that will cost 1 billion CFA francs ($1.6 million).

In a statement Sunday, a group of opposition parliamentarians in Ivory Coast said Saied’s remarks “tainted with hatred, contempt and racism endanger the safety and physical integrity of members of sub-Saharan African communities, including many Ivorians.”

Dozens of Ivorians were forced to leave rented homes and more than 100 were arrested since the start of February, according to the Association of Ivorians in Tunisia’s vice chairman, Laurent Oulleye.

Hundreds of Tunisians protested at the weekend to denounce the attacks with some carrying signs denouncing “fascism.” A group of opposition parties accused Saied of undoing six decades of effort that went into building Tunisia’s ties in the African continent.

Illegal status doesn’t justify depriving migrants of their rights, said Romdhane Ben Omar, a spokesman from FTDES, which is involved in the protests.

“We are marching to say that Tunisia will not be racist, Tunisia will not be fascist.”

--With assistance from Katarina Hoije.
Najua una Chuki na Uisilamu najibu tu kwa Faida ya wengine Sina haja na Reply yako

1. Katika Nchi ambayo ni ya Kiarabu na Haina Dini Sana Tunisia inaongoza hivyo kuihusisha Hio Kauli na Uisilamu haina mantiki

2. Tunajua Nani Ana Discourage watu weusi kuzamia kwenda Ulaya na miaka ya karibuni baada ya maraisi wengi wa Kiarabu Africa Kaskazini kuondoka matukio kama haya yamezidi, Huyo Raisi hapo anaridhisha mabwana zake huko Ulaya ambao wewe unawaabudu humu kila siku.

3. RAIA wa Tunisia baada ya hio Kauli Waliingia barabarani kuandamana naona kwako hii haifit narrative umeaiacha Ushahidi wa Video

Na mpaka sasa hivi Maandamano ya naendelea Jana Maelfu wameingia barabarani, watu wamekamatwa na wanaharakati wengi wapo Rumande sasa hivi.
 
Dini na Maendeleo ya Africa ya aenda sambamba unaweza niambia point Gani Africa ama Dola gani ya Ki Africa iliwahi kuwa kubwa na kutingisha Dunia bila kuwa na Dini?
Kemet(misri ya watu weusi) ya kale ilikuwa falme kubwa haikuwa na hizo dini zenu za mchongo, Ethiopia(kush) ilikuwa falme isiyo ya kidini, Central afrika nako huko kulikuwa hivo, south kwa shaka zulu nako hivyo hivyo, someni jamani.

Msikalili ujinga, dini ni uhuni wa watu weupe walioutunga kuwatawala raia kiwepesi.

Hakuna undugu unaounganishwa kwa njia ya dini, achen kudanganywa, hao waarabu ni wahuni kama walivyo wazungu.

Na bado mtakimbizwa sana kwenye nchi za watu mpka muithamini Ardhi yenu kwanza na kujithamini ninyi wenyewe.

Unalikuta jitu jeusii linamuita mweusi mwenzie kafiri lkn linamuona muarabu ndie ndugu kisa dini ya mchongo, huo ni upumbavu.

Hizo dini zenu za mchongo hazina muda mrefu zitapotea kama sio kufa kwa kukosa mvuto kwa kizazi hiki na kijacho.
 
Siku akiphilwa huyo uliyemnukuu utadai uislam unaruhusu Hilo,huyo mwarabu ana ukafiri tu Kama ulio nao wewe,umeulizwa kule kwenu Kenya mbona m abaguana kikabila na hushangai unaenda kushangaa washenzi wenzio wa kiarabu kubagua weusi..jibu

Kakwambia nani uislam ni Arab culture!?..mtume alipoanza kuhubiri uislam Makkah alifukuzwa akakimbilia Madina,Makkah walisema analeta mapya!?.. waarabu walikua na miungu 365,wakiua watoto wa kike,wakilewa,wakila riba, wanawake wakitembea bila hijab,uislam inakataza yote hayo...Sasa inakuaje uislam ni Arab culture!?

Mwarabu aliwaingiza mkenge kwenye dini yake na mkawa mazombi hata kumzii, waarabu wanawachukia sana weusi japo mnawashobokea kwenye dini yao na mikanzu yenu.
 
Najua una Chuki na Uisilamu najibu tu kwa Faida ya wengine Sina haja na Reply yako

1. Katika Nchi ambayo ni ya Kiarabu na Haina Dini Sana Tunisia inaongoza hivyo kuihusisha Hio Kauli na Uisilamu haina mantiki

2. Tunajua Nani Ana Discourage watu weusi kuzamia kwenda Ulaya na miaka ya karibuni baada ya maraisi wengi wa Kiarabu Africa Kaskazini kuondoka matukio kama haya yamezidi, Huyo Raisi hapo anaridhisha mabwana zake huko Ulaya ambao wewe unawaabudu humu kila siku.

