Kemet(misri ya watu weusi) ya kale ilikuwa falme kubwa haikuwa na hizo dini zenu za mchongo, Ethiopia(kush) ilikuwa falme isiyo ya kidini, Central afrika nako huko kulikuwa hivo, south kwa shaka zulu nako hivyo hivyo, someni jamani.
Msikalili ujinga, dini ni uhuni wa watu weupe walioutunga kuwatawala raia kiwepesi.
Hakuna undugu unaounganishwa kwa njia ya dini, achen kudanganywa, hao waarabu ni wahuni kama walivyo wazungu.
Na bado mtakimbizwa sana kwenye nchi za watu mpka muithamini Ardhi yenu kwanza na kujithamini ninyi wenyewe.
Unalikuta jitu jeusii linamuita mweusi mwenzie kafiri lkn linamuona muarabu ndie ndugu kisa dini ya mchongo, huo ni upumbavu.
Hizo dini zenu za mchongo hazina muda mrefu zitapotea kama sio kufa kwa kukosa mvuto kwa kizazi hiki na kijacho.