3. RAIA wa Tunisia baada ya hio Kauli Waliingia barabarani kuandamana naona kwako hii haifit narrative umeaiacha Ushahidi wa Video

Na mpaka sasa hivi Maandamano ya naendelea Jana Maelfu wameingia barabarani, watu wamekamatwa na wanaharakati wengi wapo Rumande sasa hivi.

Hehehe sasa na hili mnataka kulaumu Marekani, yaani sijui nani kawaingiza mkenge kwenye hiyo dini ya mwarabu kulaumu Marekani kwenye kila kitu hata kwenye mambo yenu wenyewe.
 
... unajua nini? Zile tawala za miaka ya 60, 70, na 80 huko Uarabuni za akina Ghadafi, Ben Ali, Hosni Mubaraka, King Hassan, King Hussein, n.k. zikihubiri mshakamano wa ummah na upendo wa kidugu kama mbinu ya kujikita madarakani zimeshatoweka hazipo tena!

Kimeibuka kizazi kisichojua hayo mambo; kizazi kilichosomea Ulaya na Marekani; kizazi cha mambo ya kisasa; kizazi kinachojitazama "sisi kwanza" ndicho kimekamata hatamu sasa! Tutegemee mabadiliko makubwa ya kifikra kwa miongo michache ijayo.
Naona umewatetea sana kuwa wamesomea ulaya. Mbona majina na dini hawajatumia za ulaya?
Wavaa kobazi wakifanya uasi wao ni kuwasingizia nchi za magharibi.
Mwarabu ana roho mbaya ndiyo maana uarabuni siyo nchi za kutolea mfano mzuri
 
 Anayejua namna ya kupata GB za bure kwa vodacom, Tigo na airtel na Halotel aje PM anifundishe nimechoka kununua bando
 
Kemet(misri ya watu weusi) ya kale ilikuwa falme kubwa haikuwa na hizo dini zenu za mchongo, Ethiopia(kush) ilikuwa falme isiyo ya kidini, Central afrika nako huko kulikuwa hivo, south kwa shaka zulu nako hivyo hivyo, someni jamani.
Misri ya Kale walikua na Dini yao, Pharaoh ni cheo cha dini, waliabudu Anubis na Miungu wengine na wapo walioabudu Mungu mmoja kama Wakati wa Nabii Yusuf.

Ethiopia kabla ilikuwa ina Dini moja na Egpty na baada ya Yesu ilikuwa ni Nchi ya Kikristo

Zulu watoe hao ni kasehemu kadogo sana huwezi weka meza moja na Empire kubwa zilizotingisha Dunia

Central Africa Empire gani?
Msikalili ujinga, dini ni uhuni wa watu weupe walioutunga kuwatawala raia kiwepesi.

Hakuna undugu unaounganishwa kwa njia ya dini, achen kudanganywa, hao waarabu ni wahuni kama walivyo wazungu.
Its A fact Uisilamu ulileta maendeleo Africa si hadithi za kusadikika, Mogadishu, Kilwa, Mali, Zanzibar na maeneo kibao kulikua na utajiri wa kutupwa, mfumo wa kiisilamu ni rafiki kuinua watu na kutokomeza umasikini kwa haraka, Empire mbalimbali kwa miaka tofauti tofauti za kiisilamu zilikuwa hazina masikini hadi watu hawajui zaka na sadaka wapeleke watu

Hata leo ukiangalia kuna Nchi kibao duniani zinafuata mila za kiisilamu japo si 100% ila wamefanikiwa kiasi kikubwa kutokomeza umasikini.
Na bado mtakimbizwa sana kwenye nchi za watu mpka muithamini Ardhi yenu kwanza na kujithamini ninyi wenyewe.

Unalikuta jitu jeusii linamuita mweusi mwenzie kafiri lkn linamuona muarabu ndie ndugu kisa dini ya mchongo, huo ni upumbavu.

Hizo dini zenu za mchongo hazina muda mrefu zitapotea kama sio kufa kwa kukosa mvuto kwa kizazi hiki na kijacho.
Uisilamu hautakufa ni promise yake mwenyewe Mwenyezi Mungu, na kila siku unazidi kutanuka, hizo nchi kama za Ulaya, Marekani kaskazini na Asia ambako watu by average wana Elimu kubwa watu wanasilimu kwa kasi kubwa, kwanini unafikiri Uisilamu unakosa mvuto?

Miaka 100 iliopita ngumu kukuta Muingereza ama Blonde wa Usa ni Ulamaa wa Kiisilamu ila sasa hivi wamejazana kibao, tena sio Masheikh wadogo, Masheikh wakubwa wanaheshimika Dunia nzima, Japan na Nchi nyengine za Asia ya mbali nako Uisilamu ni mgeni kabisa, mwaka 2000 ngumu kukuta Mkorea Muisilamu ila 2023 wapo zaidi ya laki 2.

Hivyo mkuu kama unafikiri kizazi kijacho hakina waisilamu ni Wishful thinking tu
 
Misri ya Kale walikua na Dini yao, Pharaoh ni cheo cha dini, waliabudu Anubis na Miungu wengine na wapo walioabudu Mungu mmoja kama Wakati wa Nabii Yusuf.

Ethiopia kabla ilikuwa ina Dini moja na Egpty na baada ya Yesu ilikuwa ni Nchi ya Kikristo

Zulu watoe hao ni kasehemu kadogo sana huwezi weka meza moja na Empire kubwa zilizotingisha Dunia

Central Africa Empire gani?

Its A fact Uisilamu ulileta maendeleo Africa si hadithi za kusadikika, Mogadishu, Kilwa, Mali, Zanzibar na maeneo kibao kulikua na utajiri wa kutupwa, mfumo wa kiisilamu ni rafiki kuinua watu na kutokomeza umasikini kwa haraka, Empire mbalimbali kwa miaka tofauti tofauti za kiisilamu zilikuwa hazina masikini hadi watu hawajui zaka na sadaka wapeleke watu

Hata leo ukiangalia kuna Nchi kibao duniani zinafuata mila za kiisilamu japo si 100% ila wamefanikiwa kiasi kikubwa kutokomeza umasikini.

Uisilamu hautakufa ni promise yake mwenyewe Mwenyezi Mungu, na kila siku unazidi kutanuka, hizo nchi kama za Ulaya, Marekani kaskazini na Asia ambako watu by average wana Elimu kubwa watu wanasilimu kwa kasi kubwa, kwanini unafikiri Uisilamu unakosa mvuto?

Miaka 100 iliopita ngumu kukuta Muingereza ama Blonde wa Usa ni Ulamaa wa Kiisilamu ila sasa hivi wamejazana kibao, tena sio Masheikh wadogo, Masheikh wakubwa wanaheshimika Dunia nzima, Japan na Nchi nyengine za Asia ya mbali nako Uisilamu ni mgeni kabisa, mwaka 2000 ngumu kukuta Mkorea Muisilamu ila 2023 wapo zaidi ya laki 2.

Hivyo mkuu kama unafikiri kizazi kijacho hakina waisilamu ni Wishful thinking tu

Mbinu za kwenda kuumaliza uislamu,stay tune.
 
Hapo nchi za kiafrika kama vile zimepata uhuru juzi
Kila siku inajiandaa na walilokwisha litolea maamuzi majuzi bungeni
Mambo yote ni mpya kwao, Hakuna kwenda mbele zaidi ya kurudi nyuma,
 
Ubaguzi wetu ni mbaya zaidi
Wakimbizi wakiingia mnakimbia na defender mnachukua mpaka hela zao

Wahabeshi na wasomali wanawekwa mbele za camera kama wahalifu au wauza ngada na TV ya Taifa inaonyesha, mpaka unasema hao wamekosa nini wakati kuna taasisi za kuwasaidia wakimbizi?
Kwanini wanakuwa treated hivyo?

Hebu angalia hii Habari imewekwa kishabiki sana kuhusu identities ya waarabu lakini hamkazii wizi wanaoufanya kwenye nchi yao

Msishangae mtu mweusi akiwa popote hata wawe wachache wao ndio wanajaza jela

Ulaya mtu mweusi anajulikana ni mwizi na violent, jela wamejaa wao na wanauwana wao kwa wao

Ya SA hatujasahau na Zimbabwe pia

Nchi zetu hatuoni foreigners wamejaa jela kwanini sisi kila tunapoenda tunasemwa tu hamjiulizi hilo?

Twende kwa hoja
Kuna watu wanakurupuka sana haya ni mambo ya uraia wao wanachanganya na mambo ya dini.
South Africa pia wanawafukuza na kuwaua waafrika wenzao mbona hatusemi wakristo ni watu wabaya maana South Africa si nchi ya kiislamu
 
No room for racism kwenye kandanda ni kampeni ya kupinga nini,na kwa nini!?...tatizo huwa mnawaona waarabu ndiyo waislam Sana,hao miongoni mwao wengi tu Wana ukafiri Kama mlio nao nyinyi na wengi tu watakua motoni,Qur'an inasema 'mbora miongoni ni mchamungu'
Watu wamekariri sana aisee wanadhani uislamu ni mali ya waarabu kumbe hawajui miongoni mwa hao waarabu pia kuna washenzi na walevi.
 
Yaani sisi watu weusi hakuna tunapopemdwa duniani, iwe Ulaya, Asia na marekani, kule Argentina walishamaliza ngozi nyeusi zote.
 
Back
Top Bottom